Habari za Asubuhi wadau wa MMU!
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano (teknohama) pamoja na utandawazi, inazidi kuwa rahisi sana kukutana na mtu wa aina yeyote yule unaemhitaji. Kwa...
Mara nyingi nimekuwa nikikutana na wanawake walio katika ndoa ambao hujuta sana na kusema kwamba wanajuta kuolewa na laiti wangejua kwamba maisha ya ndoa yako namna hiyo, katu wasingeolewa na...
helooo waungwana wapendwa wangu
Natumaini hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli, kazi, biashara, masomo na pia
mambo mbalimbali ya maisha kiujumla na wengine sasa mnajiandaa kwa mitoko ya...
Watu hao juu mara nyingi wakiishi pamoja au hata mbali ni vigumu kuwakuta wanaelewana tatizo ni nini? na kipi kifanyike ili kuleta maelewano miongoni maana katika familia imekuwa to much.
Haya mambo bwana nlikuwa naskiaga tu kwa watu sasa nayashuhudia live nacheka sana alafu namkumbuka Nicas Mtei mimi nashangaa mbona mama mzaa chema halalii mimi nauchapa nkisikia mume wangu kaja...
Wewe ni mwanaume;
Ni mara yako ya kwanza kukutana na mwanadada; unaanza kujenga ukaribu naye na mda unavyoenda unaona anaelekea kuwa nawe kimaongezi na kimawazo zaidi. Siku zinapita, unamvutia...
NDOA inaweza kufananishwa na safari ndefu yenye matukio yasiyotazamiwa, mengine yenye kupendeza na mengine yenye kuumiza. Hali zisizotazamiwa zinaweza kutokeza vizuizi visivyotarajiwa, vingine...
I have been the angry, unsatisfied and bitter wife for the last nine years. I'm married to a man who has absolutely no respect for the marriage institution. He has had more girlfriends than I have...
Wanaume tafuteni hela kwa bidii sana,zile
zama za kuuza sura na kulambalamba lips
zimeisha.Maisha ni magumu hayana
shortcut,wengi wetu mnapenda tu Bata
wakati hamna hela wala vyanzo sustainable...
Heshima kwenu wakuu,majuzi j5 kuna ndugu yangu wa jinsia ya -ke ana miaka 32,na watoto wa3 wa nje ya ndoa lakini eti amefanyiwa kitchen party.
Swali:hv kuna haja ya m2 kama huyu kufanyiwa...
habari wapendwa!!
napenda kutoa ushauri kwa wale wanaojua uhusiano wao unahemea gas alafu unaenda kufumani na ukiwa unajua fika uwezi kuishi bila ya huyo mwenzi wako!!
hii imetokea...
Greetings to you all!
Leo napenda niongelee suala linagusa sana jamii linalohusu Mfumo dume, hasa katika jamii yetu ya Afrika.
Mfumo dume kama ulivyo ni mzuri! Inaposemwa mfumo dume, maana yake ni...
LAITI kama maumivu ya mapenzi yangekuwa yanaacha alama kabisa ..yaani kama umeumizwa linatokea NUNDU, ama JINO LINANGOKA, au kama ni MCHUBUKO USONI, ama ukiyaendekeza sana YANAKUTEGUA MGUU...
Jana jumapili nimeamini mwanamke ni kiumbe hatari ktk karine ihi ya digital,nilitoka kucheki game ya asernal vs man u mida ya 8:00pm nikawa narejea home njia ya kuelekea home kuna msururu wa pub...
Je umeshawahi kujiuliza maumivu ya kichwa yanayofahamika kama kipanda uso yanatokana na kitu gani? Kwa nini watu wanakuwa na kipanda uso? Kuna maelezo mengi sana kuhusu tatizo hili. Kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.