Habari wana JF. Kifupi mimi na mke wangu tuko ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 4 sasa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja.
Mke wangu ni mwajiriwa serikalini hali mimi nafanya shughuri zangu...
Mm nakerwa sana na hii tabia lkn japo siwez kuiepuka sababu naweza kusema mm nj mtu mwenye aibu sana na hasa kitu changu nitahiyar ninyamaze na nikisamehe,siwez kusema nahonga maana kuhonga...
wasichana wengi wakijua kuwa ni wazuri na ni LULU mtaani kwa wanaume,huwa wanavimba vichwa.
1.Kwanza wanakuwa too much selective.
2.wanaamini hawawezi kukosa wa kuwaoa mana ni kivutio cha wengi...
Mtoto JonBenet Ramsey
John na Patsy Ramsey
Patsy Ramsey
JonBenet, Melinda, Burke na John Andrew Ramsey
John na Patsy Ramsey wakitangaza zawadi
John Mark Karr mtu aliyejipachika tuhuma za...
wana jf.
Hili suala limekua likiniumiza sana akili bila kupata ufumbuzi,wanaume wengi wanasema kwamba ukimwoa mwanamke mrembo ni kujitafutia homa ya moyo,ila wengi pia wanasema wanawake wazuri...
Rafiki yangu mmoja aliniambia wanawake ni life time project ambayo Mungu amewapa wanaume leo nimeamini,maana leo yuko hivi kesho yuko hivi,kazi kweli kweli
JESHI la Polisi mkoani Singida linamtafuta kijana mmoja mkazi wa Kibaoni katika manispaa hiyo kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake na kumharibu vibaya sehemu za haja kubwa baada ya kumnunulia pombe...
Jamani beki 3 anasema ana mimba yangu. Mi mwenyewe kula kulala bure nalelewa na bro sasa sijui nifanyeje? Kwani maisha yanazidi kuniwia magumu ila nilikula mzigo mara moja tu.
Mwenye nyumba...
Asilimia sabini na tano ya wake waliochaguliwaa kuzingatia "A" "B C D E F formula wake zao walikua bora. A= age was reasonable at least in the gape of 1-5 years only B= Beatuful enough to satisfy...
Wanajukwaa hili, hivi mnafikiri kumsomesha mdada mwenye akili zake, hayupo kwenye dhiki na ana maadili yake mpaka aseme ndiyo ni kazi rahisi? Kama kwenu ni kazi rahisi sikiliza ilivyokuwa ngumu...
Is your Mother AFRICAN? Or EAST AFRICAN? If you arent sure this is how you verify it:
1. You Know Your Mother Is African if she has a drawer or a place for keeping paper bags after buying...
Kuna siku humu MMU kuna mtu(i dont remember her/him) alisema kuna natural ways za kukuza makalio ya kinadada nimehangaika kumtafuta kwenye post za kitambo mpaka nimechoka but i dont think kama...
Tokea mwaka2004 nlipotendwa na nimpendaye nliumia sana to the extent nikasema sintopenda tena tokea hapo nami nawatenda wanawake pia nawachoka wengine ni wife material ila moyo umeshindwa...
Hili swali nawauliza nyinyi wadada. Mwanaume unayempenda na mpo kwenye mahusiano kwa muda, ni maskini na hana kazi. Kwa upande wako upo safi pia kazi unayo, utaweka kuolewa (kufunga ndoa) na...
Jamani nyege mbaya na zimewatesa na kuwaumbua wengi, fedheha ndani ya nyumba na aibu hata kwa jamii kwenye taasisi nyeti hata serikalini kote nyege imewaumbua watu na kuwaharibia wengi
Tumesoma...
Should age determine women's bride price?
Traditionally, in many societies in Africa, the suitor is expected to give a certain amount of money and presents, including cattle and clothes to the...
habar wana jf.
Natumain mnaendlea vzr na maisha na hasa katika ujenz wa taifa ambao ndio nguzo kuu ktk mzunguko wetu.
--->nisikuchoshe twend kwa kilicho nileta hapa.
NIMIAKA MIWILI SASA TANGU...
nilikua na mpenz ambae tulipendana thanaaaa kwa bahati mungu kampenda zaidi miez kadhaa ilopita sasa kila nikikaa namkumbuka naumia sana kiasi kwamba najikuta kulia tu.. nifanyeje jaman ili niweze...
Inakua inatokea sana wakat flan msichana kupendwa na washkaji weeengi sana. Lakin kwangu mim inakua ngumu sana kuamin kua washkaji lazima mgombane na kuwekeana beef za kijinga. Dem anaamua yupi wa...
Nipo kwenye deep debate with my friends hire kwenye kamgahawa Fulani. Mada, kwa nini wanawake wanapenda kuolewa na Medical Doctors. Medical usually have a field day with women of their choice. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.