Habari Wakuu,
Nina tatizo. Mara nyingi ninavyo kutana katika tendo na madem, najitahidi kuwafikisha kileleni kabla yangu mm, ila hasara ninayopata ni pale ambapo wakifika kileleni wanalegea...
Natumaini mu wazima wa afya njema, upande wangu niko powa Mungu ananilinda kila iitwapo leo, nahitaji kujuzwa kuhusu hili kuwa kwenye MAPENZI STERING nani hasa kati ya Mwanamke na mwanaume...
Habari zenu wana jf na MMU kwa ujumla.
Tafadhali naomba mnisaidie na mnifahamishe Chuo/Driving School inayotambulika kwa Jiji la DSM. na kama unajua na gharama zake itanisaidia/rahisishia zaidi...
Wakristo Bwana YESU asifiwe na waislamu asalam alekum, sina hakika km nimeipatia salamu ya pili lkn lengo langu ni kuwa salimu km nimekosea naomba mnisamehe ukweli nawapenda wote kwani wote...
Ee bwana siku moja bwana tukiwa chuo tukaalikwa kwenyeparty Zanzibar. Ilikuwa inaanza saa mbili usiku pale Africa House. Nikawaambiamaboys wangu bwana muda wote huo Jumamosi hii hatuwezi kukaa tu...
Ukibahatika kukaa sehemu ambayo wamekaa mabinti wanaojiona kuwa ni warembo halafu apite binti anayeonekana mchafu/sura mbaya (Kwa ujumla hajipendi) utasikia warembo hao wakilalama na kumzodoa...
Myface wee' jaman jaman Myface!! Ndo vile kichwa cha mtu hakiwezi kuwa angavu kama gras, laiti kama ingekuwa hivyo ningeumbuka mie leo' jaman jaman Myface' paka mapigo yamoyo yanakimbia...
Habari wana JF.
Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26 , nimejiajiari na pia nina shahada ya kwanza ktk uchumi na SME's development. Natafuta mwanamke , ambaye tukiridhiana kitabia anaweza kuwa...
Kwa mtazamo wangu' mwanamke wa kuoa kwanza awe na nidhamu, awe anajitambua, ajiamini na mcha Mungu! Shape, sura na rangi hizi mbwembwe tu' ukitaka kufa kabla ya wakati wako jaribu hii'' oa kwa...
Shikamoni wakubwa zangu na hamjambo wadogo zanguuuuu. Jambo ambalo limenifanya nije kwenu kwa mara nyingine tena. Nikuwauliza hawa madada zetu kuwa hivi nikweli kuwa wao ambacho huvutiwa kutoka...
Mimi si mpenzi wa jukwaa hili, lakini katika pitapita zangu macho yangu yamekutana na uzi huu, Re: "Mademu wakichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri;" nimebaki kuduwaa na kushika tama, kwa vile...
Khabari marafiki.Kuna ndugu kaleta mada ya malalamiko ya usumbufu wa kelele anaoupata mtaani kwake.Lakini kwa utafiti usio rasmi nilioufanya kama wewe kweli hutaki usumbufu inabidi uepuke mtaa...
Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao. Kushindwa kuwa na elimu hii, wanaume wengi wamejikuta wakitumia ukali kuwatawala wake zao...
Ilikuwa ni katika kuchati chati FACEBOOK ndo nilipo weza kuwa connected na mdada mmoja jina Kapuni anayeishi kimanga,
Katika mawasiliano tukapeana namba mdada akaitaji tuonane, siku zikaenda...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hili swali nimelikuta kwa Linda Ikemefuna Ikeji blog au lindaikejiblog limenifanya nikune Bongo na mbado sijapata mujibu muzuri...
We mwanamke vipi?
Ulipotendwa na mpenzi wako wa awali mimi ndiyo nilikuwa faraja yako kuu....Usikatae!..Mwenyewe uliniambia, tena machozi yakikutoka...
Hujawahi kuona mtu mwenye hekima kama...
Ballerina nakumbuka kuna kipindi uliwahi kunishauri Jambo na nikafanikiwa sana tokana na ushauri wako..
Na sasa ni muda mrefu sana umepita tangu upotee hewani. huwa nakukumbuka sana..
Jameni kuna...
stori,
Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama...
^^
Uchumba una maana ya kufahamiana undani wa mtu ili ikiwezekana mfikie hatua ya ndoa.Hatua ya kuishi na mwenzako maisha yako yote.Kuna mambo mengi yamesemwa kuhusu mambo ya kuzingatia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.