Girlfriend wangu kanipigia sim! Na kunimbia anaomba ruhusa ya kuvaa suruali. Kilichonishtua ni kwamba sijawah kumuambia vaa hiki au usivae kile. Sasa inakuaje aniambie kitu kama hicho? Au...
nilipoingia 4m 5 nimesoma shule ya girls only...nilimpenda rafiki yangu mmoja sanaaaa kuliko wote...nilimpa zawadi nyingi hata wakati wa likizo nilikuwa namtembelea kwao..nilimpenda sana...kila...
Seriously wanawake ni viumbe dhaifu sana (according to Vitabu Vitakatifu eg Quran etc). Kama heading inavyojieleza yenyewe.. Imani yangu kwa hawa viumbe imepungua kwa kiasi kikubwa sana.. Sina...
99% people get scared when a text reads
"can i ask you a question?"
source: 99% people get scared when a text reads "can i ask you a question?" | Information Facts
Ni wakati mgumu sana,lakini ni lazima tukubaliane na matokeo tu
'
Mwana JF mwenzetu tena mkongwe kokudo amefiwa na mwanae wa kiume jana na mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao kokudo...
Mke akiwa safarini kwao aliandika ujumbe redioni, 'NAMRUSHA ROHO FULANI(JINA KA MUME WAKE). UJUMBE ASITEME BIGIJII KWA KARANGA ZA KUONJESHWA'.
Baada ya mume kuusikia majibizano yalianza kwa...
Hii dunia ni gari yaweza ikapinduka.
Usione ufahari kulala ukiamka.
Elewa maisha safari haitaacha mashaka.
Wako wapi matajiri walio wakisifika.
Nyumba zao makaburi wala hawakuridhika.
Ni nyumba...
Kabla Ya Kusex Wapenz Hushirikiana
Kuvuana Nguo Taratiiiiiibu Tena
Kimahaba Lakini Wakimaliza Kila
Mtu Anavaa Kimpango Wake, We
Unafikiri Ni Kwa Nini??
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu mwanamme kupewa cheo zaidi kuliko mwanamke.
-
Hakika hili ni suala ambalo linaonekana hivyo na watu hasa kwa ajili ya kasumba ambazo zinatiwa na...
Baada ya kusoma tusabahiane kama hili linatokea na huku kwetu....Siyo mzima Ki UK hivyo sitegemei kuhitajika kubadilisha iwe Lugha yetu adhimu ya KISWAHILI...
Haijalishi kuwa ni mgeni au mwenyeji juu ya kujenga uhusiano na mtu lakini moyo ukishaegemea upande fulani basi mtu huwa kama asiye na masikio wala macho. Utajikuta unapenda kile ambacho mwenzako...
Habari zenu wakuu!
Mwenzenu nina mpenzi ambae tunapendana sana ila kuna jambo moja ambalo silielewi kwa huyu my swt love, tunapokutana huwa anatabia ya kupekua cm yangu sana na wakati mwingine...
If you are reading this article, it means that on some level, you are thinking about venturing back out into the world of dating after a loss, a divorce or a break up. Whether you realize it or...
:confused3::confused3::confused3::confused3::confused3:
Nilitumia zaidi ya asilimia 90 ya mshahara wangu kumsomesha......nilikuwa na salun ya kiume na kike vyote vikafilisika kwa ajili ya...
Nilimtokea mdada mmoja mrembo hivi anauza duka la dawa, tulidumu kama miezi mitatu hivi bila kufanya mapenzi tukawa tunachati kwa simu naenda ofisini kwake mara mojamoja, tatizo lake la kwanza...
Nahitaji ushauri wenu wanabodi.
Kila ninapopata mwanamke mwenye makalio makubwa nashindwa kabisa kupiga mashine.
Imenitokea zaidi ya mara tano. Lakini nikimpata mwanamke aliyepigwa pasi naweza...
ameolewa ana miaka 11 ndani ya ndoa na ana watoto wawili,wa kike na kiume..Akiwa na miaka mitatu ndani ya ndoa aligundua kua mumewe hajatulia,alikua ana mahusiano nje na wanawake wenye uwezo tu,na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.