Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
May 28th (today) is celebrated as "National Masturbation Day". Kama huamini google
1 Reactions
21 Replies
3K Views
AINA ZA HUSBAND 1. Bachelor Husband - Huyu hajali familia yeye na marafiki na kushinda nje ya nyumba yake 2. Acidic Husband - Huyu ni mkali kwa kila jambo hata jambo liwe dogo vipi ni kuwaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wadada wawili wanaelezea faida za wao kuolewa na wazungu na maisha wanayopata kwa wale wadada wanaopenda na wanaoota na kutamani kuolewa na wazungu watazame sasa hivi wapate mbinu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ni sahihi kwa wanaume kuogopa kuoa wanawake wasomi, mi nadhani c sahih coz mwanaume kuogop kuoa msomi ni kujivua badhi ya kuw kichwa na kumpa mwanamke...achen uoga oaneni na muapndao...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa walio kwenye ndoa STORY FUPI YA WANANDOA "Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie. Mke wangu alikaa...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Sura unayoiona hapo juu ni sura ya mwanamke. Bila shaka umewahi kukutana na sura kama hiyo maishani mwako. Hata kama siyo inayofanana hivyo kwa kila kitu, bali ni sura ambayo unaweza kusema...
6 Reactions
35 Replies
9K Views
Hivi kwa nn wafanyakazi Wanapenda kuwasilimia mabosi wao mwisho wa mwezi ?? Leo asubuhi tu wakati natoka mlinzi kanisalimia "shkamoo bosi" nilipofika ofisini pia nimechangamkiwa sana na staff...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Hii kitu inaendelea sasa hapa hapa nchini. Nimekuwa nikipewa taarifa hizi kwa Muda na weekend hii nimezithibitisha Mwenyewe. Ni katika mkusanyiko wa nyumba tatu za mmiliki mmoja zote ziko ndani...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Ahsanteni kwa ushauri mlio nipatia kuhusu thread niliyo post juu ya wazo lililo kuwa linanisumbua la kutaka kujiua! Nilikwenda kwa miongoni mwa wachungaji mlio nielekeza na kuombewa,na sasa nipo...
4 Reactions
8 Replies
966 Views
++ Ndugu wana JF nimekuwa nikitazama kwa makini mwenendo wa haki za wanawake au haki sawa ktk siasa,uchumi,tamaduni,ndoa na mahusiano mengineyo ya kijamii. Jambo ambalo lipo wazi ni kuwa harakati...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za siku nyingi wapendwa.nimerudi tena baada ya kimya kireeefu. Leo nina maswali machache ningependa kupata maoni kutoka kwenu. Je, mwanao ni rafiki yako? (hapa nazungumzia zaidi kwa wale...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wa jf, nina boyfriend wangu nampenda sana ila hua sina mizuka nae sana kitandani , hata akiniomba nahisi kero napenda sana kua nae karibu ila si kitandani.ni fanye nini kuitoa hali hii?
1 Reactions
78 Replies
9K Views
•Problem with Boys: "They can make u believe that they luv u, even when they don't" •Problem with Girls: "They can make u believe that they don't luv. u, even when they really do..." TRUE OR FALSE
1 Reactions
7 Replies
894 Views
MUONEKANO- Awe mzuri wa kawaida tu, kwani naamini binadamu wote ni wazuri sema tunazidiana kwenye maeneo flaniflani, ila tuwe na uwiano kwenye height AWE MCHA MUNGU- Apende kusali, hata kama...
9 Reactions
88 Replies
6K Views
BY ALISON DENISCO When I was twenty years old and dating my first serious boyfriend, my grandma Carmela asked my mother point-blank if I was still a virgin. She didn't get an answer, but I came...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenyuu, Rupee - Tempted to Touch - YouTube This early morning, someone somewhere has send me this song and want a dance with me in the evening today, he said he is temped to dance with me...
3 Reactions
70 Replies
3K Views
Habarini za leo wanajamvi wenzangu wa rika langu na wakubwa zangu shikamooni!Ni siku nyingine tena amabayo Mungu wetu muumba katujalia kheri nasi twapumua hewa yake safi mpaka wakati huu na kwa...
13 Reactions
105 Replies
11K Views
Naombeni msaada wenu kwani ndoa nyingi zinashida ya kupata watoto kwa muda mrefu. Dk tatizo nini kwa watanzania wenzetu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf, Kuna rafiki yangu anatarajia kufunga ndoa mwez wa nane mwishon, jana mchumba wake alienda kupima na ikaonekana ana ujauzito wa mwezi mmoja, sasa wanapata wakati mgumu kwa...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Wakuu, Heshima Kwenu. Ningependa Kupata Experience zenu za nini Changamoto/Challenges Mwanaume ategemee Kuzipata Mara Baada ya Mkewe Kujifungua. Vitu kama Game, n.k nk., Hata akina Dada/Mama Pia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom