Ndugu zanguni habarini za saizi
maoni yangu tunaendelea kulala ingawa wengine usiku kwetu mchana mpaka wiki iishe
leo kwa wale wenye kujibu kwa hekima tulikuwa tunaulizana na mwenzangu swali...
Mjini raha kweli kweli, kijijini mimi sirudi mwenzenu. Tutabanana hapa hapa. Kwani nani asiyependa kupanda daladala, kutumia maji ya bomba kuogea badala ya kuogea mtoni, kupikia gesi badala ya...
Habari zenu wakubwa na wadogo,
Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu nae kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu na nimebahatika kuzaa nae mtoto mmoja wakike.
Hivi karibuni huyu mpenzi nimekua...
Kuna kipindi niliwaomba ushauri kuhusu swala la mie kukosa hamu na mke wangu wadau mkanipa ushauri wa kuchange mazingira kwakweli nimefanya hivo sahivi naenjoy mahaba as if sijawahi kumwonja dah...
Yaani kuna mdada niliwahi pishana naye sehemu kama mara 2 haraka haraka. Siku nyingine nikatafuta namba yake nikaipata. Huyo dada alinivutia nami nikasema ngoja nione kama swaga zangu zinalipa...
Takribani katika jamii zote kunakuwa na watu hujisifia na pia kusifiwa kwa kile walichobarikiwa nacho katika maumbile ya ukubwa juu ya kile kilichowapelekea kuitwa wanaume, sifa hizo huwa...
His work is more imporant than me, wenever I want to talk to him its either he is too busy or his fone is off, days weeks even months pass without hearing from him, I love my dad, but ts soo hard...
Kuna kipindi niliwaomba ushauri kuhusu swala la mie kukosa hamu na mke wangu wadau mkanipa ushauri wa kuchange mazingira kwakweli nimefanya hivo sahivi naenjoy mahaba as if sijawahi kumwonja dah...
Hbr wana kijiwe
Mwenzenu nina tatizo mwaka sasa hivi hadi mke wangu kanikimbia yaani mgegedo wangu usiku nikishaanza tu kuuchokoza kwa kupiga 1 tu ndo tatizo hua linaanzia hapo yani kila baada ya...
Habari zenu watanganyika wenzangu!naomba kuuliza, hvi hawa askari wa kike wanaofanya kazi idara ya uhamiaji wanafaa kuoa kweli au nao ni viruka njia?naombeni mnipe tabia za hawa watu ili nifanye...
Tupo wa aina 2,wafanyao kazi au biashara na wasiofanya kazi jobless.
Wasiofanya mukazi huwaoni muchana hawa muchana wanakuwa wamelala,wamejifungia ndani wanacheza muziki,wanapaka...
Ukweli, Sijui nini nifanye…..Mke mtarajiwa wa kaka yangu she is dying for me. Na ndio kaka yangu anayeniamini kupita maelezo.
Yote yalianza mwaka jana kipindi nasherekea siku yangu ya...
Wadau wote hamjambo? Poleni na kazi. Jana wakati tumetoka na rafiki yangu mmoja kupata lunch rafiki yangu akanambia kitu kilichonishangaza! Mahali tunapofanyia kazi tumezungukwa na watu wengi...
Brittany Harris
Mwanamke mmoja wa huko Florida nchini Marekani Brittany Harris ameshitakiwa kwa kosa la kutelekeza watoto, baada ya mfanyakazi mmoja wa ukumbi wa Cruzan Amphitheater kugundua...
Story ya kweli,
Wanandoa wawili wakiwa kwenye gari lao na mtoto wao mmoja akiwa seat ya nyuma, ni maeneo ya barabara ya uhuru karibu na kituo cha Fire - jijini Mwanza, ghafla kijana mmoja...
Salaam,
angalia angalia profile za wanawake, kwa kuanzia anza na Madame B, nenda kwa lara 1 endelea endelea na nyingine nyingi kwa kadri uwezavyo, then see by your eyes!
hata comments zao...
Salaam,
katika jiji la dsm uchafu mkubwa ni mifuko ya plastiki!
lakini kuna uchafu mwingine ambao naona kama unawavunjia wanawake heshima!
zile pedi zilizotumika kwa nn zinatapakaa kama mifuko ya...
Kigoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoawa Kigoma, imemhukumu Ahamad Fadhil (63), kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na kosa la kumbaka msichana mwenye umri wa miaka 16 ndani ya Msikiti...
asalam aleykum!
Bwanayesu asifiwe!
Habari za muda huu!
Mimi nina girlfrnd wang takribani huu ni mwaka na nusu na kila nikimwambia kuhusu issue ya kuchimba/kusex ananipiga kalenda anadai yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.