(((( Ni MUNGU Pekee ))))
Kitu kimoja kuhusu Mwenyezi Mungu.
Mwenyezi Mungu hana upendeleo hata kidogo.. Unaweza kudhani kuna watu fulani anawapendelea
na kuwaonea baadhi. Lakini kamwe hayuko...
Katika kupitia pitia mada zinazoletwa jamvini, nimeona baadhi wakidebate kuhusiana na female ejaculation na hata mambo ya kufikishana kileleni.
Kitu hiki kimeshafanyiwa tafiti mbalimbali za...
Habr zeny wana MMU!
Kwanza kabisa napenda kuona wewe unafurahia mapenz na wako,maana umezchanga vya kutosha au umepitia a lot of thing!!!!.
Uwezo wako wa kufanikiwa kuwa na mpenzio kwa muda...
If only women would treat their lovers/partners just like the way they
want other women to treat their brothers, uncles,sons etc
If only men would treat their lovers/partners just like the...
True story iliyonitokea jana.
Soma na toa ushauri wako mwanaJF
Nikiwa nimejituliza kuvulini huku nikiongea na marafiki zangu; alinijia binti mrembo akavuka kiti na kukaa karibu yangu kama vile...
Nianze kwa kuwatakieni pasaka njema nyoote,:amen:
Kisha nije kwenye jambo hili ambalo mii huwa ninaliwaza sana. Maana mimi sio mtoto, nimeshafikia umri wa kutosha kupiga kura za kimapenzi na pia...
Huu ni ujumbe wangu wa furaha na Upendo kwa Wanachama wote wa TAMU (Tanzania Married Union) - JF Wing
Karibuni sana tupate ujumbe huu kutoka kwa Ambwene Mwasongwe...kuna ujumbe mzuri kwa wote...
Wadau,nina rafiki yangu wa karibu sana na vile vile ni Supervisor wangu hapa ofcn,
Huyu jamaa yupo vizuri kimaisha maana at the age of 29 tayari ana nyumba,gari 2 za kutembelea na miradi kama...
Mvua, baridi, upweke lohhhh....Mbona nina hamu ya kukumbatiwa!! Maana najiona nakakaa kwa baridi, sitaki joto la moto wa kuni,nataka joto la yule nimpendae.Joto la moto lasinyaisha ngozi, joto la...
Siku ya wanawake duniani haitabadilisha lolote tusipobadilisha attitude zetu dhidi yetu wenyewe wanawake. Ni hayo tu.
Mwaaaaaaaah kwa wanawake wote! :A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Rafiki yangu yupo Dodoma kikazi mkewe yupo Dar mfanya biashara. Rafiki yangu analalamika muda wote atakapo kuchat na mkewe yupo online. Amejaribu kuongea na mkewe lakini wapi. Je hii imekaaje...
SOURCE:Reasons Why Its Not Easy To Satisfy A Lady | AFRICA NEWS POST
Guys complain that it's not easy to satisfy ladies. But why is that the case? See the answer below...
Here Are The 7...
Natanguliza shukrani kwa wana wa Jf
Pili nakuombeni na mungu akuwezesheni mumsaidie huyu dada anashida sana ni msichana mdogo alie na umri wa miaka 25 ni mzaliwa wa dodoma mwenye asili ya tanga...
Hay wanajamvi wenzangu
Mnaendeleaje na pilika pilika za maandalizi ya sikukuu ya Pasaka, na mambo mengine kiujumla, mwenzenu niko fiti naendelea vyema na shughuli zangu za kunipatia kipato cha...
Unapoona mpenzi wako ameamua kuoa/kuolewa na mtu mwingine kubali matokeo. Mshukuru Mungu kwa ajili yahuyo x-wako na mke/mume aliyemchagua watakie mema utabarikiwa. Nimeshuhudia ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.