Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nina mwanamke wa Kizungu ambaye kanipita miaka 10. Ananipenda na anataka niende nikaishi naye Argentina. Naombeni Ushauri na mawazo yenu. Asante.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ndio. Usibishe. Hakikisha huachani na mpendanaye. Moyo wa mtu hakika ni kiza kinene.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mambo vipi kijana mwenzangu? (hata usio kijana) naona uko poa na unaendelea kulibandika viraka taifa letu pendwa. Leo mwenzako kuna jambo nime liona ktk jamii yetu inayo tuzunguka, ambalo...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
  • Closed
Kuna manzi nimekutana naye ofisi 1 town, nimem mind kwa mmego tu, nimemuomba namba yake kwa kuzuga kuwa kuna huduma ningehitaji hapo ofisini kwao akanipa ....mimi sasa ni domo zege sijui kabisa...
13 Reactions
108 Replies
6K Views
Jaman wana JF wamtafuta rafik niliepotezana nae tangu mwaka 2009 mwez 2, 2kiwa katika gar akiwa anafika kwa dada yake ambae alikua ni mwl wa kirakala girls morogoro na mpk sasa cjui km huyo dada...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia? Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia...
2 Reactions
46 Replies
4K Views
I must admit, Nairobi is blessed with some pretty ladies. Some are good, while some others… Well. In this exclusive post, you will be guided on how to date a lady from Nairobi. 1. Do not...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Mambo vipi watu wangu wa ukweli! Hope mko poa, kwanza nitoe shukrani kwa Best wishes za Birthday yangu, Mungu awabariki sana! Back to the topic: Ndoa nyingi zimevunjika, yaani wanawake wengi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa uzoefu wangu, mwanamke ni kiumbe ambaye hawezi kukiri kuwa katembea na mtu mwingine hata kwa mtutu wa bunduki, yupo radhi kufa ila sio kufungua kinywa, labda umkute on spot na tena umpige na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mentor utaoa lini… 2008, January 28 Jumatatu Ndo nilikuwa natimiza miaka 26. Kijana mtanashati miaka miwili kazini katika kampuni moja ya vinywaji. Siku hii bosi wangu alinipa ofa ya a whole...
17 Reactions
181 Replies
10K Views
NINAULIZA SWALI KIMAPENZI KATI YA MKE AU MUME NANI AWE WA KWANZA ANATAKIWA AMPIGE MWENZIE KISS MUKIWA NDANI PEKE YENU? NINAWAOMBA MUNIJIBU SWALI LANGU ASANTENI.
1 Reactions
13 Replies
5K Views
HUKUMU ya kesi iliyokuwa inamkabili staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja na mumewe imetolewa leo na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar. Katika hukumu...
3 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari za hasubuhi wapendwa, Dunia hii haishi visa , kuna jirani yangu kamtimua mke na watoto kabaki na house girl, mke alipotaka kumchukua house girl ili akamsaidie kulea watoto kwani naye ni...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Have you ever felt ashamed of not satisfying your partner because of eréction problems? As you grow older you'll find it a little difficult to get a strong eréction and satisfy your partner in...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
dears,pls kwa wanawake na wanaume nataka kujua wapi kati yetu wengi tupo single zaidi ya wengine....coz nahisi kama rate ya wasichana tulio single tupo wengi zaidi ya wanaume hadi naanza kuogopa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani, kuna baadhi ya akina dada ving'ang'anizi sijapata kuona! Wewe umechumbiwa, umelipiwa mahari lakini bado unaenda kugegedwa na mabwana wengine. Mchumba wako kajua, na ameamua kukuacha ili...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wabubwa, pia ndugu zangu. Shikamooni woote mnaostahili!! Nimeona watoto wengi wadogo (wengine chini ya miaka mitano) wakiwa wamesukwa nywele. Kwa kuwa watoto hao hawana nywele...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Nashangaa kwa nguvu tu Kwani nini mwanamke akiwa peke yake maeneo ya kuburudika utasikia 'mpelekee yule dada bia' Bila kujali unakunywa juisi/soda/maji, tena kuna wakati hata hajamaliza...
6 Reactions
122 Replies
7K Views
Huwa nashangaa kabisa!. Hawa wanawake wakianza kuongea ndani ya nyumba hadi utamshangaa huyu ni mke wangu au kapandwa na pepo?. Anaongea vijimaneno hadi unatamani ummeze au umtwange makofi sema...
3 Reactions
118 Replies
9K Views
1. It's important that a man helps you around the house and has a job....... 2. It's important that a man makes you laugh...... 3. It's important to find a man you can count on and doesn't...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom