Salam wana JF
JF imekuwa mkombozi wa wengi kwa ushauri wenye hadhi ya nyota 5.Sina shaka hata kwa hili langu mtanivusha kwa mawazo yenu!
Tangu nianze kuishi Dar yapata miaka 7 nimeishi katika...
James (si jina lake halisi) ana mshangaa mke wake ambaye baada ya kuzaa mtoto ambaye sasa ana miaka miwili amekuwa akikwepa kuvua nguo na kubaki uchi wakiwa pamoja chumbani wakati haikuwa kawaida...
kuna kabinti nimekafukuzia zaidi ya miaka 2, mpaka leo hajawahi kunipa jibu kama ananipenda ama hanipendi zaidi ya kuigiza tu tukiwa pamoja tunaongea. na kila nikijaribu kumchombeza kanakua kakali...
1.ndoa ingekuwa na maana gani?
2.binadamu tungeisha? (Extinct)
3.ubaguzi wa kijinsia ungekuwaje?
4.tungezaliana kwa kulazimishwa?
5.ukimwi ungekuwepo?
6.urembo/uzuri ungekuwa na maana gani...
Habari zenu wana JF.
Yaani tulianza kama matani vile, yeye ali like comment yangu niliyo itupia hapa JF, ikabidi nimPM kumshukuru.
Baada ya hapo tukaendeleza mazungumzo. Hatimaye akanieleza...
Hi all,
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza, nipo njia panda.
Iko hivi, nina wachumba wawili. Mr. X na Mr. Y. Nilifahamiana na Mr. Y miaka mitatu iliyopita, hatukuwa marafiki ila tulikuwa ni...
Mwaka 2144 teknolojia itakuwa mbali sana kiasi kwamba mtu utaweza ku download DNA blue print ya mtu unayempenda kwenye dating site yoyote then unai print kwenye 3D Clone printer then unampata mtu...
Habari zanu wana JF,
Naombeni ushauri wenu katika hili lililonikuta, ni story ndefu ila in short miaka ya nyuma kipindi tukiwa tunasoma, our mom alikuwa anaishi na kabinti fulani, by that time...
Jamani kabla hujafa hujaumbika,na usimkufuru Mungu kabla jua halija zama.Demu mmoja ajulikanae kwa jina Pendo nilimtongoza na nikamueleza nia yangu ya kumuoa akanikataa,then akapata sharobaro wa...
MMU habari ya kazi kila mmoja wenu?
Nimekuwa msomaji wa MMU bila kujisajili ila leo nimeona niwe member ili nipate ushauri kuhusu hili.
Mwenzenu kwa sasa na kwa age yangu ningependa niwe na mume...
Tafiti nyingi duniani zimegundua kuwapo na msukumo na mhemko wa tamaa za ngono kwa wanaume. Majibu kadha wa kadha ya tafiti hizo yamekuwa yakitoa majibu sawa, ikiwemo suala la maumbile ya...
Talaka inapotolewa bila kujali kama kuna watoto ama La,
Nani ni rahisi kupata Mwenza haraka between Man and Woman na kwanini?personally how many would love to date them and why?.
Jamani mi nina problem. Yaani siku hizi kila anachofanya mke wangu lazima nipate kasoro. Ni limbwata inaisha? Mapenzi yanapungua? Au nina tatizo gani? Akipika lazima nitanung'unika kitu fulani...
Habari za wakati huu,
Wapendwa kaka na dada zangu, ni mara ya kwanza ktk uwanja huu. wote salaamu!
nina rafiki yangu ameolewa na wamebahatikkuwa na mtoto mmoja. mume wake ni dereva daladala...
hivi hii tabia ya kusagana ni fasheni mpya imeingia mjini
au kuna tatizo kubwa limejificha?mbona wengi wanashiriki??
je wote ni ma lesb kweli au ni vipi?
Naitwa Prisca mwenyeji wa mkoa wa Arusha,
napenda nishuhudie kitu ambacho kimetokea
maishani mwangu hadi kupelekea kuokoka.
mwaka
2010,
kwa sababu ya kutafuta maisha nilikwenda
zanzibar...
Walinishambulia kama mbwa mwizi aisee....
Ilikuwa ni mwaka 1988 nikiwa nimekuja Dar kwa kaka yangu baada ya kumaliza kidato cha nne na kufeli vibaya huko kijijini. Tulikuwa tukiishi Mwananyamala...
Haya wana MMU naomba tushirikiane kwenye hii mistari ya Niki wa Pili,
Mungu nijalie demu mpenda pesa
,kila siku nipigane kuwa bakhresa
,
Asinipende mimi apende verosa
Wana wamegewa...
Dear ladies,
Firstly, if you are still struggling to find a
husband at an old
age because you are looking for a perfect
man, Something is wrong
with you, Sorry
to say that but it's true...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.