Madereva wa bodaboda licha ya biashara ya kusafirisha abiria, wamezua tabia nyingine ya kufanya ngono na wateja wao wa kike, hasa wanafunzi na wake za watu.
Imebainika kuwa baadhi ya madereva...
Wana jf ni kweli mabiti wa Tanga kwa mapenzi ni hatar? maana nilikuwa namtongoza bint mmoja wa Tanga akaniambia nafahamu una mchumba ila me nikikupa utamuacha mchumbaako,kwa kifup niliingia nae...
Poleni na kazi za siku nzima wana JF, leo naomba nizungumzie familia bora.
Kwanza lazima iwe na utii na nidhamu kati ya wanandoa, hii itasadia kueshimiana na kujishusha miongoni mwao ili kuondoa...
Kenya imependekeza sheria mpya ya ndoa. Ukishindwa kutimiza ahadi ya kumuoa mtu uliemuahidi unapelekwa mahakamani kushitakiwa na ndoa zaidi ya mke mmoja zitatambuliwa iwapo mume atathibitisha...
Jana ilikuwa siku ngumu kwangu,mpenzi wangu baada ya kuishi nae kwa muda wa miaka 3, Jana alinitamkia tuachane anadai mi niko busy sana kiasi sina muda na yeye ukweli tumefanya mambo mengi pamoja...
Hi!
Leo nimependa kuuliza swali hili maana wachangiaji wengi linapokuja suala la bikira wengine wanaibuka na ule msemo wa sizitaki mbichi hizi.
Wadau karibuni
Mm ni mwanaume miaka 30 nimeoa nna mtoto 1,bado nasoma masters chuo kimoja hapa Dodoma,
mwaka huu mwez wa 4 nlikutana na msichana m1 nikiwa na rafiki yangu tukiwa kwenye gari rafiki yangu...
Hii kitu imenitokea ktk mitandao ya kijamii kama we ni mwanamke unatumiwa msg na mwanaume na kama ww ni male unatumiwa msg na fimale.
Hii imenikuta
Unakuta umetumiwa E-mail na f / M anakutaka...
Hii kitu imenitokea ktk mitandao ya kijamii kama we ni mwanamke unatumiwa msg na mwanaume na kama ww ni male unatumiwa msg na fimale.
Hii imenikuta
Unakuta umetumiwa E-mail na f / M anakutaka...
Wana MMU nahitaji ushauri wenu na mawazo yenu.
Mimi ni binti, kwa umri wangu huu wa Miaka 28 tayari nimeshakuwa na Mahusiano na wanaume 14 na pia nimeshatembea na wanaume karibia 25, wale wa...
Wadau hivi kuna professional marriage counselors au relationship counsellors bongo?
Na je mwenye experience na hivi vitu anajua kuwa kama hawa counselors ni effective ku rekebisha mahusiano?
Rafiki wa kike wa dada yangu ananitaka eti niwe namgegeda. Kiumri ni mkubwa kanizidi miaka sita.. Mara nyingi alikuwa ananitoa out, na sikuhisi chochote coz nilimchukulia kama dada. Baada ya...
Nimekuwa katika harakati ya kutafuta mchumba ataenifaa, but chakushangaza demu unaanza tu kuchart nae au kumtembelea ktk kuanza hatua za mwanzo za urafiki na akihisi tu ushampenda... Utasikia tu...
Ngoja niwaambie sisi wanaume tulivyo ili ikusaidie sana kwenye maisha ya mapenzi.
Sisi wanaume wa kiafrica atupendi mwanamke atukubali haraka ina maana ukitongozwa na mtu ata kama...
Habar za mchana wakuu, ni wiki ya pili sasa mke akinilalamikia ati nina mfumo dume kisa nimekataa kumsaidia kazi za ndani ikwemo kufua na kupika naombeni member akiendelea kung'ang'ania nimpige...
Utakuta kuna demu mkali tu anakuvutia ukaamua kumfukuzia
Ila siku akikuvulia mkagegedana, wazungu wakishatoka tu unaanza kujuta ni kwanini umefanya tendo lile
Jamani huku si ni kutamani tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.