Her ya pasaka !
Wakati nikiwa nimebakiza miez kadhaa kumaliza masomo ya degree huku nikiwa na umri wa miaka 28 kwa ujumla ndugu na jamaa zangu nimewapa jukumu la kunitaftia mwanamke wa kuoa na...
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi ni ndugu yako wa karibu na ni Mtanzania halisi. NINAOMBA KUKARIBISHWA KWENYE SIKUKUU HII YA PASAKA. Nina uzoefu wa kula vizuri pasipo...
Nashangaa demu anatoka na kijana mwenziye then anamgeuza babaake kwa mizinga kibaaao.
Yaani unatafuta kumboa tu kijana mwenzio. Yaani maswaga yangu yooote haya unanifanya mimi buzi lako? Nimekosa...
Jamani huyu ni ndugu yangu tunashare mmoja wa wazazi, ni mtu wa matatizo sana. Mpaka leo hii yuko 40+ lakini ni mtu wa drama, from case to case za aina ya utapeli. Huwa pia anatabia ya uzushi na...
Wakuu
msaada plz
kuna demu niligonga siku nne kabla ya bleeding nikasepa,lakini sasa anadai ana mzigo wangu
je najiuliza hili linaweza kutokea au nimebambikwa,mzunguko wake ni siku 28
wana MMU naombeni ushauri hivi unapokuwa na mpenzi wa kike ambae wewe unamkubali lkn yeye hajikubali mpaka anaboa yaani kila mda yeye ni kujisema ni mbaya ooh eti kucha zake ni mbaya ooh nywele...
Daaaah n kitambo kirefu jaman up to now m naishia kuangalia tu da way watu wakiwa na manzi zao wakienjoy maisha but m nipo alone jaman nifanyeje even 2 me i want jaman
WanaJF, leo nimeonana na dada mmoja tuliyesoma nae chuo kimoja. Wakati wa chuo dada alikuwa na rafiki yake wa kiume lakini kama yalivyo mapenzi mengi ya vyuoni na la kwake liliisha baada ya...
Helo Marafiki wa MMU! Natumaini wote ni wazima. Nilipata ajali Jumamosi 23/3/2013 nikiwa na familia yangu, namshukuuru Mungu hakuna aliyeumia.
Nakiri ya kuwa Bwana ndiye mchungaji wangu na...
umri kuanzia miaka 30-35 na awe na kazi yake kwa maana mie mwenyewe cna ajira ila furaha ya kitandani ndo mahala pake.
kwa ambae anavigezo na yupo tayari anifate pm.
Kwanza nianze kwa kukukaribisha katika mwanzo wa sikukuu za Easter. Karibu sana
Leo kuanzia saa 12:00 jioni nitakuwa Golden Rock Pub - Buzuruga; baada ya hapo hali ndo itanambia pa kuhamia...
Haa! Mimi nitakuaminije bwana, wanaume wote ndio mlivyo utasikia baadhi ya wanawake wakisema hasa pale anapoanzisha uhusiano na mwanamume. Mara nyingi hii hutokana na mambo yaliyomkuta yeye ama...
Dada moja ananiabarisha hapa ofisini. Akimaanisha atoi sikio lake kusikiliza nyimbo za hawa wanaume wa makabila tajwa hapo juu.
Sikia ananitaja jina. Hawa watu kuwaruka viunzi vyao yaitaji akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.