Leo nimekutana na jirani yangu wa zamani na tulikuwa marafiki pia yeye na mume wake!
Baada ya kujuliana hali alinijulisha kuwa waliachana na mume wake miezi 9 iliyopita!
Inasikitisha ...ila...
Ichunge Misingi 6 ya Mafanikio:
(1) Usimchukie Yoyote Hata Kama Atakukosea Vipi.
(2) Ishi Maisha ya kawaida Hata Kama Upo Juu
(3) Tarajia ushindi Hata Kama Mapito ni magumu
(4) Toa maamuzi...
HASARA ZA KUJICHUA KWA MWANAUME:
1. Kupungua kwa hamu ya kufanya mapenzi. Athari kubwa ya kupig puri ni kuwa hupunuza kwa kiasi kikubwa hisia za mapenzi za mwanaume na kumfanya awe mtumwa sawa na...
Wana jf habari.
Mwenzenu nimepata kazi kwenye kampuni fulani mkoani tena kwa kuunganishiwa na mtu maana nilisota nyumbani muda mrefu sana ila hatimae nimepa.
Nilipopata nikawaambia wazazi...
i dont know how to explain it but all in all tokea niyajue mahusiano mie na wanaume za watu tu na kiukweli wananipenda sana na napendana nao sana na huwa tunadumu sana ila nkidate bachelor hata...
Tofauti na mazoeas na mtazamo wa wengi kwamba mwanamke ndiye anayeumia zaidi akikosa mtoto, wataalamu wamegundua kuwa anayeumia zaidi kwa kukosa mtoto ni mwanaume.
Utafiti huo umeonesha kuwa...
nimezoeana sana na demu wa rafiki yangu na mpaka leo ni marafiki wakubwa yeye na bwana wake,kuzoeana huko ilifika hatua bila mimi yule binti hafanyi kitu,akitaka kutoka lazima aniite,akitaka...
Ni jambo lililo la ajabu kwangu kuliona na ninaendelea kujifunza. Nimekwisha simuliwa na mabinti kadhaa namna walivyochukiwa na kuachwa na wapenzi wao ambao waliwapatia ujauzito kisha kwasababu...
hi jf! hope ur fine; kuna bro wngu amepata mschana ambae amewashinda wazazi wake, club analala pombe ndo usiseme mtaa mzima anafahamika bt bro 2memshauri achanenae lakini amegoma coz eti du ana...
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa
Lakini hapa jamvini ni...
Dunian lazma tusaidiane lakin mpenz wako wa zaman my be mliachana ktambo akaja kwako kuhtaj msaada nawe ndo 2 unaweza kumsaidia baada ya kumsaidia ikawa ndo tena chanzo cha kuanza tena mawacliano...
Hope everybody is fine.
Hebu tushauriane hapa (mwanamke mwenzetu ameomba ushauri);
mwanaume ni mlevi. anaondoka asubuhi hadi usiku mwingi yeye yuko bar tu analewa mwanzo mwisho. Kama siku za...
Tafiti mbali mbali zimebainisha kuwa watu walioko katika ndoa huwa wanaishi maisha marefu, wanakuwa na afya njema, wanakuwa na kipato kikubwa, wanatajirika mapema, wanakuwa na maisha yenye furaha...
Nina mpenzi wangu yuko chuo kikuu,na tupo kwenye uhusiano mwaka wa nne na sasa tupo kwenye hatua za mwisho kutambulishana kwa wazazi,ukweli tumekubaliana kuoana pindi amalizapo chuo,lakini miezi...
Jamani ndugu zangu naombeni maujanja ni mbinu zipi ambazo mimi mtu wa kawaida kipesa naweza kuzitumia kupata mtoto mkali.sababu kuna rafiki yangu yeye kiukweli kipesa yupo kawaida lakini watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.