Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu, Ghafla nimepoteza morali baada ya binti niliyemtumainia kwamba huenda akawa mwenza wangu wa maisha kufunguka mahusiano yake ya nyuma! Nimekuwa nikichat naye, kuandikiana SMSs, kupigiana...
2 Reactions
146 Replies
12K Views
Wana jf wenzangu hebu tufunnzane katika suara zima la la mapenzi, hasa kwa watu tulio SINGLE kwa muda mrefu... nimekuwa nikihaha sana kupata mchumba au GIRLFRIEND ambaye ntampatia mapenzi ya...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
guys i was asking,ni wapi wanauza vyombo vya muziki dar?
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Nimepokea ka sms kamenichekesha. Wizi mtupu! "When awake you're in my thoughts, when asleep you're in my dreams. the only place I never seem to find you is in my arms. Miss you" Kama na wewe...
9 Reactions
128 Replies
25K Views
Kwanini mabosi huajiri masekretari wa kike ? Mimi ni bosi na nimeajiri sekretari wa kike so majibu yangu ni ya msingi...... " NIMEMUAJIRI SEKRETARI WA KIKE MZURI AMBAYE, AWALI...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Imemtokea mshikaji wangu wa ng'ambo anajishughulisha na mambo ya DINI alipofika hapa nchini alishobokewa karibia na kila mtoto wa kila mchungaji aliyempokea katika maeneo mbali mbali hapa Dar...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
kwa siku chache kwa elimu za uzeeni... MMU tafazali kwa kubadilishana uzoefu wa maisha.!! Wapeleka 'sembe' nawaheshimu ila hawahusiki na hili..!!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tokea nimekua na akilizangu sijawahi kuskia eti mnyama kamwingilia mnyama mwenzie kinyume na maumbile sasa binadamu tunatoa wapi hii akili kweli hata maraisi wanaunga mkono kama obama nawenzie...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadada wa kazi wamekuwa ni watu hatari sana kwa wamama wenye nyumba. Mpaka inafikia stage wamama wenye nyumba wana wanunulia mavazi yenye mithili kama gunia kisa viungo vya wadada wa kazi alivyo...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Miaka 4 iliyopita tangu nimeachana na mchumba niliyependa sana, akaniacha tena kwa dharau ,tokea hapo sina mapenzi kabisaaa.Ila kila week nagegeda wanawake si chini ya 2 tofauti ,tena watoto wa...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari zilivuma kwa haraka na kwa nguvu utadhani upepo wa kimbunga cha Katrina. Rais Rajab H. Fungo amemfukuza kazi Naibu Waziri Dk. Laurent Magosi kufuatia madai ya ukosefu wa nidhamu, matumizi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Nina jirani yangu kanijia kwa masikitiko kwamba mumewe amekuwa ni anayependa kukopa mno. Anadai kwamba tokea wakiwa wachumba amekuwa akimkopa yeye, akikopa kwenye makampuni ya wakopeshaji nk...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habarini wapendwa. Nimekuja mbele yenu mnipe mawazo. Me nina mdog wang mtot wa mama mkubwa ambae me namuita kaka, ananipenda sana. Me nimemkatalia bt haelewi yani ndo kma namchochea. Anasema ye...
4 Reactions
84 Replies
20K Views
Hbr wana JF hiki kisa ni cha kweli ambacho kimemkuta rafiki yangu Z,juzi tu hapa hadi sasa hivi mwenyewe nimeshindwa kumuwazulia maana kuna muda nakutwa na huruma na muda mwingine...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Duh!! Nikama miaka hivi umepita ila leo nimekumbuka. Nikiwa kama security guard kwa nyumba ya balozi mmoja hapa bongo. siku hiyo balozi aliniaga kuwa yeye na familia yake watsafiri kwenda mikumi...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Habarini,leo naomba mnijuze wanaojua,au tujuzane wote,hii dhana ya kupasha kiporo ktk mahusiano na ndoa wewe unaielewaje?kuna mawili hapa: watu kuishi pamoja miaka miwili mitatu na mtoto wao kisha...
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Boys choose beauty of girls rather than wealthy of theirs. Girls choose wealthy of boys rather than beauty of theirs. They prefer money,I prefer beauty. Where is the chance of the poor me to...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Ninaamini hivyo kwa sababu kuna mambo kadhaa ambayo yamenipa ushahidi kwamba, mwanaume hata akijidai kwamba ana ubavu wa kiwango gani, lakini bado kiufahamu ni mtumwa wa mwanamke. Kuna mambo makuu...
9 Reactions
154 Replies
13K Views
  • Closed
Swali kwako wewe Mwanaume wa Jf, Unajijua kabisa kuwa uwezo wa Kumuoa Madame B huna, lakini nawe umo tu. Unajikakamua ili uonekane nawe hujapitwa na wakati mjini hapa...sipendi. Nipe live kuwa...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Back
Top Bottom