Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari zenu wana jf nami leo naomba mnishauri -kunamsicha nimempenda, sasa tuna wiki 3 tu tangu tufahamiane hivyo ameniambia km nampenda kweli niende nikajitambulishe kwao, mi najiuliza hivi muda...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jaman wadau naomba kujuzwa hivi ukawa na mwandani wako katika kumbi za starehe ikatokea mpenzi wako wa kike amelewa na wewe umechoka kucheza then unamuona yupo katikati ya dance anamwaga radhi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mi simo, msikilize chriss rok hapo anaongelea juu ya mapenzi, nahisi kama kuna ukweli hv ‪Chris Rock - Love‬‏ - YouTube
0 Reactions
3 Replies
886 Views
Kwa wale wafugaji, wanajua vizuri tu kwamba mfugaji bora hupenda mifugo yake, huwalinda na hata hataki mmoja wao achinjwe. Pia wapo wale ambao wanapitiliza kwa upendo hadi kulinda mazizi ya ndugu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Samahani wana Jamvi mnivumilie kidogo na kama sio mahala pake basi naombeni mnisamehe lakini kuwagutusha ni jukumu langu pia. Ni hivi; leo terehe 3/05/2013 siku Ijumaa majira ya saa 11.15am na saa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau jana nikapata wasaa nisikilize radio zetu zinazungumza nini, Bila kukusudia nikawa nimekutana na maongezi lakini baadae niligundua kuwa kipindi ni pillow talk cha Times Fm. Pamoja na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
tabia za wanandoa kugombana bila sababu hata sizielewi kwani inakuwaje mnaoana bila kujuana tabia,mana kwa elimu yangu ndogo siku hizi watu hawachaguliwi wachumba,sasa unakuta watu wamefunga ndoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ilikuwa yapata mida ya saa kumi na mbili natoka ofisin nimebeba bag langu la laptop....ofsn kwetu ni karibu na chuo fulan cha uhasibu nikawa natembea miguu kwan sijabahatika kupata usafiri...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Hali halisi ya tatizo, nguvu za kiume ni tatizo linaonekana kuwasumbua wanaume wengi kiasi cha kuwafanya baadhi yao kulazimika kutoa talaka au kuachwa na wenza wao. Kinachoweza kuwaokoa wanaume...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kuna rafiki yangu mke wake amejifungua kwa upreshini ni mwezi wa 3 sasa na mke wake amerudi kwake juzi pamoja na kitoto chake. Tatizo ni kua unajua tena mwanamke na mwanamme yawakai pamoja...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani kwani mimba ni sababu ya kuolewa haraharaka hata kama hampendani kwa sana,mana kuna mimba za bahati mbaya kwa wale wasioelewa miili yao inafanyaje kazi. mana kuna mtu kapachikwa mimba sasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Urembo wa Ndonya ni mojawapo ya hadithi zinazopatikana katika kitabu cha zamani kilichokuwa na mkusanyiko wa hadithi mbalimbali za kufurahisha na zenye kufundisha. Kitabu hicho kilikuwa kinaitwa...
4 Reactions
95 Replies
30K Views
Nashukuru sana kwa bunge kuthamini utamu wa pachupi,kwa kutenga donge nono kwa ajili wa watu kuendeleza mgegedo,wadau sasa naamini si ujinga wala ubwege mimi kumnunulia subaru mamarta huku mi...
1 Reactions
2 Replies
950 Views
Pengine umekuwa ukiwsumbuliwa na roho hii bila kujijua ;hii ni roho ambayoooo inazalisha ama kukufanya mtumwa wa kuwanufaisha wenzako;Roho hiii imefanya watu wengi sana mpaka leo watanzania wana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Let's give Satan a headache and stress, please comment I LOVE YOU JESUS Ignore if you love satan but remember GOD is watching you
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Wadau; Ndoa ni ndoano.kwa maisha ya sasa ni vigumu sana kuwa na ndoa yenye furaha,ni bahati.Usanii umekuwa mwingi sana.Uongo ndo routine,sio kwa mke wala kwa mme.Kinachotofautiana ni uwezo wa...
2 Reactions
64 Replies
4K Views
Jamaa yangu kidoogo ana matatizo ya akili,pamoja na mapungufu hayo kafanikiwa kupata mwanamke mzuri tu wakafunga ndoa na sasa hivi wana mtoto wa kiume ana miez 4. Mshkaji bado anaishi kwa wazazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni wakati muzuri wa kutiana moyo ndugu zangu ni kweli wapo wanaoumia kwenye mahusiani yao wapo wanaoona ndoa kwao basi tena lakini wapo pia wanaoogopa ndoa sababu ya maisha magumu ama matayarisho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Neno kingamuzi limetumika kumaanisha matumizi ya vileo ambavyo hupelekea mtu kumtafuta mpenzi yoyote na kumpata na kutumia style zozote kutokana na msukumo unaotokana na kingamuzi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamanu nisaidieni kupenda ni kutamani au kuzoea nisaidieni jamani. Maana kuna ubishi hapa kwelikweli
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Back
Top Bottom