habari wana Jf natumaini mu wazima wa afya,
Naleta Thread yangu kwenu niweze kupata ushauri. ila ctapenda maneno ya karaha .
Natamani kupima afya yangu ila naogopa majibu, najua wengi mmepima...
JAZA FOMU KWA MIKONO YAKO JAZA KWA HERUFI KUBWA.
Mimi ___________________
Ninaomba kumuoa mtoto wako. Nina miaka________.
Tafadhali jibu maswali yafuatayo kwa NDIO au HAPANA
1. unaenda...
Wke zetu huwa wanatuongopea saana ! Unapomuona mke wa mwenza antoka na mwengine jua hata wako vivo hiyo. Weee mwanaume usiseme wife wa mwenzako malaya!! Ukiletewa video ya mkeo utajinyonga tena...
Wapendwa wanauwanja leo nakuja hapa nikiwa na mawazo tele moyon mwangu na sababu kubwa ni kwamba:-
Mke wangu ni mwanachuo UDSM na kwa sasa yupo field ila wakat wa kupimwa ktk majaribio hayo ya...
UMUHIMU WA ZAWADI
KATIKA MAPENZI
wadau mpoooo.. karibuni
katika hii mambo
inayokupa nafasi ya
kutambua umuhimu wa
zawadi katika mapenzi
1. ZAWADI
ZINABORESHA MAPENZI:
Umuhimu wakwanza
wa...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenzangu mambo unapata bwana hatizamiki, kaingia mjini leo leo, huwezi hata mtambulisha kwa watu, unajitoaa na shoti juu kuingia kumtakatisha...
When a woman loves
She loves for real
When a woman loves
She,she loves for real
She took me back
After I broke my heart
About a thousands times
She gave her life to me
With no regrets, she...
Kweli nimeamini wanaume wafupi wana matatizo sana. Wasipopendwa wanalalamika utackia ooh mi mfupi ndo mana mademu wananikataa.
Lakini wakipata bahati ya kupendwa wanaichezea. Kuna mdada...
Habari ya jioni wana jf. Naomba ushauri. Naishi kwa uncle ambaye ni kama baba yangu kanisomesha toka primary mpaka chuo first year namshukuru kwa hilo sana. Nimeishi nae kutoka 2006 mpaka sasa...
Binadam ni kiumbe cha pekee sana, Leo ata kuambia anakupenda sana na hawezi kuishi mbali na wewe LaKiNi ifikapo kesho atakuambia ckupendi na ctaki kukuona kabisa.
Msichana atasema cku nikpata...
sijui ni mtandao gani....
aparently ukila vyakula kama bread (containing yeast) ukichanganya na sugar from tea.....formular inagenerate alcohol.....
so hata kama hujanywa beer ila ukanywa hivyo...
habar zenu binafs wanajamii wenzang! napenda kufaham mitazamo yenu juu ya hili suala la mahusiano bila sex je linawezekana???? tusienda mbali tuanzie kwako binafs je wew kama mwanaume /mwanamke...
Tengeneza juisi ya ndimu (Kamua ndimu na uichuje vizuri)
chukua pamba iloweshe kwenye ile juisi ya ndimu then imeze/ingiza kwenye kipochi/papuchi (nadhani nitakuwa nimeeleweka) chako baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.