nimezaa naye mtoto na kiukwel ananipenda sana an sana ila anavitabia ambavyo siridhiki navyo na habadiliki hivyo nmepanga tuachane ila cjui nitumie mbinu zipi??
Si ajabu sana ila ukweli kuwa wapo wakaka,mabrothermen wanaomiliki boksa moja tu.
HII IMEKAAJE WADAU.
wadada niaje?Kwa hili mna mtazamo gani?Say a word.
Happy birthday to You
Many Many Happy Returns of the Day
A lots of prayers and wished for you
For you coming Life and your future
may you get Success and Comfort in your life...
Ninamiaka sita katika ndoa na mywife wangu,maisha yamekuwa yakienda kawaida tu.miaka miwili iliyopita nilipata ajari katika shughuli zangu nikaumia mgongo ,nilipata vipimo hospitali wakaniambia...
1.wanawake wanaelea familia zao wakati wanaume wapowakimbia,wanavumilia mateso mengi sana wanapokimbiwa lakini katu wao hawawakimbii watoto.
2.wanawake wanaposalitiwa wanaumia sana lakini...
igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Matumainiyangu mu wazima wa afya samahani kama nitakua nimewakwaza wakina dada ila huu ndio ukweli ambao nimekutananao so lazima tuuzungumze na turekebishane pia...
WANAWAKE MPOO..?
MKITAKA KUDUMU NA
WAPENZI WENU BASI SIRI
HII HAPA...
TAMBUA THAMANI YAKO
Ili uweze kuwa bora ni
lazima uanzie kwako,
ujitambue kama
mwanamke na thamani
yako
kwa...
Habari wadada wa MMU? Kwanza kabisa niwape hongera kwa kuolewa, ukitaka kujua thamani ya mumeo angalia wadada walio single kwenye age ya kuolewa, wanavyotamani na kumuomba Mungu usiku na mchana...
Nimejiuliza sana kwanini miji mingi Tanzania ukikuta nyumba mmiliki ni mama basi imelithiwa kutoka kwa marehemu mumewe,sijabahatika kukuta nyumba imelithiwa na Baba,inamaana wanawake awajengi ili...
Kuna sk niliomba ushaur juu ya mwenendo wa mke wa rafki yang kwangu kwan alitaka nimzalishe ukweli alitia majaribun lakn baada ya kupata ushaur wenu wakuu na mm nikamshauri sasa amejirekebisha na...
With the power of God bestowed
on me,I pray that you marry the last
person you had sex with this recently. Do
I get an "Amen" or "God forbid" from you?
Mwaka 1995, jamaa mmoja mwenyeji wa Tarime mkoani Mara aliye kuwa akiishi na wanawake wapatao saba katika himaya yake iliyopo katika eneo la Bugarika jijini Mwanza, alifanya...
Wadau,binafsi nimebahatika kusherehekea maumbile na mabinti kutoka pande tofauti za tanzania,nilichogundua ni kua mabinti wengi wanye asili ya ukanda wa pwani ni mafundi sana wakati wa kupiga...
Naomba wadau tujadili haya mambo mawili juu ya madada/mama zetu wa kada ya unesi. 1. Ni kwa nini familia nyingi sana ambazo mama ni nesi walishatengana na waume zao? (kutokana na uchunguzi mdogo...
Hapa mujini kuna dansi alimaarufu KANGA MOKO.
hapa dansi hii ina ma-stage show wenye WOWOWOO YA KUTOSHA,wanavalia kanga moja tu,vuta picha kanga ilivyo nyepesi alafu ndo imefungwa kustiri WOWOWO...
IGWEEEEEEEEEEEEEE!
CC Mtambuzi, amu , gfsonwin, Madame B, Paloma, Boflo, marejesho, Asprin, Kaunga, Zion Daughter ET AL!!!!!!!!!!
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Jamani mbona kimyaaaaaaaa...
Nimefanya uchunguzi ktk ndoa nyingi ambazo zilifungwa kwa hiari ya wanandoa wenyewe, achana na zile za bahati mbaya ambazo hutokea kama kulazimishwa baada ya binti kupewa mimba na kijana kususiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.