Heshima kwenu brothers and sisters
MKATA KIU siku za karibuni nimekuwa mdogo, ujanja wote umeniisha sijui kwa nini, I see muda wa mabadiliko ndo umefika na kujitambua
Kiukweli mi ni fan wa...
++
Bado najiuliza ni kwa nini watu wanasafiri mbali sana na kupoteza rasilimali nyingi ikiwemo fedha,muda,na mengineyo kutafuta maajabu ya dunia,,huku wakiacha ajabu la mwanamke?
++
Sababu hasa...
Mwanzoni tokea nimekuwa na mke wangu nlikuwa namtamani kila mda ila tokea last week hata akinigusa sihisi chochote je hili lasababishwa na nn?wakuu mana anajiskia vibaya as if mie nimepata...
Nina mchumba ambaye nimedumu nae kwa muda wa miaka 9 lakini sasa ana mimba ya jamaa mwingine stori kamili nimeipata toka kwa rafiki yake nimembana amekubali na kuniomba msamaha nimeshindwa la...
Machapisho ya Moabi ndio habari za mwanzo kabisa kutanabaisha yakuwa Yusufu ndie binadamu wa kwanza KUBAKWA na mke wa mfalme wa Yudea, na adhabu ilitukia kwake kwakwenda jela kifungo kirefu...
Wakuu ni matumaini yangu mko poa.
Mimi ni mvulana miaka 20 niko chuo. Nimepata ajali ya kuungua na moto kwenye mguu wa kushoto nilipokuwa na umri wa miaka mitano na kusababisha mguu wangu...
Ndugu zangu, kwa mda wa wiki moja hivi nimekuwa jukwaani hapa kama mgeni baada ya kuzawadiwa ban kutokana na mchango wangu huko jukwaa la siasa, jukwaa lile kuna watu wanakera, wana-behave kama...
The core to this subject is contemplative neuroscience (which asserts that a person can increase/extend his/her capabilities and capacities towards love, feelings, emotions, meditation and...
Vijana wengi tumekuwa tukilalamika kwamba mabinti wa siku hizi wana mizinga ya reja reja tena mikubwa.
Ila hili jambo ukiliangalizia katika "big screen" ni jambo ambalo linakufanya utafute hela...
FOOTBALL vs SEX.
1. Going to your bf/gf's without being invited = OFFSIDE
2. Dating a girl today and having sex on the same day = FREE-KICK
3. Condom = GOALKEEPER
4. Condom breaks =...
Hello everyone, am here because am curious and maybe i want to learn and understand something.
To you all who are in a love relationship, i wish to know something;
how many of you are...
Kwa wale mnaofanya mambo ya faragha mbele za watoto, haya ndo mavuno yake
Little Girl Confronts Mom and Dad about Them having Sex! - YouTube
When kids see too much... - YouTube
Na wale mnaowapa...
Kutoka kushoto Paloma, ladyfurahia na wa mwisho ni charminglady sijui wanateta nini, nisije nikasutwa.....
Hebu nikuulize wewe mwanamke. Je umewahi kumficha mumeo au mpenzi wako kitu chochote...
Wakuu wa MMU heshima kwenu!
mimi hili jambo huwa linanikera saana, maana wapo wasichana wengi wazuri, warembo wenye kila sifa, lakini utashangaa kijana anang'ang'ana na mke wa mtu, kwa nini...
1-Wengine wanaogopa fedheha kwa kuwa wanaolewa /anaolewa akiwa si bikra
2- Ni uoga wa kuanza kulala bila nguo ya ndani akiwa kwenye ndoa na mumewe
3-Sababu ziko nyingi lakini asilimia kubwa...
Unakuta msichana mzuri anavaa kinguo kama yupo chumbani na mpenzi mpaka wakati mwingine anatembea anaona aibu, kwani nani anataka kuona hivyo vipaja vyenu vibaya, acheni kuiga kila kitu kutoka kwa...
Salamu kwa wanajf,
Ni swali ambalo mara nyingi nimekuwa nikijiuliza mara nyingi pasipo kupata jibu la moja kwa moja juu ya hoja ambazo najiuliza mwenyewe, hivyo basi ningependa kuona ama kupata...
Jamani mwenzenu nasumbuliwa sana na hii tabia; Kila ninapokuwa na jamaa zangu tukizungumzia masuala ya mahusiano huwa tunazungumza mengi sana kuhusu wanawake lakin wakishaanza tu kuzungumza kuwa...
Habari,
Jamani naona haka kama kamekuwa ka ugonjwa. Nilianza kama utani miaka michache nyuma kumnunulia kama zawadi kwakuwa naona different different design & colors zinaleta muonekano tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.