Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nina mahusiano na wasichana watatu wenyesifa zifuatazo:- WA KWANZA . Mpole, anaweza kazi zote (kitandani na nyumbani), mzuri wa muonekano, busara na heshima ila anakojoa kitandani WA PILI .Mapepe...
0 Reactions
149 Replies
10K Views
1.Habar wana jf!! mwenzenu wanaume wananishangaza sana ktk hili la mahusiano! yan unakuta kutwa kucha wanalalamika ooh wanawake hawafai kabisa mara mim nilikua na msichana lakin alinisaliti...
1 Reactions
82 Replies
6K Views
  • Closed
NDIYE KIUMBE ASIYEELEWEKA DUNIA NZIMA. Pamoja na maendeleo ya kisayansi,na kisaikolojia bado akili ya mwanamke haieleweki ipo ktk msimamo upi.Mtaalamu mmoja wa mambo ya wanawake aliwahi...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Self esteem ni hali ya kisaikolojia inayomuonyesha mtu jinsi gani anavyojitambua na kujikubali. Mtu mwenye self esteem ya juu, anakuwa ni mtu jasiri, anayejikubali, anajitambua, anajiamini na hana...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri wenu m'ke wangu ambaye tunasoma the same class siku hz amenibadilikia na nahisi kama hanipendi tena hv Kwa sababu: Anavunja appointment, I mean haji Kwenye miadi...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Salute, Ofcourse the title of the thread depicts itself from the title of the movie directed by my personal favourite Tyler Perry. It shows how a woman can betray you bila kua hata na chembe ya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi mimi ni wa kumhonga mwanamume? Loh hivi nimepatwa na nini? Mwenzenu najishangaa sijawahi honga kidume chochote na si utaratibu wangu hata siku moja! Cha ajabu nimeangukia eti kwenye penzi...
3 Reactions
84 Replies
6K Views
^^ Naikumbuka siku niliyompigia simu Mama, Nikamwambia Mama nataka kuoa, Niliweza kuisikia sauti yake upande wa pili wa simu, Akitabasamu, Kisha akaniuliza swali ambalo nililijibu kwa fahari...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
naomba mniombee ili uniweze kufunga ndoa kwa maana nimekaa na uchumba sugu kwa miaka 10 sasa, tayari nimeishazaa naye mtoto mmoja! Nampenda lakini sielewe rohoni mwake! nikimuliza ni lini...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Waadau habari za wkend.... jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo...
1 Reactions
116 Replies
9K Views
Kuna aina nyingi sana za tabia mbaya, lakini bila shaka zile kubwa kabisa ziko sita. Hii ina maana kwamba mtu anapoishi popote ajue kwamba, kwa njia moja au nyingine atakuwa anapambana na watu wa...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Wanaume Oyeee! Hivi kwa nini sisi wanaume wengi wetu pindi tukiongea na mamanzii tunawangalia maziwa yao (Bosoms) muda wote. Manzi moja kanilalamikia, kwa nini sisi wanaume atuangalii sura zao...
1 Reactions
55 Replies
6K Views
vp wana jf mko powa? Heb leten ujanja wenu juu ya hii kituu maana had sasa huyu mtu cjamwelewa yukoje kwa ufupi tuu nilikutana na dem ktk mtandao mmoja hv aaf yule dem ndio kwanza cku ya pili...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hope weekend ilikuwa poaaaaaa........! Kuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi ofisi moja ya Serikali Mkoani Mtwara ila ni mwenyeji wa Mwanza, (Majina, kabila na mahali sio halisi tafadhali) Huyo...
31 Reactions
369 Replies
24K Views
Umetoka kazini jioni unamkuta jirani anampiga mama yako makofi hadi ametoka damu....ukakimbia ndani ya nyumba kuchukua silaha(nyumba yako na ya mama yako haiko mbali sana).. Vile unaingia tu...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
  • Closed
Mimi kabila ni Mhaya tulikuwa tunaishi Mwanza Baba alikuwa anafanya kazi RELI (TRC) mama Halmashauri Mwanza mjini tulikuwa tunaishi na mjomba wetu maeneo BUZURUGA mjomba tuliekuwa tunaishi nae...
3 Reactions
99 Replies
35K Views
Kuna sakata moja limetoa nyasho musoma,sakata lenyewe ni hili: kuna mwanamke mmoja umri kati ya miaka 40 amefumaniwa akifanya mapenzi laivu na kijana mdogo wa miaka 23, wawili hao wamekamatwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Salam wakuu, As the title of the top clearly describes itself above, this thread is about us men. Let's share the things ambavyo vinakera ambavyo perhaps umeshawahi kukutana navyo katika...
2 Reactions
81 Replies
5K Views
Siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa ikiwakilishwa na wadada big brother nasikitishwa sana wanavyogegedwa ni bora wakawa wanaenda wanaume tu ili wawe wanagegeda maana inauma dada kugegedwa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wako watu wanaosema ndoa ndoano kwamba ndoa ni msalaba na mengine ya kuponda. Acheni niwatajie baadhi ya raha za kuolewa! Ukiolewa kwanza unapata kibali cha kuwa na mpenzi wako kihalali. Raha...
22 Reactions
245 Replies
20K Views
Back
Top Bottom