Habari zenu wana jukwaa, nimeona nitoe angalizo kwa kauli za kijinga zinazolazimisha baadhi ya watu kuziishi, mfano 'hainaga ushemeji-tunakulaga', 'ukimwi ni Kama malaria tu','pesa ndo Kila...
Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga...
Hii kauli ya "Ndoa ni Mwili mmoja" Kuna la kujifunza Kupitia hii mifano.
Hawa Ni waimbaji wa nyimbo za Injiri na walisema hayo Maneno.
Ikumbukwe wazi kua ndoa Nyingi za kikristo zinashida...
Dah masuala ya udomo zege bwana hatari yaani mpaka nimeamua kupitia wanawake madanga au bei poa. Kwa kweli hata sina muda wa kubembeleza wanawake wanaoringa wao waringe tu ila sina time na wao...
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha...
Ibaki hivyo, wala sijakosea. Ipi ni maana sahihi ya nguvu za kiume?
Nguvu za kiume ni uwezo wa kiumbe hai kulifurahia na kulistahimili tendo la ndoa kwa muda mrefu zaidi. Hivyo hakuna kitu...
Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja.
Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne...
Unakutana na jamaa analalamika yule demu nampa kila anachokitaka lakini kila nikimuomba ulumbuzi ananipiga kiswahili ...
Mahusiano ya hivi nimeyaona mengi sana..
Wengine walienda karibia miaka 2...
Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii.
Hii saikolojia iliyothibitishwa.
Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile.
Hata kwa wapenzi ni...
Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo...
AFTER SEX WHAT NEXT.
It's possible for any man to ask for sex in a relationship, but is left for you as a lady to know that sex, can't keep him..(Sex isn't enough)
There's a two major factors...
Siku moja niko zangu nimetulia tu hata sijui siku inaendaje,basi wakati nachezea simu mara paap nikapata wazo la kutongoza customer care 😂
Chap tu nikapiga 100 kila nikisikia sauti ya kiume...
Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao.
Mashemeji zake...
Jinsi maisha haya inaonesha idadi ya wakataa ndoa inazidi kuwa kubwa yani siku hizi ndoa zimekuwa kama uchaguzi NEC tanzania.
jamaa kavisha pete kumbe pembeni kuna jamaa alishapitia kitambo
Mapenzi hayana mjanja,unaweza kuwa mjanja na ukanasa kwenye penzi kwa mtu mlugaluga hadi watu wakakushangaa, au ukanaza na kuzama kwa mtu malaya.
Sasa hii imenitokea mimi.kuna mrembo nimemzimia...
Hiki ndo kizazi bora na ambacho kipo logically .
Ndo waasisi Wa kataa ndoa crew
Wanazaa kwa mpango
Wapo logically
Wapo na mental well being.
Be blessed , Golden generation.
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa.
Ndoa haijafungwa no sex...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.