Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wana jf, nimefurahi kupata sehemu ambayo naweza kusema imenisaidia kujua mawazo ya watu na jinsi gani tunaweza kusaidiana katika masuala mazima tunayokabiliana nayo katika maisha yetu...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Umekwenda Ofisini kwa watu kuwarekebishia Sinki lao ambalo wanalalamika kuwa limeziba. Basi ile unaingia kwa Ofisi unakuta Sekretari ni Mchuda mmoja msupuu kinoma, basi unajiapiza ni lazima utupe...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
1. COROLLA. ~ prostitute type.These help in time of needs, more like a taxi. 2. BMW.~ Expensive but not wife material. Usually called " wallet virus" 3. NISSAN. ~ Driving school. Every Mike and...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Kitu ambacho nimekifahamu kuhusu mwanamke ambaye are inlove Moja, awaamini kabisa rumors kwamba wapenzi wao wana cheat, japokuwa ni kweli Mbili, wapo tayari kufanya kilakitu kwa nguvu zote zote...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndg wana jf, nilipost thread yang yakuhitaji mke wa kuishi naye kuwa anayeona yeye ni wife material kabisa ani PM lkn kwa bahati nzur baada ya kumaliza tu UE tu nipata safari ya kwenda Russia...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
zifuatazo ni njia ambazo unamuacha mwanamume kwa njia rahisi bila kupigana na wala matatizo kama vile kumwambia kuwa hujui mapenzi na husisimui kabisa na huna mvuto kabisa kwangu halafu...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Voda mmekua matapeli, haiwezekani leo naweka vocha dheni inaingia na kutowema ghafla hapo hapo naambiwa salio langi halitoshi, kama ndio tunaanza kulipa code kwa staili hiyo mtujize wateja wenu
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Nina mpenz wangu(msichana) ambae tupo ktk uhusiano kwa mwaka mmoja sasa, lakin tatizo la huyo mpenzi wangu ni UONGO, mara ya kwanza alinidanganya wako mapacha, nikakubali ila nilipobaini hawako...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ewe ua langu la waridi lenye fumbo,ewe dada uliye ngao yangu na kitulizo changu. Funua macho yako uisome nakala hii fupi ya mapenzi, nakuwaza kila siku mchana na usiku. Usingizi sipati kwa ajili...
1 Reactions
95 Replies
10K Views
Mwanamuziki na mshiriki wa Big Brother Africa mwaka 2012 hayati Goldie Harvey mzaliwa wa Nigeria enzi za uhai wake Goldie alifariki ghafla hapo mnamo February 14, 2013 muda mfupi baada ya kurejea...
8 Reactions
53 Replies
8K Views
This has been deleted or closed by user...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba niwasalimu na niwaulize. Mimi nilimpenda mdada baada ya kuwa na ndoa na nikazaa nae. Mke wangu ambae tulikuwa na watoto 2 akakasirika sana,akaokoka. Jambo la ajabu anaona wale...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Toka nianze harakati zangu za kujitafutia hela huyu mama nilikua nampa heshima sana hapa mtaani kwetu lakini tangu mumewe ameondoka kwenda kijijini kwao nimetokea kuzoeana sana na huyu mama. Kuna...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
1. Unakwenda dukani kwa mangi kukopa (kuongezea deni) ukijua kabisa mangi anakudai na atakusimanga simanga, wengine wanataa kununua kondom, mwingine kaiba mayai 2 kwa jirani anakuja kuuza unakuta...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau ebu tusaidiane hapa! unaondoka nyumbani unamuaga mkeo vyema unaenda kibaruani na unamuambia kuwa hali ya kutafuta huko si nzuri na yeye hakupi ushirikiano wowote iwe kukutia moyo na hata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa ufupi... Kutoa ahadi ni rahisi lakini kutimiza ahadi ndio tatizo! Nice, binti mrembo mtoto kigogo wa benki kuu tawi la Mwanza, anampa ahadi mpenziwe Robert ya kuwa atampenda milele...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wakuu poleni na kazi na saumu kwa mliofunga! Napenda washirikisha jambo au mambo ambayo naamini wengi wetu tunayaona au tumeyapitia. Katika kusoma kwangu toka primary hadi chuo na taaluma...
1 Reactions
0 Replies
996 Views
Habari, Kuna haka ka tabia kamekua sasa, mkaka unampa mimba mdada/mchumba then ndo utangaze ndoa, je kuna mapenzi ya kweli hapo? Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomben kujua, hv ni kweli kabisa unaweza kumpata mwanamke yeyote umtakaye kupitia kwa Mganga?
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wadau nashuhudia tukio la kusisimua mda huu, jamaa kashikwa na mke wa mtu hapa Kitivo Lushoto, adhabu aliyopewa ni kuogeshwa maji ya pilipili, duuh hii ni noma eti. Njemba inalia kama katoto...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom