Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ndugus FYI Ujue ukweli na uongo kuhusu ndoa zetu; Uongo Ndoa ni mkataba (contract) na kwa kuwa ni mkataba basi unaweza kuvunjwa. Ukweli: Ndoa ni agano (covenant) lililowekwa na Mungu. Ilikuwa...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
1. Cleopatra & Mark Anthony 2. Albertina and Walter Sisulu 3. Tristan and Isolde 4. Companero and Gaijin 5. Isaac and Rebecca 6...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwanamke akipewa dau la kumwua MME wake kwa kukata kichwa na kukipeleka kinapotakiwa ili apewe Milioni zake 25 AU Mwanaume akipewa dau la kumwua MKE wake kwa kukata kichwa na kukipeleka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey JF-MMU world. Given the opportunity just for old times' sake, what would you do, with whom, and where? Who would you wanna kick it with? Go to lunch with? Have a dinner date with? cc: Mwali...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari za asubuhi jaman...once again i wanna share this sweet en unique feelngs am feelng right now with you! I feel like am flyng witht wings, i feel yonger like a one year gal....am in love once...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kila mtu aliye karibu na wewe ana umuhimu, kila mmoja kwa kiasi chake. Swali linakuja je, MTU GANI NI MUHIMU KULIKO WOTE MAISHANI MWAKO?? Uko tayari kumlinda kwa lolote?:fencing: Uko tayari...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
The lawyer hopes you get into trouble. The Doctor hopes you fall ill. The Police hopes you become a criminal. The teacher hopes you are born stupid. The coffin maker wants you dead. Only...
12 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani wadada kuna jambo huwa linanitatiza sana, mtu anakufuatilia weee unamzungusha eti kumpima imani. Alafu siku unamkuta na mwanamke mwingine unaanza kumrushia madongo, uhuni tu, ulikua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwani wakaka kwa nini mnampenda makalio makubwa.mnaona sasa watu wana fake makalio kazi mnayo.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Men 'expect sex' after three dates... surprising truths behind the modern dating game revealed Survey reveals fascinating insights into romance in the 21st century Women now spending less on...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Amekuja kwangu akiwa na sura ya huzuni na majonzi tele, nikajua ana tatizo kubwa, nikaketi kumsikiliza habari aliyojia; Ni mwanamke ameolewa miaka michache iliyopita yaani ndoa yao bado changa...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Je, ni sahihi/haki kutoka au kuolewa na mtu ama kuoa mtu ambaye unampenda ila humpendi kwa kiwango kile kile (ama zaidi) ulichompenda mtu wako wa zamani?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mnapendea nini makalio makubwa.mnaona sasa mnakutana na fake.weekend njema
0 Reactions
1 Replies
1K Views
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!! Life is not Fair and never has been. Back in the days kuna mtu alinibariki kweli rohoni mwangu, Udongo wa Kigiriki enzi hizo si mchezo. Yaani hadi i used to...
7 Reactions
68 Replies
7K Views
Baada ya miaka kama mitano i met mwanaume wa kwanza kudate nae though wakati naanza nae mahusiano tulikua wadogo(o level)na ilikua btn 1998/1999 yeye akaiwa amenizidi darasa moja na alikua day...
0 Reactions
65 Replies
4K Views
Nina gal aliemaliza kidato cha4 nilitoka nae mara1 tu akaniomba namba ya cm, ilahal nilimjuza kuwa nina mke na familia, amekuwa akinisumbua sana kutaka mapenz na mim ila mi stak, sasa amefika...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Baada ya kurudia mara pili kucheck afya nimejikuta bado afya yangu iko safi thanks to God.. Tupime tujue afya zetu.. MADAM B,,vp sasa nikutafute? Nishatimiza vigezo sasa.. Au unasemaje..
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa nini wanaume ni wagumu sana kufanya mambo ambayo wake zao wanawaomba au kuwataka kufanya? Jibu, ni kwa sababu ni wanaume na wameona baba zao wakifanya hivyo na wakaiga. Lakini jibu linaweza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja nchini Taiwan amedai talaka mahakamani toka kwa mumewe wa miaka minne kutokana na udogo wa maumbile yake ya kiume na pia kwa kushindwa kutimiza ahadi ya kutoa unyumba mara tatu kwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Wakuu Heshima kwenu nyote, Kiufupi mi ni baba wa familia yenye mtoto mmoja na kama mungu akijalia natarajia wa pili before the end of this year! Back to the topic; Jana nmerudi usiku nyumbani...
6 Reactions
133 Replies
10K Views
Back
Top Bottom