Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugu wana JF habr za jioni natumai mko poa na kwa wale ambao mungu hajawajalia afya basi ni kwa utukufu wake. Kama mada inavyoonekana hapo juu suala la ahadi znazotekelezeka n chachu kubwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanaume tena basi,sitaki tena,hawana jipya,wote wana lugha moja,waongo,Matapeli, Nimeshakuwa na mahusiano kibao na hawa viumbe hawafai,sasa yatosha
6 Reactions
164 Replies
14K Views
Mke wa Frankhuwa anajivunia mume wake kuwa ni mtulivu. Hashindi Bar na si msaliti wandoa. Akitoka kazini huenda kucheza basketball na hurudi nyakati za dinner. Siku moja mkeweakamuhurumia...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
:: Binadamu tumeumbiwa kutafuta furaha katika maisha. Tutajaribu hili na lile ilimradi tu tupate furaha.Je ni rahisi furaha kuipata? :: Washairi huitukuza,Waandishi huielezea,Wanafalsafa...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
»If you have Food in your in your house, Clothes on your body A roof over your head and A place 2 sleep youare richer than 75% of the entire world. If you have money in your wallet A little...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani wenye uzoefu nisaidieni nifanyeje hapa? Miaka miwili iliyopita nilipata rafiki ambaye tulikuwa wapenzi baada ya muda. Naweza kusema ni mzuri sana sijapata kuona, na kitandani anajua...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
my 8 years spouse recently told me nichague mawili after never ending conflicts between us, tuachane au niendeleee kuishi naye lakini nikijua hanipendi...siyo kirahisi kama ambavyo unasoma hapa...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Siku za nyuma wanawake kwa ujumla walikuwa wakivaa nguo zinazoficha kila sehemu za miili yao zikiwepo sehemu zilizokuwa zinawapa tabu wanaume kila wanapoziona kwa bahati mbaya au vyovyote. Nguo...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Nauliza mujuao, Mulio na nyingi fani Watu na elimu zao, Magwiji na Magogeni Nimekwama hadi leo, Mebaki mushkelini Unaopenda ni moyo, Au akili kichwani? Wengi niwasikiao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NDUGU zangu, mapenzi yapo lakini pia kuachana kwa wapenzi si jambo la ajabu. Leo hii na muda huu unaosoma makala haya, wapo ambao ndiyo kwanza wanaanzisha uhusiano lakini pia wapo ambao...
2 Reactions
11 Replies
13K Views
Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa; Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa...
1 Reactions
199 Replies
13K Views
Kila mwanaume anasema anataka kuoa Mwanamke Mwema, Mzuri na Mwenye tabia njema. Je! hawa mnaowaharibu sasa hivi, nani atawaoa?
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Majira ya saa 3 na nusu alifika bint mmoja katika kijiwe cha vijana (maskani) kwa lengo la kumfanyishia kijana mtanashati 1 anaekaa katika maskani hio. "Haiwezekani anitelekeze na mimba nimelea...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wanazuoni, mwenzenu yamenikuta. Story inaenda hivi; Mwaka jana nilikua na mahusiano ya kimapenzi na mdada mmoja hivi anasoma chuo flani Dar es Salaam, mahusiano yetu yalikua long...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
:: Hiyo ni kauli ya rafiki yetu ambae ameoa hivi karibuni. Hakuniambia mimi tu bali wengi ambao tupo nje ya taasisi hii tukufu ya ndoa.Ni kama ametutenga Mi kabla ya kulaumu nilitaka wa Jf...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimegundua kwa ushahidi ulio wazi kabisa asilimia 90 ya mabinti chini ya miaka 23 wanapendelea wapenzi ambao ni waume za watu nimejaribu kujiuliza nikwanini nimekosa jibu la moja kwa moja nikaona...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
  • Closed
Hi! jf, nina mchumba wangu ambae ni mchaga natarajia akimaliza degree yake mwezi wa saba ili mwishoni mwa mwaka huu tuoane, bt hataki twende nkamtambulishe kwe2 ila anataka kwao first, hilo ndo...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
New member hapa.habari!
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Nilikuwa na mchumba ambae tulipendana.pindi nimechaguliwa chuoni 2012 akadai kuwa ange nisubiria lakini nilipo rudi rikizo nilikuta wametoa mahari sabab et kashawishiwa na dada ake ,na hivi sasa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Akina dada na kina mama, mloolewa ama kutoolewa naamini na kutumaini kuwa ukisoma hii thread inaweza kukusaidia (si lazima) wewe kuweza muelewa Mama mkwe wako vizuri. Naomba basi tukumbuke na...
14 Reactions
329 Replies
25K Views
Back
Top Bottom