Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hiii jf am I just join jf I used to read ur posts n comments o really liked it wallah. ..yeah am sara from oman am 22yrs 10 yrs back I used to live in znz I really liked ur programme n today I...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Maisha yangu yote kwa kaumri changu miaka 25 nimetembea na wanawake 15. Wadada wawili kati ya hao tuliweka ahadi za kuona lakini chenga chenga zikatokea mwishoni . Sasa nimeamua kutulia na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina mpenzi wangu tuliyetoka naye mbali na tunapendana sana,toka kidato cha pili hadi sasa niko kidato cha sita;japo yeye hakufanikiwa kufaulu kuendelea na A'level.Je,huu uchumba ni sahihi? Na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
nina ndugu yangu anayeogopa sana madem hata kukaa na dem kumtongoza hawezi na yuko form 6..je nikimtongozea dem nitakuwa nimempa msaada ?
0 Reactions
2 Replies
894 Views
The Graduate - Mrs. Robinson seduction scene - YouTube
0 Reactions
0 Replies
996 Views
i mic u mzizi mkavu na zile hadithi zako jamani:A S wink:
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari! Nimekuwa najiuliza kwa nini vijana wengi sana wa kiume sasa hivi wanajikita kutafuta wapenzi/wachumba mitandaoni? Je hakuna wanawake huku mtaani tunakoishi? Tunaogopa kuwatongoza...
0 Reactions
59 Replies
16K Views
Nilimpenda sana ila umaskini uliokithiri unaniaribia roho ya kuendelea kumpenda nifanyaje siku na umri unazidi kuenda sioni nafuu yoyote.Hadi uzuri na weupe wangu umeanza kuFADE...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
INAUMA kusalitiwa, inavunja moyo kuwa mwenzi mwenye hulka za ubinafsi. Unajitahidi kuwa mwaminifu lakini yeye anakwenda kugawa penzi pembeni. Wengine wanaita ‘nje cup’. Unajihimu kushirikiana...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Mwanaume kuwa na hela ni sawa na Mwanamke kuwa mzuri,hela kwa Mwanaume ni dalili wewe ni Fighter,ni hard-worker,ni Success Chaser,ni Paper finder..hizi ndo aina za watu Wanawake wanataka...Sio...
4 Reactions
77 Replies
11K Views
Usicheki na video hizi video http://www.youtube.com/watch?v=J-seD81a3kA shule hizo kwa wanawake na wanaume kazi kwenu http: //www.youtube.com/watch?v=vMkHKZHcTh0
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumekuwa na matatizo makubwa sana ya mizozo ndani ya ndoa,kudharauliana,kujibishana,kutukanana na hata kukashifiana,hili jambo mnapoanza urafiki mpaka kufika mnaoana huwezi kulikuta au inaweza...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Napenda kuwashukuru nyote mtakao nipa majibu haya coz jambo hili linanichanganya sana. Nampenzi wangu ambaye natarajia kama mungu akinipa uhai awe mke wangu, but kwa hili linanipa shaka sana...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana jf naomba msaada nimeota nasex na mama mmoja jirani yetu tunaishi mtaa mmoja lakini hana mume ila anaemchukua ni mwalimu wangu(Alinifundisha miaka 15) lakini yeye mwalimu wangu ana mke ambae...
0 Reactions
58 Replies
6K Views
habari za sahizi wakuu humu ndani.kitmbo sana nimekuwa mvivu wa kupost kimtindo nisiwachoshe cse siwalipi:smile-big:just jokes,hili lina wahusu mama,dada,wadogo,shemeji,wakee na girl lover...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wa salamu mmu Jamani naombeni kujua tabia za watu waliozaliwa tar hiyo Asanteni Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiwatafuta members wa JF walioko jijini Mwanza bila mafanikio, hivi kweli mpo au? Nijuze wapi mwakutana w/end hii? Japo kesho nina kikao cha harusi pande za Nyegezi lakini...
0 Reactions
75 Replies
4K Views
Wana JF natumai miwazima Nimepata rafiki ktk huu mtandao ni wa kiume kama mm tunawasiliana sn kwa simu nampigia ila yy huishia kutuma sms tuu sio mbaya kwangu kwani anadai hali yake ni ngumu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu, leo mchana mda wa lunch time, nlikuwa na mazungumzo na moja kati ya rafiki zangu wa karibu, anajambo ambalo alidhamiria kuliweka moyoni lakini kakosa uvumilivu kaona bora...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom