Nimezoea kusikia watu wakisema mwanamke ni Tabia nasiyo sura au uzuri wa mwanamke ni tabia na siyo Sura; mbona nikimtambulisha mchumba wangu kwa marafiki zangu waliyo wengi wanamponda eti siyo...
Mtoto wa kike mwenye umri wa miaka tisa (jina linahifadhiwa), amefanyiwa unyama wa kutisha na baba yake wa kambo kwa kunajisiwa, kulawitiwa na kulazimishwa kulamba mbegu zake za kiume. Mtoto huyo...
It is also in the bible that the women are smarter than men
Everything about women start W
When they are married they are WIVES
When they lose their husband dies they are WIDOW....WISE...and...
Hii tabia sana sana ipo kwa mabinti, huwaga inanikera sana, yaani jitu zima unajua jinsi hali ya uchumi ilivyongumu, halafu bado unaacha chakula kwenya sahani, jinga kubwa...inakera sana..tuwe...
Nimebahatika kuwa na mke pamoja na watoto wawili, na sisi wote mimi na mke wangu wazazi wetu wapo hapa Dar es salaam nasi twaishi hapa. Chakushangaza kila siku za sikuku mke wangu hupenda kwenda...
Ndugu wana JF,
Ni muda mfupi uliopita, nimepokea ujumbe wa SMS kutoka kwa KOKUTONA ulionipa hii taarifa,
BABU, MWANANGU AMEFARIKI
Nimekosa cha kumweleza mpendwa wangu KOKUTONA kwani huyu...
Nina umri wa miaka 25 nimemaliza masomo yangu ya elimu ya juu mwaka jana ktk chuo cha jomo kinya nchini kenya.nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wa lika langu wasio pungua watatu lakini...
Women speak about 7000 words a day. The average man is 2000 words a day
- an article published in Science (one of the most prestigious peer-reviewed scientific journals in the world) in 2007...
WAKUU NATUMAINI MKO SALAMA NA MMEJIANDAA VYEMA NA PASAKA ,WAKUU NAOMBENI KUULIZA HIVI KWANINI WANAUME WANAPENDA KUTEMBEA NA HOUSE GIRL WAKE( beki tatu) NDOA NYINGI ZINAVUNJIKA KWA SABABU YAO...
Siku moja tulikuwa tukijadiliana na mama mmoja (mke wa mtu), mfanyakazi mwenzangu, masuala ya jamii na alishangazwa kusikia jamaa yetu mmoja akisema yeye huwa akitandika kitanda takriban siku zote...
Kwa kawaida kama wewe si mgonjwa wa aina yoyote ile, kwa maana ya ugonjwa ku-offset system ya mwili, madhara ya kutofanya tendo la ndoa kwa muda mrefu ni makubwa kuliko unavyofikiria as long as...
bila mu wazima wa afya,yangu jion ya leo nahitaji kueleweshwa hiv ni kwanini mapenz yamekuwa ni kitu kinachoumiza vichwa vya watu na kufanya mtu akae anawaza.Maana watu wengi ninaobahatika...
Kwakweli nimejikuta navutiwa sana na wewe,nakupenda sana na nakuhitaji naomba nafasi moyoni mwako na naamini Inawezekana Tukawa mke na mume..
Nimejiajili,
Na pesa ya kawaida tu(kitamzania)...
Jamani bado siku chache tutasherekea sikukuu ya pasaka. Napenda kuchukua wasaa huu kuwatakia wote pasaka njema hasa wale watakaobatizwa siku ya pasaka. Tukumbuke kujiandaa vema na kuwa waangalifu...
Naam,hili swali nimejiuliza tu kutokana na utafiti wangu wa kimaono,na kuona kwamba ipo kasumba katika wanawake wanaojiweza kifedha na wale wamama wa nyumabani
Ukiwa mchambuzi wa kina sna utaona...
Mazee npeni ushaur kwa huyu wangu manzi mana nimemuomba MZIGO zaidi ya mara tatu lakini anazingua,2mepanga zaidi ya mipango ya kukutana lakini yeye anavunja ahadi mpaka nashndwa kumuelewa kama...
Unajua utakapochukua simu au kutuma email kumsema au kulalamika kuhusu mume wako ambae anakulisha kukuvalisha kukulinda usiku na kukupenda mpaka akakuoa siyo kitu kuzuri kabisa jamani .mume wako...
Kila inapofika sikukuu ni watu wachache sana wenye kazi maalumu ndiyo huwa hawako kwenye mapumziko ya kikazi. Lakini watu wengi sana hutumia siku za siku kuu kutembelea ndugu zao au kufanya kazi...
" Wanawake kuweni na furahaaaa! na rahaaaaa! wakati wote popote na jessy. Jessy, pedi mpya, za kike za njano, ni nyororo, raha kuvaa, wakati wote , popote vyovyote! "
HAPA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.