una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka...
::
Nimekaribia kufikia hitimisho hilo baada ya kuchunguza watu wengi wanaingia katika ndoa ilihali kile kinachoaminwa kuwa "hekalu takatifu" lilishafunguliwa na hazina zake kuibiwa.
...
Jamani naomba maoni yenu, nina mpnz wangu hatuna mda mrefu toka tumekuwa wapenzi, nimegundua yeye ni younger than 1 for two years, mm ni mshichana, tunapendana but binafsi nilikuwa nawish mwanaume...
kuna watu wanataka kutuharibia jf yetu hapa. ooh wadada wa huku wapo hivi mara vile.love connect itakuwepo sanaa na ndoa zitaendelea kufungwa kama kawa.
tuyaache hayo sijui @Lara kipindi...
Pengine wengi wameathrika kwenye ndoa zao bila kujua sababi lakini leo napenda kukwambia ndugu yangu zile zawadi zingine ulizokuwa ukinuniua kwa mchumba wako ukamwacha sasa anazinenea ;na zawadi...
Eti ni kwa sababu kikao cha ukoo kilichokaa juzi kimeamua nimrithi mke wa marehemu kaka yangu aliyefariki mwezi uliopita kwa ajali ya gari.
Kwa mila na desturi zetu inaruhusu mdogo mtu au kaka...
Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani...
Hivi inawezekanaje mka do na mama yako mzazi kweli? Unaanzaje!,mnabadilishana mate nk. Hapa mi naona utakuwa na akili ya kuvalia nguo tu,huu ni utamaduni wa wapi?
nashindwa kuwa na msichana naempenda kisa jina la baba yake pia uwezo wake mkubwa wa kifedha (clara), nlkuwa nae kwa miez 6 lakini kila nikipita nanyooshewa kidole kuwa mm mwanaume km binti, kuona...
Hello jf Nadhani muwazima wa afya,kabla ya yote natanguliza shukrani kwa waliomiza vichwa na leo jf imekuwepo! Mimi ni kijana mchapakazi! kama kawaida ya binadam kupenda nako ni sehemu...
Habarini wakuu!!?
Mi ni binti ambaye natarajia kuitwa mke wa mtu mwisho wa mwaka, nko na mpenzi wangu kwa muda wa mwaka mmoja, Ila simuelewi kabisa wakat ananitaka nilikuwa mnene sana tu...
Habari zenu wanajamii, kiukweli hapa nimekwama ila sijilaumu kwani hata wewe msomaji japa ungeomba ushauri,katka pita pita zangu ujanani hivi karibuni nilifanikiwa kukutana na binti ni mzuri na...
Dunia kote watu wanaamini kwamba uelewa wa mtu binafsi na mambo yanayomzunguka hukuwa kulingana na umri. Uelewa huo humuwezesha mtu kutofautisha nzuri na baya, mtoto na mzee na mengine mengi...
Nimekuwa na kumbana na malalamiko ya vijana wa kike wengi sehemu mbalimbali za nchi yetu wakiwalalmikia vijana wa kiume ooh kanipotezea muda, kanichezea sasa naomba kujua kama kuwa na mahusiano ya...
1: BACHELOR HUSBAND:
... Does things on his own without consulting his wife. Hangs out a lot with
friends more than his wife. Not serious about marriage life.
2: ACIDIC HUSBAND:
Is always...
Women ask so many questions
because they have an extra why chromosome
nilikuwa ninajaribu kuchunguza kwa nini wanawake wanakuwa na
maswali mengi sana nikakutana na hilo jibu hapo juu kuwa...
Habari wana jamii! Naombeni ushauri wenu nina dada yng umri 30 na ana maisha yake!ila shida ni hajawah dumu kwenye mapenzi zaidi ya miez 6 au 8 kila nwanaume anayetoka naye lazima amuache!Amefanya...
Habari zenu wanajamvi!
Eti waungwana,raha ya mapenzi ni nini hasa?
Nimeshakuwa na mademu wengi kila mmoja kwa wakati tofauti,huwa sichanganyi,ila sijawahi furahia mapenzi...raha ya mapenzi iko...
Hayo sio maneno yangu ila ya mmoja wa wanazuoni aliyekomaa.
Je kuna ukweli wowote ndani mwake?
Wataalam wa malavidavi babu@asprin, KakaKiiza, Mshirikina Mtambuzi, Mwita Maranya, watu8, na wana...
Jaman mm mwanamme waukel kabisa lakin mungu hajanijalia kua na maneno mazur ya kumwambia mwanamke,mfano km kumtongoza na mambo mengine,nna iman wapo watu wana kila njia ya kumpa maneno mazur...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.