Utafiti unaonyesha vijana wanaojihusisha na vitendo hivyo wanatolewa vijijini
Dar es Salaam.Asilimia 65 ya vijana kata za Buguruni na Vingunguti wapo hatarini kupatamaambukizi ya virusi vya...
Wadau,
Mwenzenu nina mchumba, na tunatarajia kufunga ndoa mwezi ujao..Tar 24 hivi!
Mchumba angu kakataa kufanyiwa send off na ndugu zake kwa kuwaambia hizo ni gharama zisizo na msingi na kuwataka...
Hi ni history ya kweli ya maisha yangu naomba mnishauri wadau.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 29 ni mkristu na ni mzaliwa wa morogoro mwenye asili ya mkoa wa kilimanjaro.Wakati wa utoto...
Unakumbuka nini wakati na Siku ya harusi yako? Jamaa yangu yeye aliwekwa lupango kwa miezi sita Siku ya harusi yake tena baada ya kutoka ukumbini saa sita usiku
Habari zenu wana MMU hii ni mara yangu ya kwanza kuweka post japokuwa nilikuwa mpitiaji mzuri wa mada mbalimbali ktk majukwaa karibu yote ya apa jf kuna tatizo linalonisumbua, muda si mrefu...
KARIBUNI sana rafiki yangu katika uwanja wetu ambao kwa namna moja ama nyingine umebadilisha maisha ya wengi. Inawezekana hata wewe umepata kitu fulani kupitia hapa, maana kila kukicha nimekuwa...
Kuna dada nilimkopesha elfu 30,alisema atanilipa,lakini kwa kadiri nilivyozidi kumdai akasingizia namtongoza na nikome kumpigia simu,Je how can I get my money,sikuwa na sina mpango wa kumtongoza.
Jamani hii story nimeikuta mahali, nikaona si vibaya ku-share na Bandugu bangu ba JF, ili at least wekend hii tuwasaidie my wife wetu huko home.
My Wife DOES NOT WORK !!!
Conversation between a...
Habar wa JF!
bila shaka mu wazima!! Ndug zangu kwa mda mrefu nimekuwa nikifatilia mada mbali mbali za mahusiano toka kwa wanachama wengine, kilichonofanya niandike hii post ni kwamba nina mpnz...
Wana JF naomba mnisaidie mawazo na maamuzi.
Mimi nina msichana ambae ni mpenzi wangu tuna miaka saba kwenye mahusiano na mikwaluzano ipo ya hapa na pale ila tunaimaliza.Sasa kuna kipindi...
Kama ulikuwa na uhusiano na mwanamke kwa lengo la kuzaa naye watoto,lkn Mwaka unakatika huoni hata dalili ya ujauzito na umegundua kuwa alitoa ujauzito wa mwanaume mwingine kabla hujaanza naye...
Mi ni mwanaume lakini nishindwa kuelewa kabisa sie tuna problem gani. Sijui laana!!!
Iko hivi. Hapa mtaani kuna mshikaji amezaa na mke wa jirani yake.(Soma post "nina wasiwasi jamaa ataua mtu")...
'I come to Germany for prostitutes - it's like Aldi'I've been to brothels in all of Germany's big cities. It's definitely addictive, the 39-year-old Floridian said.
Over the past 11 years, he...
awe wa kike asizidi miaka 22 pia awe over eighteen, kwani naamini kwaku share naye mawazo nita jua nimwanamke wa ainagani anaweza kunifaa kuishi naye.:A S kiss:
Refer: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/484815-sina-hamu-na-mwanamke-tena-hata-akiwa-mzuri-kiasi-gani-6.html
Usiku wa kuamkia leo hatimaye nimebaki single, ila maumivu makali...
Wasalaam,
Naona hali ya mapenzi si sawa kabisa, kuna maumivu makubwa makubwa sana kuliko inavyoripotiwa humu jf! kwa kifupi hali ni mbaya sana, hk ndicho unachowezasema kwa kifupi kuhusiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.