Habari zenu marafiki zangu
Leo mabest zangu nimekuja na somo hili KUWAFUNDA
hususani WANAWAKE WOTE haijalishi una miaka 18 -50
au wewe ni mzee,pokea ili somo ambalo najua atakayeitii...
Hii ni muhimu kwa wadada ambao hawajaolewa na wanapenda maisha ya ndoa
-Usiolewe sababu rafiki zako wote wameolewa.
-Usiolewe sababu class mates zako wote wameolewa na...
For we are unable to chart,
In the Language we had,
When I look at You,
And see my pay slip,
In your Eyes,
I feel empty
And sapped.
It is you I accuse,
Because your love is lost,
And you only...
Ukisikia Sentensi yoyote inayoanza na hili neno kwenye mapenzi yenu,ujue kifuatacho hapo si salama kwa afya ya penzi lenu:
KAMA KWELI UNANIPENDA..... ninunulie japo Vitz tu mpenzi nimechoka...
Habari!
Leo katika pitapita zangu nimekutana na mada hii.
Kwamba kuna wanandoa ambao huwa wanalala vitanda tofauti. Na wala sio kwamba kuna ugomvi., hapana ni staili tu ya maisha yao.
Ndivyo...
Surprise nyingine noma . Ona hii .
Nimekuwa nikimchukulia kama rafiki yangu kwa mda mrefu, siku moja kaniambia tukutane sehemu fulani ana maongezi nami. Kwa kuwa ni mtu namfahamu na...
Everyone Has A Different
Story: A poor boy was in love
with a rich man
daughter .One day the boy
proposed to her and the
girl said Hey! Listen, your
monthly salary is my daily hand...
^^
Uchumba wa muda mrefu bila kujua hatima ya baadae huku wakati ukizidi kuzama magharibi.
...
Uchumba wa mbali kijiografia huku habari za hivi na vile toka kwa watu zikileta mashaka
...
Mchezaji maarufu kutoka Brazil Ronaldo De Lima amejingiza kwenye bishara ya ngono baada ya kugombania nafasi ya kununua umiliki wa gazeti la Playboy nchini kwa kwa Brazil.
Playboy ni jarida...
ilikua katika shule ya thomas high school nilipokua form 6
msichana huyo alikua ni rafiki yangu tu na si mpenzi kutokana na mkuu wa shule kumtaka na kumfuatilia mda mwing aliwah kuniona nae mara...
A young mosquito went out flying
for the first time in its life. The
father asked, "How does it feel?"
The mosquito replied, "It was GREAT!
Everyone was clapping 4 me. The father replied, "They...
Hello dear members. Jamani nina babangu anaumwa takriban miezi mitano sasa. Shida ni kwamba maji na hewa yamejaa kwenye mapafu hafu yanamsababisha kukohoa kwa sana na kushindwa kutembea, yaani...
There's danger in loving somebody too much,and it's sad when you know it's your heart you cant trust,
There reasons why people don't stay where they are, baby sometimes love just ain't enough...
SABABU ZINAZOFANYA MTU KUWA NA WIVU MKUBWA
Inafahamika kabisa upendo bila ya wivu unakuwa siyo upendo,
na kila mmoja akijua kuwa mpenzi wake hana wivu basi humtilia mashaka sana na kuhisi...
HIZI NDO SABABU ZA MWANAUME/KIJAN KUPOTEZA UWEZO WA KUZAA-KUTOPATA MTOTO
Vijana ambao bado wana mawazo ya kuongeza familia wakati mwingine hushiriki katika tabia fulani hatari si tu kuhatarisha...
Habar ya j3 wana jamvi! Polen kwa uchovu wa wkend!
Nakumbuka ni takribani miaka 5 sasa nikiwa nafanya kazi kama papaa chalii mkoni Arusha. Nilichagua kupangiwa kituo cha kazi Arusha ili niwe...
Soma kisa hiki kisha utajibu kama unampenda mama yako au la!
Siku moja dada fulani alianza kumwambia mama yake,
"Mama mie sikupendi, uso umekunjamana, sura yako mbaya, wewe sio mzuri kama...
habari wanaJF
mnamo 2008 nlikuwa pale tazara training nikaona wafanyakazi pale wakinawa kutumia mchanga. i tried it and viganja vyangu vilikuwa really smooth for a while. leo nimekuwa nikijiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.