A girl talked about her boyfriend to her
female friends, she told them how rich,
caring, generous and handsome her guy is &
dat he will be coming to visit her the next
evening. Expectations from...
Hbr wana JF.
Upo na mumeo au mkeo kwa zaidi ya miaka 10 mkiishi kwa amani na furaha na mmebarikiwa kupata watoto 2. Siku mmeo/mkeo anakwambia ooh! Blaa blaaa blaaa unajua nilikuwaga na mtoto...
Amemzalimsha mwanamke na mali kamlipia. Sasa hv anadai amtaki kwa sababu zisizo na kichwa wala mguu eti ananipenda mimi anataka tufanye maisha anioe licha ya hivyo.
Bado anawivu lukuki kwa huyo...
^^
Katika kujenga mahusiano ya mapenzi bila shaka kuna wakati ubishi hutokea,iwe katika hatua ya urafiki,uchumba na hata ndoa.
---
Ubishi huweza kutokea katika mambo mbalimbali mfano juu ya...
Nina girlfriend wangu nilipotezana naye tangu mwaka 2007 kwa msaada wa social network nikaonana naye mwaka huu mwanzoni baada ya kuwasiliana naye kwa muda nikamwelezea hisia zangu akanielewa ila...
Siku ya Kwanza nitoke Vipi?
Fikiria wewe ni kijana wa kiume umepanga kukutana na binti ambaye unategemea awe mchumba wako, unawaza je, itakuwaje? Je, atanikubali kweli? Ataridhika jinsi nilivyo...
On behalf of myself, my family members including my parents,my friends, my fellow human beings and my colleagues. Good afternoon wadau!!
Today is 14th September,it is my 27th birth day.Our...
Wakuu habari zenu.NImekuwa namjadala nandugu yangu mmoja hapa kuhusu hoja hapo juu kuwa wanawake walio naumri wakuanzia 28yrs ukijiingiza tu wanakupa motto hili nikweli ?
Mawasiliano ni kitu kizuri sana katika nyanja mbali mbali hasa kwenye mahusiano. Huyu mwanamke mi simuelewagi mpaka imenifanya nifanye maamuzi magumu.
1. Kila ukimpigia simu-kuipokea ni mpaka...
Kutokana na wanawake walio wengi kupenda pesa kutoka kwa wenzi wao .hii imekuwa kama kuuza mapenzi hivyo baadhi ya wanaume wameufuata mkondo huo kwa kununua mapenzi yaani wanatoa hela kwa lengo la...
Mara ya kwanza niliposikia Mzee Gurumo wa Msondo Ngoma anadai ameimba zaidi ya miaka 50 na maisha yake bado ya 'kimaskini mno' niliona kuna kitu hakiko sawa... sikuwa na ushahidi tu lakini...
Kuna mzee nilimwuliza kuhusu swala zima la kuoana. Nia ilikuwa ni kujua taratibu za kila kabila kuhusu swala hili mwishowe akasema zamani kulikuwa na baadhi ya makabila wanawake wa hayo makabila...
ipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani...
Nawasalimu wanajamii,pia natoa pole kwa mihangaiko ya kutwa.nimeona niilete mada hii wanajamii mnisaidie,katika pitapita zangu za kimaisha nimeshuhudia soko kubwa na linaloendelea kukua la...
si vibaya leo nikasema historia yangu kidogo kidogo na sijutii wala siogopi kwa kuwa ukweli ni ukweli ni ukweli tu.
wakati wengine wakizaliwa hospitalini tena wakati mwingine hospitali kubwa...
Waungwana aminini kua sikuzote neno huumba..
Moja ya changamoto ambazo zinatukabili vijana ni lugha tutumiazo vijana tunapokua ktk mahusiano suala linalo pelekea udhaifu mkubwa miongoni mwetu...
wazee wa serengeti,ndovu,kilimanjaro,nk.
ile tabia ya yenu kutumia hela kila siku mkisema munaweka heshima baa huku nyumbani hamuachi hata hela ya mboga na kuwatesa watoto na wake zenu haijakaa...
Habari ya J3 wana JF
Jana jumapili nilikwenda kwa jirani yangu kumsalimia nilipofika nilimkuta yeye na dereva wake wa kazini wote wanalia kuuliza kulikoni jirani yangu akaniambia dereva wake...
Heshima zenu wakuu!!
Nawasilisha kwenu hii'' licha ya kwamba utandawazi(globalization) kuonekana ndo chanzo kikubwa cha mmomonyoko wa maadili'
Kwamtazamo wangu naona chanzo cha wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.