Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi
Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga
Dah ila wanaume jamaan poleni Sana
Mnalia Lia hamna nguvu za...
Huyu dada nafahamiana nae kwa mda wa mwaka na miezi kadhaa hivi. Tulikutana katika mishe mishe za maisha tukajenga urafiki wa kawaida. Binafsi nafurahia sana urafiki wetu, ni dada flan ivi ana...
HAKIMI APATA CHOMBO MPYA
Staa wa Morocco na klabu ya PSG anayesifika kwa kuwanyoosha wanawake matapeli ametajwa kupata mchumba mpya ambaye pia ni mchezaji wa timu ya wanawake wa klabu ya PSG...
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80%
Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao.
Ila ukimuona mwanaume ambaye...
Ndugu zangu haijalishi wanawake watakuja kutukana hapa na baadhi ya wanaume wapumbavu watakuja kutema mapovu hapa kutetea ujinga wa hizi sampuli ila ukweli ni kwamba wanawake hawana haki ya...
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia?
Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu...
Habarini ndugu zangu,
Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi
Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa...
Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya...
point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta...
Wakuu, hii imekaaje?
Ni kwanini wanafunzi wa sekondari hasa kuanzia kidato cha nne, tano na sita wasifundishwe kuwa na mahusiano salama huko mashuleni?
Kuna rafiki yangu na ndugu yangu wa...
Habari
Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.
Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao...
ELEWA VIPINDI NA HALI YA MIHEMUKO KATIKA NGAZI ZA MAHUSIANO
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
JITU LA MIRABA
Katika kahusiano kuna mihemko inatofautian kati ya jinsia na nyakati za...
Habari zenu members,
Leo nimetumia muda mrefu saana kuongea na kucheka na mke wangu(huaga nafanyaga hivo siku moja moja) maana huyu mwanamke hana utofauti na wanawake wengine kwahiyo naishi nae...
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.
Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema...
Habari Wadau,
Hii mila ya wanaume kuwatongoza wamawake imepitwa na wakati.
Yaani unakuta dada anakufuata bra bra kibao, mara simu yangu inasumbua narekebishie, mara nimekufananisha mara hivi...
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu)
Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu.
Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya.
Nilikupenda sana wewe ila mke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.