Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wewe na mpenzi wako mko mahali. Mpenzi wako kaacha aimu yake kaingia msalani. Wewe ukachukua simu yako ukapiga namba ya mpenzi wako na ukaona kwenye display screen ya simu mpenzi wako amekusevu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
yah sio kila mwanamke lazima umlale babu alinishauri hivyo na nimeona nikushauri na wewe mwenzangu!
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wewe na mpenzi wako mko mahali. Mpenzi wako kaacha aimu yake kaingia msalani. Wewe ukachukua simu yako ukapiga namba ya mpenzi wako na ukaona kwenye display screen ya simu mpenzi wako amekusevu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kiukwel toka niingie kwenye chama cha TAMU cjawah kucheat na haya ni makubaliano ye2,chakushangaza km mwaka hv umepita nliwah kuckia kuhusu skype mi ckuwa naijua vizuri nlimuuliza...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
WELCOME TO THE HUSBANDS' STORE!! A store that sells husbands has just opened in New York City , where a woman may go to choose a husband. Among the instructions at the entrance is a...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninajamaa yangu kanifuata na kunieleza haya: Mimi kipindi niko shuleni niliwahi kuzaa watoto wa 3 ingawa kila mtoto ana mama yake napia nasikia eti nina mtoto mwingine wa 4. Baada yakumaliza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba ushauri kama kuna mwenye experience au amewahi kusikia options ambazo ni productive. Mimi na mke wangu tuna miaka 4 sasa ya ndoa ya kikristo bila mtoto. Tumefanya vipimo vyote vya afya ya...
1 Reactions
67 Replies
12K Views
*CC: Madame B, cacico, gfsonwin, mwaJ, Mwita Maranya, majany, Kaka Kiiza, Asprin, watu8 Kulikuwa na mwanaume aliyekuwa anampenda sana mke wake,Wanandoa walikuwa na watoto watatu,mwanaume...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Utakuta kabinti kazuri zuri tu kadogo kadogo kamevunja ungo wa kwao miaka kadhaa iliyopita hata harufu ya maziwa bado haijatoka vzuri ila ana msururu wa mabwana mpaka unamuogopa ukionyeshwa watu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mambo vipi mtu wangu wa nguvu, kama kawaida ni siku nyingine tena ambayo Mungu ametujalia kuiona tayari tunaendelea kubofya keyboard japo wengine tumesahau hata kumshukuru asubuhi kwa uzima na...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
..... Siku hizi amekuwa kama anachanganyikiwa anamuwaza huyu mke wa pili. Ameuza nyumba 1 kati ya mbili alizonazo kisha kamnunulia nyumba huyu Mwanamke. Hajipendi tena siku hizi amekuwa mchafu...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Salaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam Ndugu zangu Tarehe 6 April nitakuwa nikifunga pingu za maisha ( naoa). Bado siku tisa tu nitakuwa na familia yangu Bado siku tisa tu ambazo huyo...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu salaam. Kama heading itakuwa tofauti na mada hapa chini, naomba mniwie radhi. Kwa kifupi sana, miaka ya 2000 mwanzoni kuna jamaa mmoja alikuwa rafiki yangu na enzi hizo ndo tulikua...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza jana nimeshuhudia kwa macho yangu kitu ambacho nilikuwa nakisikia tu. Hivi mnawafahamu dunga dunga nyinyi Jana natoka zangu kariakoo naelekea mbagala. Nashukuru Mungu nilipata...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu. Ni takriban miaka 2 sasa nikiwa na mahsiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye nathubutu kusema ni mzuri na mrembo. Pamoja na hilo, imekuwa ikiniwia vigumu sana kumuelewa...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Aiseeh! Wanaume nimechoka! John na Jeff walikuwa majirani na marafiki mpaka wake zao wakawa mtu na dada yake. John akaharibu akawa mpenzi wa mke wa Jeff jina lake ni Jessica. Mapenzi kikohozi...
2 Reactions
39 Replies
13K Views
Wana MMU naombeni ushauri wenu hii weekend iliyopita nimepatwa na janga mpenz wangu yuko mbali sasa hamu ya kudo imenikamata kwa muda mrefu sasa nikaona njia rahisi ni kwenda mjini na kununua...
4 Reactions
117 Replies
20K Views
Wamezaliwa 8 tumbo moja baba mmoja mama mmoja .. miongoni mwao wapo waliofanikiwa elimu ya kutosha na kupata ajira yenye masilahi na marupurupu.... wengine wamejitosa katika biashara pia...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ujumbe kama huu unaweza kuujibu vipi ikiwa umetoka kwa mpenzi wako na tena ikiwa hauna taarifa wakati anazikopa hizo pesa wala maelezo ya ziada zaidi ya huo ujumbe.
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habr zenu wakuu na wadogo pia,bt wote mtahusika kwenye huu uzi! 1-Kwanza kabisa napenda kuwauliza inavyosikika wapenz wanasema kuwa hatuta achana kwenye shida,miteremko na mabonde huwa mna...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Back
Top Bottom