Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana...
25 Reactions
84 Replies
10K Views
Yani wewe ubaki na simu yake hlf akupe yake kwa KUTWA MOJA tu. eti wakuu? inawezekana au tuwaache kwanza? maana wengine hamkawii kudai tunawaonea wivu[emoji102]
3 Reactions
37 Replies
758 Views
Nasikiliza mazungumzo ya mama na binti yake hapa. Binti anajaribu kumshawishi mama yake amruhusu aolewe na dereva boda boda. Binti: lakini mama huyu ni muelewa. Mama : kwanini usitafute kijana...
28 Reactions
212 Replies
9K Views
Kila mwanaume hupenda sana kuunganisha ruti ila changamoto ipo kwenye namna ya kuunganisha. Wakati mwingine sababu inaweza ikawa ni yeye au mwanamke wake. Kuunganisha ni kutamu najua ambao...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Ndugu zangu Waislamu, leo napenda kuzungumzia masuala muhimu yanayohusu ndoa katika Uislamu. Ndoa ni taasisi takatifu na muhimu katika Uislamu ambayo inaongozwa na mafundisho ya dini yetu. Hapa...
2 Reactions
3 Replies
325 Views
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami...
9 Reactions
29 Replies
1K Views
*ANGALIZO KWA MABINTI, TAFADHALI USIPUUZE..!!* Mimi sikukatazi kutumia mwili wako kama kitega uchumi. Sikukatazi kulala na wanaume kwaajili ya pesa,mavazi,vipodozi na hata magari Lala na kila...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Hello wadada wa jF, Nimependa kufahamu toka kwenu sababu za wa dada warembo, wazuri na wenye elmu zao na wengine na pesa zao kuchelewa kuolewa nakujkuta na umri mkubwa 27 mpaka 38 nini tatizo...
2 Reactions
191 Replies
18K Views
Wakuu salaam...... Leo nakumbusha tu kale kamsemo kalitrend zzzzzzz.... Mwanaume anaridhika na kutamani uzuri wa ke kiasi cha kusema hata awe hana maarifa na utashi lakini akishajaliwa shape na...
3 Reactions
16 Replies
578 Views
Wasalaaaaaam wazeee... Juzi jumapili nilitembelewa na mpenzii wangu ambaye tuna miezi tatribani minne toka uhusiani wetu ulipoanza. Sasa tumekaa sitting room kwenye channel flani ikawa inapigwa...
19 Reactions
35 Replies
1K Views
UKIKUTANA NA MTU MWENYE KAULI HIZI JUA ANA HISTORIA YA KUTAPELIWA KIMAHUSIANO 😔 1.Wanaume/wanawake wote hawafai. 2.Dunia ya sasa hakuna waoaji/waolewaji. 3.Nawachukia sana wanaume/wanawake...
3 Reactions
7 Replies
449 Views
Kwema wakuu Ipi Kati ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza bila kuwa na mazoea nae inafaa.
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma kidogo wakati naanza kukua, niliwahi sikia msemo uswahilini kwetu. Msemo ambao hadi leo hii huwa bado unakita ngoma za masikio yangu... ''Ndugu yako wa kweli ni mama mzazi''. Kila...
41 Reactions
99 Replies
9K Views
Hautakiwi kumpa hisia za furaha muda wote, hautakiwi muongee vya kuboa kila muda. Usiogope kumwambia maneno ambayo unaona ni makali bila kumtukana/kumdhalilisha. Usiogope kumwambia kitu kibaya...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Hii ndiyo asili yao,hivyo ndivyo walivyo na hata wao wanatambua kabisa hiyo ndiyo asili yao!. Wewe jifanye ni mstaarabu kwa Mwanamke uone atakavyo...
45 Reactions
98 Replies
9K Views
Habari ya muda huu.. Ilikuwa mwaka 2010 kwetu huko Tabora. Sisi tulikuwa wakulima wazuri wa zao la tumbaku. Wafanya kazi wetu kwa asilimia kubwa tulikuwa tunawatoa Burundi. Kulikuwa na huyo...
16 Reactions
36 Replies
2K Views
Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena. Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume...
6 Reactions
29 Replies
889 Views
Biggest mistake you can ever make is making someone else's happiness your priority "I made sure you were happy even when I wasn't" I felt that line🥹 Guys it's ok to be selfish and self centered...
3 Reactions
37 Replies
1K Views
Kwanza kabisa kuna “Upungufu wa Wanaume Waliofanikiwa” lakini hakuna “Upungufu wa Wanawake Wazuri” tokea dunia iumbwe. Pili wanawake wazuri au wenye mvuto huwa wanaona wamezaliwa na...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom