Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
jaman ndugu zanguni mimi ndo mara ya kwanza kuomba ushauri wangu katika jukwaa hili. Nilikua naomba mnisaidie kwa hili ninampenzi wangu na ninampenda na yeye anadai eti ananipenda lakini hata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
namshukuru Mungu sana. baada ya pilikapilika za hapa na pale hatimae nilifanikiwa kufunga pingu za maisha wiki iliyopita.namshukuru Mungu kwa hilo.
5 Reactions
45 Replies
3K Views
1. Poor boy and Rich girl 2. Poor girl and Rich boy 3. Poor girl and Poor boy 4. Rich girl and Rich boy
0 Reactions
9 Replies
1K Views
nikiwa kwenye hili jukwaa la MMU napenda sana ushauri wa jinsi ya kike ....sijui kwanin ila nahisi wengi wao huwa ni wakweli nikiwalingansha na ushauri kutoka upande wa kiume
3 Reactions
24 Replies
2K Views
ndugu wana MMU mwenzenu nina lips (lip ya juu na ya chini ) nene sana kufikia hatua kuhisi wasichana wengi ninaotaka kuwa nao kama mke na mume kunikataa je hili linawezekana likawa tatizo
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wapendwa the current system of eating after giving birth to a baby needs to be re-checked.....sijui ni ukosefu wa elimu au nini??? nachojua mzazi akitoka kujifungua anashindiliwa mavyakula km supu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mambo vip wana member.... Jamani leo imenibidi niwashirikishe ktk moja ya matukio ambayo siyaelewagi hata kidogo. Eti eti eti... Mwanaume alie komaa kabisa,misharubu kibao,kende zote mbili...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Nikweli madada zetu wanajua kuendesha magari ila hawajui kupika. Kuna baadhi pamoja na urembo wao sio siri wanajua kupika. Ila wengne mm.!
0 Reactions
1 Replies
956 Views
Ni kisa ambacho sitakisahau kwani kimenifanya nijifunze kitu maishani mwangu... Kulikuwa na dada mmoja (tumuite Latipha) alikuwa ametokea kumpenda mvulana mmoja ( tumuite Ismail) lakini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini zenu wana JF? Jamani mimi tatizo langu ni kwamba najiona kama mambo kunako 6*6 yanaanza kunishinda kwa sababu ya uzito na nimekuwa tipwa tipwa sana kiasi cha kupoteza mvuto sasa nilikuwa...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kuwa na urafiki wa karibu na Dada Mmoja {Normal Friend} ukweli sijawahi kumtongoza lakini nipo free kwake kumwambia kitu chochote,,lakini karibuni ameanza...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Sehemu ya pili ktk ndoa ya kisukuma: IKITOKEA MWANAMKE kaolewa na hajui kupika,hatua ya dharura na ya haraka ni kumrudisha kwao kwa maelezo kwamba hajui kupika,ATAPEWA MDA USIOPUNGUA MIEZI MIWILI...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
MATOKEO YA UTAFITI. waliohojiwa ni 2,000,umri 18 mpaka 34 1. kati ya vijana watatu,mmoja=1/3 hufuta picha zote za mpenzi wake baada tu ya kuachana 2. Kati ya vijana watano=2/5,wawili wata...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
dah ukipata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kiasi hiki hakika umepata jembe kwa dunia ya sasa hivi!!!
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Hi all, I have a burning issue that is really at it's edge. My sister has being a Victim of domestic violence. I have come up with some options 1. Warn the husband or otherwise I'll fight her...
0 Reactions
5 Replies
786 Views
Kuna watu wengi wamekuwa wapenzi lakini mapenzi yao yalianzia kwenye daladala je wana Jf wangapi wamefanikiwa na mpaka sasa mambo yao yako safi, na wagegedaji mmegegeda wangapi kwa kuwapatia ndani...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
HATA MIMI NINAMCHANGO WA KULIJENGA KANISA HILI..... WALAANIWE WASIOLIPENDA... IMENIUMA SANA SANA SANA SANA Jana majira ya jioni nilipigiwa simu na rafiki yangu ambaye huwa tunaongozana wakati...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
jamani wana jf mm natafuta rafiki wa kike wa kupiga nae story na badae kuwa more than rafiki kwa mawasiliano check me 0755671568 NB am not joking on it
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Once with me,a beautiful girl inside my ghetto. She was there only to pay a vist to me in which I had to sleep with her. she tricked me very easily, she said,"this is just a first day with you...
0 Reactions
6 Replies
993 Views
Habari zenu wana jf nimekua nikijiuliza sana hili swali ni kwa nini mama mzazi huwa hapendi kwenda kwa mtoto wake wa kiume either kumsalimia au kwa shughuli nyingine mpaka aoe ndo mama mzazi...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom