Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Siku zote naona tu kuna dawa za kuongeza nguvu za kiume ila sijawahi ona dawa za kuongeza nguvu za kike. Mwenye kujua zinakopatikana hizi dawa plse atupatie taarifa hapa jamvini nina uhakika...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Ukijiamini, mambo yako yanakuwa safi..... Wanasema kila jambo lina hasara na faida zake. Kutojiamini faida yake kubwa ni kujificha mahali ambapo kila mtu anakuona na kuamini kwamba, umejificha...
9 Reactions
53 Replies
9K Views
Jaman wanajamvi wa Jukwaa la MMU mm mwana mpotevu, natangaza kurudi rasmi katika jukwaa ili kama ilivyo kua awal! Naomben mnipokee
0 Reactions
9 Replies
1K Views
yaan guys sio siri dunia imekwisha leo kwa mtaa wetu uku, kuna jamaa kambaka mzee wa miaka 80 sasa mi sielewi, huyu jamaa tatizo lake ni nini tamaa,ugwadu, uchizi wa mapenzi au ni nini hasa?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Hi, Huwa nawashangaa sana wanaume wanaowapa wanawake mimba halafu wanamkana hadi na mtoto.Na hapa ndiyo najiuliza siyo wote wenye jinsia ya kiume ni wanaume.Kama hukumpenda mdada kwa dhati bali...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Wanajamvi habarini za mida? Ninajua tumekuwa tukijadili sana usaliti kwenye ndoa, kizungumputi kilichopo, na mengine mengi. Pamoja na hayo yote, ni kweli kabisa kuwa ndoa nzuri na perfect ziko...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu kuna hii tabia ambayo sijui kama ni utandawazi au tunakiuka mila na desturi za Kitanzania. naomaba mnisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kujua jinsia ya mtoto ukiwa mjamzito?
0 Reactions
20 Replies
42K Views
Ni mambo ya ajabu na kusikitisha sana eti inatokea msichana\mwanamke unataka mwanaume mwenye sifa mfano mrefu mweusi asiwe mnene sana ,BASI wanatokea watu wanaPm nawe unachagua wa kwenda kuonana...
3 Reactions
77 Replies
5K Views
Habari zenyu bhana......... Hope mko pouwa! Kuna hii issue ya wajawazito kuvaa nguo fupi maarufu kama vimini, unakuta mama mjamzito kavaa kigauni au kiskirt kifuuupiiiii saaaaana kinachofikia...
6 Reactions
153 Replies
44K Views
Ndugu zangu nimejitokeza kwenu kuomba msaada.Mimi ninaishi na kaka yangu ila kaka yangu ana mke na kaka yangu mda mwing hayupo huwa anasafiri kikazi na huwa anakaa miezi mitatu anapokuwa kazini na...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya Wanawake wanaonekana ni wavivu wa mapenzi katika ndoa.Viashiria vyake ni wanaume kuwa na nyumba ndogo kutokana na kutotosheka kimapenzi katika ndoa.Waliotoa...
1 Reactions
66 Replies
16K Views
katika maisha yangu niliapa mjeshi kuanzia magereza, taja mwenyewe hadi Jeiwi, kamwe hawataingia kwenye maisha yangu au mwanangu, LAKINI kwa uvumilivu wa mr. Prez Jah Kaya anavyotawala...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
  • Closed
Hivi kwanini serikali isiruhusu ndoa za jinsia moja maana hawa watu wapo tutake tusitake wamejaa katika jamii yetu na wapo mitaani wanajificha na kufanya ufuska nyakati za usiku, sababu tu...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Hi! Je hii ni kwa sababu ya kutopata malezi mema kutoka kwa wazazi?Au viongozi wa dini hawafanyi majukumu yao ipasavyo?Au ni kutokana na kusahau mila na desturi zetu! Au sayansi na technolojia...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za mishughuliko wadau? Watu wa mitaani wanasema kuwa kufanya mapenzi bila kinga kwa bao la kwanza halina madhara yeyote kama mmojawapo kaadhirika na HIV/AIDS, Lakini sharti moja ni kuwa...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
We kama hunipendi kuna kundi la wananipenda we kama hunijali jua kuna anaenijali na kunithamini we kama unanichukia wapo wanaoongea na mimi na kucheka nao. Niseme upendavyo na nichukie utakavyo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
  • Closed
Mimi ni kijana wa miaka 27. Ni daktari kitaaluma. Nimesoma seminari ktk kipindi chote cha maisha yangu ya elimu ya msingi na sekondari. Niliingia kozi ya udaktar nikiwa na miaka 20. Hapo ndpo...
2 Reactions
102 Replies
15K Views
Kuna siku mtu alileta mada ya unalalaje? akaweka picha nyingi watu waseme anavaa nini wanapolala. Kila mtu alikuwa na lake la kusema, ila niligundua watu wengi hasa walio ndoani walisema wanalala...
15 Reactions
239 Replies
31K Views
Kumbuka kuwa: uwongo umesababisha watu kuingia katika uhusiano kimakosa. Umesababisha watu kulea watoto wasiokuwa wakwao. Umesababisha watu kuhukumiwa makosa yasiyokuwa yao. Umesababisha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kuna katabia siku hizi unakutana na demu na siku hiyo upata penzi.je ni kwenda na wakati au urahisi wa dada zetu.coz anayetongoza ni mwanaume.
4 Reactions
138 Replies
11K Views
Back
Top Bottom