Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
..nikafika dasilamu kutoka mkoani...na vijisent kidogo vya kuanzia maisha. Nikapanga chumba kimoja...nikaanza maisha. Baada ya siku kadhaa nikapata girl. Akaanza kunikimbiza mbio mbio tuoane. Full...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
^^ Nilialikwa kwenye tafrija fupi ya kuwapongeza wanandoa wawili.Wanandoa waliotimiza miaka 25 katika ndoa.Nilifika mapema sana,tafrija ilikuwa inaanza saa 12,sitaki kutaja chakula,burudani na...
23 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa wale ambao hawajaoa/olewa/wezi wa wengine Je kuna umuhimu wowote wa ndugu jaamaa au marafiki kufahamu uhusiano wako na mwandani wako? What Happened In Room 13 - Dilman Dila - YouTube...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani ushauri wenu hapa. nini rafiki angu anaitwa Z,ameolewa mwaka mmoja uliopita,aliamua kumchukua mamamkwe wake waishi pamoja maana alikuwa mjane, tatizo ni kwamba mamamkwe anataka mwanae ale...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, hivi karibuni mwanamke mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Aisha (26), mkazi wa Tabata, Dar es Salaam alinaswa akifanya ukahaba na kudai kwamba ana ruhusa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kumekua na malalamiko na thread zinazoomba ushauri kuhusu size ya maumbile ya wapenzi wao. Pia ushauri mwingi kuhusu support ya kuduu ama kutokuduu kabla ya ndoa. Na pia misemo ipo kwamba "siwezi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Members and familly first i wish you all the best those who are going to get marriage this week,with God all things are possible i have no words to them but for the rest would like to assure if...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Nilikuwa na mke wangu tulizaa nae mtoto 1lakini kaniacha,mimi nampenda sasa namtaka tena nimpe mtoto sasa nifanyeje wazee,jinsi ninavyomuona yuko bado kama ananipenda,nisaidieni nifanyeje...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndungu zangu wana jf..'npo kwenye mahusiano ya kimapenz na binti mmoja hv lakn nimekuja kugundua ni bonge la kicheche alaf mimi ninavyompenda yaani basi sijui nijinasue vipi tu..'juzi hapa nikawa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Jaman naomba ushauri wenu nitumie stairi zipi katika mapenzi ili mgegedeo wangu usimuumize mpenz wangu kwan amekua akilakamika mara nyingi tukiwa ktk 6x4 hali hii imepelekesa sasa niwe nanyimwa...
1 Reactions
205 Replies
18K Views
Wanajamvi naombeni msaada Ninatamani kujua wapi ninaweza kupata engagement ring nzuri hapa Dar au Arusha. Sifahamu sana bei ya haya mambo lakini nimejiaandaa na kati ya 500,000/= mpaka...
7 Reactions
34 Replies
18K Views
Tarime.Waswahili husema, mapenzi matamu pale yanapokolea, lakini hugeuka shubiri pale yanapochacha. Ukweli wa mambo hayo unadhihirika katika maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Tarime mkoani Mara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
haya mapenzi bhana hayana mwenyewe,si mshinga tu anaepata nayo tabu,NINAPOSIKIA,KUSOMA ama KUONA mtu analalamikia mpenzi wake ama kutendwa huwa nafarijika sana na kujua kumbe SIPO PEKE YANGU...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau habari za jioni poleni ka mihangaiko.... Kuna kitu nimejiuliza siku nyingi,kuna matatizo mengi ya mahusiano baina ya watu, wanaweza kuwa kazini au nyumbani au hata humu jamvini,kila kukicha...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenyu binafsiiiiiiiiiiiii...............?????????? Dada mmoja kwa jina SIWEMA alikutana na kaka mmoja kwa jinaFIKIRI. Wawili hao walianzisha mahusiano na baada ya muda mrefu wakaamua...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
  • Closed
Ebana mi Si nina account fb...mtu mzima nikazimika na mtoto mmoja wa fb sasa si nikamuomba namba ya cm nikawa na wasiliana naye...,.sasa akanipa Raman nikajaribu kuulizia watu wakaniakikishia...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
  • Closed
Kila kukicha matatizo ya mapenzi na uzazi yanazidi ktk jamii inayo tuzunguka.. Ukichunguza utagundua kua wanaume wanaopenda ngono{papuchi material} ni tatizo,na wanawake mizigo wasio jielewa...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Tafadhali, hii inaenda kwa wale wote walio oa na kuolewa. Mwaka wako wa kwanza wa ndoa ulikuwa vipi? Nini kilikuwa kigumu, chepesi, kawaida, ilikuwaje? Ulikumbana na tatizo lolote? Ulitatuaje...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Kwa experience yagnu mahusiano mengi ya wale ambao ni wanachuo huishia baada ya ku graduate. Mahusiano hayo hayana future na ni wachache mno ambao hudumu. Labda iwe mahusiano hayo...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
......salama Wana MMU.jaMANI si mimi mwenye haya maneno bali ni maneno ya mtoto wa kike kutoka kigoma kasulu nilipo onyesha kama kumtilia shaka kutokana na umbo lake lilivyokuwa kubwa ndipo...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Back
Top Bottom