Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi kwa nini wabongo ukiwaonesha unawapenda sana wanaanza kukuletea mashauzi kulaleki ngoja karibia mwenzenu atakula hasara akizidisha mashauzi yake maana nakribia kuchoka.
3 Reactions
99 Replies
7K Views
do you think virginity is still important in the world we are living today? what is your say....
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndugu salam, kama nilivyojitambulisha jana, naitwa Lamar. Niliwahusisha mkasa nilioupata kwa mama dean, asanten kwa ushaur wenu. Niliamua kwenda magomen kupima afya kama mlivyonishaur weng wenu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndoa ina miaka mitano. Tuna mjengo ambao bado una sua sua. Hivi juzi tu nimedokezwa mke wangu kajenga kisirisiri kwao Bomangombe Moshi nyumba ya maana. Nimefnya utafiti na kujiridhisha ni kweli...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
++ Ni wanaume wasiotunza siri. ++ Pengine unaweza kushangaa sana.Kote duniani,mwanamke anajulikana kwa kutoficha siri.Hupenda kugawana siri za mahusiano ya wanaume wao mbele ya wenzao kama...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni jijini Paris. Full mipilau na kuku leo. Police kudumisha ulinzi. Bwana harusi 40yrs. Bibi Harusi 30yrs. Kukata keki kama kawa!! Watu kibao wamearikwa. Hii ni balaa na ni dalili za wazi...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa nn baadhi ya wanawake Wanaopelekwa shopping Hupenda kuchagua expensive? Kama picha hapo inavyojieleza
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu. Ni mwaka wa tatu sasa niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mume wa mtu.nilikutana naye nikiwa nafanya dissertation kukamilisha mwaka wangu wa nne wa masomo chuoni, yeye alikuwa...
0 Reactions
271 Replies
19K Views
habari zenu wanajamvini naomba kufahamu mambo mawili matatu hivi unapokuwa na rafiki wa kiume wote mnafanya kazi ila asilimia kubwa mnapotoka outing hata akikuona unalipia bili mlizotumia haoneshi...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Hello peoples of MMU!! Am feeling sooo good, OmYoga & Lifestyle Magazine - Faith Hunter Video Blog #2 - Extended Side Angle Pose - YouTube...
1 Reactions
0 Replies
914 Views
habari wapendwa, Kwa wale ambao hatujaoa/kuolewa, je kuna umuhimu gani wa kuoa/kuolewa na Mcha Mungu (hapa siko upande wa dini yoyote)? Kwa kizazi hiki kwenye upande wa uaminifu,kuna tofauti ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi jamani unamuelewaje rafiki yako wa namna hii ambaye anakukuta na mume/mkeo na katika story lazima akupe ya kukuumiza kukuabisha mfano..hahah shemeji kweli umefanikiwa sasa hivi kumshika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Huwa kuna jambo linanichanganya kweli!unakuta kijana wa kiume amemaliza chuo kikuu,anafanya kazi kwa miaka kama mitatu hivi ila cha kushangaza bado anakaa kwa wazazi!kibaya...
1 Reactions
142 Replies
13K Views
Ndugu wanaJF. Naitwa Lamar kwa jina. Ninasoma chuo kimojawapo chenye jina kati ya vyuo vikubwa vya serikali. Nipo mwaka wa 3. Mwanzoni mwa mwaka wa pili niliingia katka mahusiano na afisa mkuu...
0 Reactions
130 Replies
10K Views
Tunajua wote kwamba, hutokea wanawake wakateswa sana kwenye uhusiano wao wa kindoa au kimapenzi na bado wakaendelea kukaa tu kwenye uhusiano huo. Inafikia hadi mtu anakufa huku akiona kabisa. Watu...
12 Reactions
22 Replies
3K Views
Japo sijafanya uchunguzi rasmi, ila nimenotice kuna ongezeko kubwa la single mothers especially kwa wale waliosoma and/or kuwa na mafanikio kimaisha. Is marriage becoming old fashion and single...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Mpenzi wangu wa long distance relationship kweli kiroja. Mimi naishi Dar, yeye Morogoro. Amekuja kunitembela leo sababu mimi nipo off. Tupo chumbani sasa pindi nimeanza maandalizi ya mambo yetu...
3 Reactions
57 Replies
5K Views
(A). Virgins .. (B). Jobs (C). True Love
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Wana Jamii wenzangu nina hakika mko poa j3 ya leo. Wakati natoka home this morning, friend of mine alinipigia akaniomba anipitie ofcn, kuna ushauri alikuwa anataka. He come, Alichoniambia na...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano.. i mean sura,shepu na kadhalika... sasa nije kwenye mada...... siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki wapo pamoja....mmoja...
18 Reactions
252 Replies
16K Views
Back
Top Bottom