Habari za wakati huu wana Jamii, ninashida namtafuta kaka mmoja anaitwa Twalib (Moloto) au amezoea kujiita majina ya wacheza mpira wa nje alikuwa ni mwenyekiti wa timu ya mpira sinza star.
Nina...
Sijui hii staili ya wakina dada ya kutembea imepotelea wapi sikuhizi......wale vijana wenzangu wa zamani watakumbuka msichana alikua akijulikana na kusifiwa zaidi kwa kiwango chake cha kutingisha...
Salaam. Kwa mwenye taarifa zozote za alipo mwanafunzi aliyekuwa akijulikana kwa jina la Rukiya Abdalla Ali kwenye shule ya Sekondari ya Al-Haramain mnamo mwaka 1994 naomba awasiliane na mimi...
kuna siku nilitoa ombi langu la kutafuta mwenzi kwenye huu mtandao.walijitokeza watu wengi sana.
basi siku moja nikafanya appointment na mwanaume mmoja tukutane ili tujuane vizuri.tukapanga...
u just came back 4rm work/school,openin d door 2 ur room u found a beautiful nd sexy lady lyin on ur bed NAKED! wat wil u do?
-shout
-fu*ck her
-faint
-run away
-run 2 ur pastor/sheikh
-others specify
jamani nimemtambulisha mchumba wangu nyumbani Mambo yalikwenda vinzuri lakin wakati msindikiza alikua analia nikajua furaha wala sikufatilia baada ya mda nikapigiwa sim amelazwa nikaenda kumuona...
Habarini wanajamvi wenzangu
Ni matumaini yetu kuwa tu wazima na tunaendelea na pilikapilika za
sikukuu ya Pasaka ,na mambo mengine kiujumla,
Leo nimependa kusema nanyi hususani ndugu zetu hawa...
Kiukweli binti au mwanamke yoyote utakaekutana nae barabarani atakuwa na ndoto zake kimahusiano,atakuwa anatamani awe na mwanaume wa aina fulani hivi,yaani kuna mwanaume ambae tayari...
Habarini wana jf, katika maeneo ninayoishi nimebahatika kumuona mwanamke ambaye nilikuwa namtafuta sana toka zamani kwa vigezo vyake. Sasa nimebahatika kumuona, sasa tatizo wadau ni kwamba ana...
STARING at busty women can lengthen your life, scientists have proved.
A German study, published in the New England Journal of Medicine, concludes that staring at women's breasts for a few minutes...
Eti jamani wana JF mfano ndo umekuta meseji kwenye simu ya mpenzi wako ndo inaingia !!ukiangalia jana yake mkeo alichelewa sana kurudi homu na akakuambia kuwa kabanwa sana na kazi za kiofisi hapo...
Ni jamaa yangu, kanipigia simu kaniita bar. Nilipofika kanieleza yaliyoko moyoni.
Miaka kama minne nyuma aligundua kuwa mkewe ana mahusiano ya kimapenzi na jamaa mmoja. Akaendelea kuchunguza...
Poleni na kazi, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 25, na nimechumbiwa. Tatizo langu ni kwamba sijawahi kujisikia hamu ya kufanya mapenzi na wala huwa sitamani kufanya ngono, lakini huwa...
Hivi jamani, thamani ya mwanamke ni nini? Au kwa lugha rahisi ni nini kinamfanya mwanamke awakonge nyoyo wanaume mpaka wawe tayari kumpata kwa gharama yoyote? Hebu imagine, mwanamke awe mzuri sana...
mapenzi hayafichiki! Hivi kwa nini m2 anampata dada ka2lia na ni wife material lkn huyo mwanaume anakuwa haja2lia.? Unajua weng walioshka jiwe wanadhan wameshka dhahabu na waksha gundua cio...
Habari wakuu mm ni kijana mtanashati ninaye jipenda na mwenye adabu ya hali ya juu sana ila nilibahatika kumpata msichana mrembo sana nae ni mtu makini sana basi ktk mahusiano yetu kitu ambacho...
*Wana-JF, MMU, mimi ni Mchagga, na nipo chuo fulani hapa Tanzania.
*Ninaishi room na Wahaya wawili.
*Tatizo ni kwamba najikuta ninagombana nao mara kwa mara kwa sababu naona kama wana dharau...
Jamani eeh naombeni msaada au tu munielekeze huyu mpenzi wngu ni wa namna gani.
Mtaani kwetu kuna demu nimempenda huu ni kama mwezi wa sita sasa,na yeye vilevile anaonyesha kunipenda lakini sina...
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.