Nilikuwa na mchumba wangu wa siku nyingi,tukajuana tabia,tukaridhiana akanitambulisha kwao nikamtambulisha kwetu wazazi wetu waliridhia na kutuombea mema ili tujipange tuje tufunge ndoa...
The Nairobians
Our campus girls were left looking flushed at a
lavish hotel in Westlands after they were
slapped with a huge bill.
The Strathmore University students had
accompanied their...
Mara ya mwisho kukuona, ulikua ukipanga vitu vyako vya kwenda navyo hospitali. Request yako ya mwisho kwangu, ni kuniomba nikakutengenezee matango. Uliyala matunda hayo kwa furaha na tabasamu...
Hi guy's natumai mko poa. Eebana mimi nina garly flend kwa bahati mbaya alipata matatizo yamacho nakwenda kutibiwa dar kwa vile ndani ya ule mji hana ndugu ilibid afikie kwa nyumba yarafiki...
Shemeji yangu kanifuata eti mume wake ameshindwa kufanya naye tendo la ndoa, hivyo anahisi kuwa mumewe anatembea nje ya ndoa.
Je ni kweli kila inapotokea mwanamume anaposhindwa kufanya mapenzi na...
Hi Everyone!
I am from Tanzania, I am Lovely, I am male, I am 33 and HIV+. I live in Dar es salaam Tanzania. Never married, no kids. Not on ARVs yet and very healthy. Fairly educated, life...
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Lee Majors
After marriage, husband and wife become two sides of a coin; they just can't face each other, but...
Leo ni siku ya mapumziko ya mwisho wa wiki na nimejipumzisha kitandani kwenye hiki kibanda changu cha kupanga.
Mkononi nimeshika kijarida cha Sani na nafuatilia visa na vioja vilivyochorwa kwa...
Hallo wanaJF,
Kwa muda wangu wote wa kuwa katika OBSERVATIONS za masuala ya kimapenzi, nime-conclude kuwa hakuna mtaalam wa mapenzi ya mtu mwingine ama watu wengine, ila kila mtu ni mtaalam wa...
Wandugu naomba mnisaidie,nlpoingia chuo kikuu nlitokea kumpenda cna msichana mmoja ila ckuwah kumwambia,cku moja rafiki yake aliomba kuja room kwangu nkakubal,na alikuja na huyo msichana...
Nimeikuta hii habari mahali, nimeona niwashirikishe.
Qualification of being a mother
A Long Time ago, the Officer At The Driving License Counter had asked me :
" What is Your Occupation ? "...
People are more likely to return a lost wallet
if they find a baby picture inside of it.
source: Baby Pictures Encourage the Return of Lost Wallets - Asylum.com
Tumekuwa tukisoma mada na malalamiko mengi hapa JF juu ya tabia mbaya ya mademu wa kibongo kuwaalika mashosti zao pale wanapokuwa wamepewa offer ya mtoko (date) tena bila ya notice kwa Mwalikaji...
Habari wana Jf?
Wapendwa, nina rafiki yangu anahitaji ushauri la kufanya na maamuzi ya kuchukua.
Yeye ni binti na alikuwa na boyfriend wake ambae walidumu nae takriban miaka mitatu. Wakati wapo...
Ni kweli kwamba wanaume tuna tamaa,ni kweli kwamba
tuta tumia kila ujanja ili tuwapate haraka iwezekanavyo.
Lakini si kweli kwamba ukinikubali haraka basi nitachukulia kwamba ndo
ume nipenda...
Kama madege yanavyotua na kuondoka ndivyo mawazo kuhusu sex huja yenyewe kwa mwanaume! Binadamu hawezi kuwa amekamilika akiwa kimwili na kiroho peke yake bila hisia (emotions).
Pia kuna tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.