eti jaman hii kitu inanishangaza kwa kweli,kuna manzi yangu mmoja hivi nikiwa naongea nae kwa simu nyakati za usiku,kunamtu huwaanampigia,sasa yeye anachofanya nikuhold on namba yangu(yani kama...
IGWEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Marafiki ni watu tunaokutana nao tu katika hustles za kimaisha, mashuleni, makazini na kitaa. Ni watu mnakutana mnapendana kuliko hata ndugu, you make a bond...
Ndivyo ilivyo. Unaweza ukawa sahihi kabisa kifikra (rationally) lakini usiwe sahihi kihisia (emotionally). Mpenzi wako akikulaumu kwa kosa ambalo hujafanya ila kitendo ulichofanya (ambacho unajua...
INAUMA SANA CHEKI HII ,Unamnunulia demu CM mwanaume mwenzako anamnunulia VOCHA !
Huo ni Mgawanyo wa Majukumu. Unamrushia demu love SMS yeye ana foward kwa Mwanaume mwenzako !
Huo ni Mwingiliano...
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Idubula, katika Kata ya Karitu ,wilayani Nzega, Tabora, amemuua mkewe kwa kumkatakata kwa mapanga baada ya kumfumania.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tabora, Antony Lutta...
mimi ni kijana wa miaka 20 tatizo ni kwamba yule niliyempenda kaniacha tena bila hata sababu ya kueleweka na nikikumbuka mambo niliyoyafanya kwake roho inaniuma sana true i cant without her plz...
"Wanafunzi Bagamoyo walalamika kubakwa"
"wakizungumza na gazeti la Majira' mwishoni mwa wiki, baadhi ya wanafunzi wa kike katika shule ya Sekondari Ubena, walisema mtandao huo unawahusisha...
Habari zenu wanajamvi.
Me ni kijana wa kiume,bado sijaoa. Huwa najiuliza sana,nitatumia vigezo gani ili kumjua kuwa mwenza huyu atanifaa...nini cha kuzingatia kwa umakini ili kuwa na ndoa yenye...
Hivi rangi za nguo za ndani zina tija yoyote kwenye mahusiano? Wewe kuna rangi mwenzio akivaa inakufurahisha au kukukera, ipi unaipenda sana, unadhani rangi hizo zinamaanisha chochote. Kwa mfano...
Wana JF, siku chache kabla ya PASAKA nilitoa angalizo kuwa, watu waitumie Pasaka vema, wazazi wawaangalie watoto wao hasa wa kike n.k. Sasa kuna kabinti ka form two hapa kwetu town alikuwa...
Nipo ktk mahusiano na kijana m1 kwa muda mrefu sasa.ktk harakati za maisha 2kajaliwa kupata mtoto m1.ikabidi nihame kwangu na kwenda kwa mwenzangu ili 2lee mtoto na kupanga mambo mengine.familia...
Hello there
baada ya mkasa wa kwanza na mwendelezo huu ni mkasa mwingine ambao umempata rafiki yangu....alikutana na mrembo (mchanga), kwa siku ya kwanza siku iliyofuata msichana akakubali...
wana jf naomba hilo nalo tusemezane kidogo, je mwenzako wa ndoa akiamua kukunyima tu ile haki yako ya msingi wakati unahitaji je anaichukulia kama adhabu au kutokujua? nauliza hivyo maana inatokea...
The lonely hearts section of the internet used to be dominated by the kind of people you move away from on the Metro. But in the past 10 years its become an easy way for busy single professionals...
Imezuka tabia ya kutumiana picha za nyu....ch zenu maana tangu huu mwezi uanze zilikuwa zinanikatizia na mwenzenu nilikuwa kwenye kwaresma, leo nimeamua kufungua naona mara kiwiliwili mara kidari...
Unapanga appointment na demu mkutane bar flani. Then unafika unampigia aje ushafika. Then anasema poa nakuja. Unamsubiri ila unaomba mungu aje peke yake kwa kuwa unahisi anaweza akaja na rafiki...
Jamaa angu ameniandikia ujumbe mfupi unasomeka..Eti uko na demu wako anaaga anaenda kwa kaka yake anarudi anakuja kwako unaomba show anakuambia yuko mchafu mpaka akajiandae utajisikiaje..?
Kwa...
Obstacles, setbacks and losses are a part of life; a fact of life even. But there are antidotes to help you and your loved ones get through difficult times and even draw positives from overtly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.