Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
IGWEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!! Hivi unapokutana na mtu wa umri wetu, like from 23 (Out of social pressure it was supposed to be 21), anakwambia mimi sina mtu niko single! Like seriously? Ukimuuliza...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Habarini wanajumuiya wa MMU Hivi hii dhana ya watu kukabana ndo kusema ni mapenzi ya dhati au ni insecurity au ndo mtu anahakikisha hupati mwanya wa kufanya yale maovu anayoyafanya at your back...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Akina dad zetu kiukweli ss wanaume ndio chanzo cha umalaya pindi tunapo zarau ndoa zetu na kuanza kutoka nje. Lakini pia nyie mna dhamana kubwa ya kusema hapana pindi unapo hisi mnadanganywa ili...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Mke mwema utulivu, hili halina Ubishi Anakutoa machovu, ya kazini kama moshi Hana chembe ya uvivu, kila kitu hash hashi Mke mwema utulivu, ndio raha ya dunia. Ni raha juu raha, nyumbani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mwanamke mwenye sifa hizi anatakiwa; -umri miaka 25-29 -awe mkristo. Ctaki wale wa kusema atabadili dini. -awe mrefu na awe na figa -awe tayar kuni-pm picha yake harisi -awe na shughuri ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Familia ya bw n bibi edwin .m wanafuraha kukutangazia harusi ya kijana wao G.e.m itakauyofungwa tar 12may kama una neno lolote tafadhali wakilisha kanisan na kama huna FUNGA MDOMO WAKO MPAKA YESU...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[emoji15]
0 Reactions
1 Replies
708 Views
Swala na uaminifu ktk ndoa na mahusiano inaonekana kuwa tatizo au ni uhuru wa vyombo vya habari hivyo matukio yanaripotiwa kwa wingi tofauti na miaka ya zamani.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimebahatika kupita nchi zote hizi na kwa bahati nzr kuona na kua shahidi wa jambo hili ambalo kitaalamu hutwa ELUSIVE FEMALE EJACULATION .. Baadhi ya wanawake kutoa maji ktk uke wakati sex hasa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Tabia za wanaume kuzaa na wake za wenzao (ama wake kuzaa na waume za wenzao) zimekithiri sana Tanzania. Jeuri hiyo hususan kwa vingunge inasababishwa na nini? Je ni muendeleo wa mabadiliko ya...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Hi wana mmu na jf kwa ujumla. Huu si uongo na wala si hadithi ni tukio la kweli lililonitokea mkoani katavi. Sina nia ya kumtisha wala kumchafua mtu. Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 30 na...
2 Reactions
74 Replies
13K Views
Jamani samahani sana kwa watakaokereka na mada hii lakini kwa kifupi ni kwamba tupo kwenye jukwaa hili kwa ajili ya kukumbushana na kusahihishana na hatimaye tulisongeshe gurudumu lamaisha katika...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijawahi ona watu wanafiki kimapenzi Kama Hawa duh .au nyie mnaonaje ?e.g Ted haggard (yaani bonge la homo na alitumia meth akiwa Mbele ya kanisa oh homosexual is a sin or Mpende mkeo he...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari zenu waungwana,natumaini kuwa wote mu wazima! Hivi ni kweli kuwa haiwezekani kutulia na mwenza mmoja ktk maisha? Kuchepuka ni tamaa tu za mwili,ambazo haziishi,ila mtu akijifunza kuwa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanaume hatimaye kutambua kwamba hawapo peke yao kitandani na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi! Kuchukua hii kutoka kwangu nawaambieni, uhaya mambo...
0 Reactions
14 Replies
71K Views
nasikia eti kuwa wa2 wanaokaa sehem ya kuvuka bahari kwamba wanatabia ya kuona binam na binam, swali, ni kweli kwamba hii tabia ipo?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Rafiki yangu ana mchumba wake ambaye ana asili ya kiarabu;ametangaza nia ya kumuoa LAKINI ANAKOSA SAPOTI ya ndugu na jamaa wengine....KWANI KUNA TATIZO lolote kwa mahusiano ya aina hii???
1 Reactions
77 Replies
8K Views
Najua hili swala sio la MMU ila huku ndio kwenye watu wengi, naombeni msaada, ni hivi wazazi wangu waliachana mwaka 2002 ambapo mama alikuwa uk, akaja kutuchukua mie na mdogo wangu wakati huo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Kuna rafiki wakike nimekuwa naye kwa miezi mi 4 sasa ilasijawahi kuwa na mahusano naye ya kimapenzi na wala katika maongezi yetu hatujawahi kuulizana mambo ya mapenzi, ila ishara saa nyingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana! Hebu wenye ujuzi watupie maujanja hapa,ipi ni namna bora ya kulana denda,nini hasa cha kuzingatia wakati wa kudendeka ili kupata matokeo mazuri zaidi...je ni ulimi,au...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom