Wanawake wengi utakuta husema kuwa wanataka kuwa na mwanaume mzuri lakini endapo atatokea huyo mwanaume mzuri wanakimbia katika muelekeo mbadala. Kwahiyo kuna nini kimejificha hapa katika akili...
Habari wana MMU na jf kwa ujumla.
Leo nimetokea kufikiria hivi kwa mfano wanaume kwa namna tulivoumbwa na hali ya ubabe na nguvu,ingekuwa sisi ndo tunabeba ujauzito,mambo yangekuwaje,wangapi...
HESHIMA KWENU WAJUMBE.
Baada ya kuwa na wakati mgumu ndani ya ndoa yangu hata na hatima iliyokuwa haijulikani juu ya Mustakabari wa maisha na maendeleo yangu kiujumla sasa imerekebishwa na...
Jamani mm nitakuwa nina tatizo kwani nikisikia harusu yake basi mimi nawehuka.. Juzi juzi nlienda beach nikaokota moja nyeusi fasta nkaitia kwenye mfuko wa suruali... nkawa nainusa mdogo mdogo...
Nina miaka 36,nimemwoa binti wa miaka 21 form six fresh from school,huyu dada kumbe kipindi anasoma alikuwa akichoma sindano za majira tangu nimwoe miaka miwili hatujapata mtoto juzi tumeenda...
Nina mchumba wangu (wakike) ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo hapa nchini.Siku moja nilipata ujumbe kwenye simu yangu kutoka kwenye namba ngeni ukisomeka hivi ("Hapa huna mchumba jamaa wana...
Heshima kwenu brother and sisters
Demu amegoma kutoa papuchi, jamaa ameamua kuvunja uchumba.. Kisa anadai mdada hakuwa Bikra na ameshakuwa na relationship zaidi ya 5 zinazojulikana na zote...
Jaman wadau hii imekaaje..unaboyfriend/ girlfriend ambaye we unaona mnapendana sana na kuna strong bond..kumbe anademu/bwana nje na anapewa zawadi yy km yy..lakini sijui ni dharau au ni upendo ile...
DONDOO MUHIMU
Utafiti ulihusisha watu 108, kati yao 27 walikuwa wanaume na 81 wanawake.Ulifanyika kwa kukusanya maoni katika mtandao, midahalo na kujaza madodoso.Walioshiriki walikuwa naumri...
naomba nipewe ushauri wa busara.mke wangu ni fundi nguo(cherehani) anatoka asubuhi na kurudi jioni,sasa kila nikimuomba unyumba hudai amechoka,na ni ukweli hua amechoka na hiyo kazi yake...
Habari za wakati huu wana MMU, ni wiki ya pili sasa toka mama yangu mzazi aje kunitembelea.Nimefurahi na kiasi flani nyumba imechangamka.ishu iliyonisukuma kuandika uzi huu usiku huu ni kuwa mama...
Salama wana MMU.
Kitu mahusiano,mapenzi au urafiki (MMU) wa karibu kama watu wanavyopenda ifahamike pale kinapokolea kati ya watu wawili hasa nazungumzia jinsia mbili tofauti yaani -me na...
Men!!!Men!!!Men-- !!! So complicated, So confusing, So hard to please. If u try 2 pls them, u re cheap. If u make love (sex) to them, u're a Love Peddler. If u don't, u re playing hard to get. If...
Habari za mida hii ndugu jamaa na marafiki wa jamii forum:
Naomba ushauri wenu wa kufanya baada ya kuguswa na haya yaliyonikumba,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 nilitokea kupendana...
Nimeamua kuleta mada hii kutokana na ‘upepo' wa kisiasa/kitaifa unaolikumba taifa letu. Mie naona kila kitu vululuvululu. Hivi ‘wanamme' wetu wameenda wapi? Wako wapi wale wanamme...
Naombeni ushauri kama ni sahihi
Nilikuwa na rafiki wangu wa kiume ambaye tuliachana zaidi ya mwaka mmoja uliopita. sasa wakati tukiwa kwenye mahusiano yeye alikuwa chuo anasoma ila alikuwa...
Inashangaza, inasikitisha tamaa mbele, hupenda shortcut ya maisha anataka uwe na gari,nyumba,pesa nyingi wao ndo wanaona hayo maisha ukizingatia kwao hivyo vitu vimekosekana pamoja na kwamba naye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.