Mapenzi ya mbali yashanichosha sijafika mbali mienzi kadhaa tooo. Naogopa kumwambia nimechoka siwezi tena sijui itakuwaje wadau ushauri. Si atanichukia maana kanambia hawezi kuowa tena nikimuacha...
mimi nina mchumba wangu nmpenda xna lakin nna chllenge moja hataki tufanye mapenzi andai yeye ni bikra nkfanya nae ntamfundsha vbaya lkn mi na wacwac cyaamin mawzo hayo ht hvo mi nko mbli nae bc...
Having a good woman by your side as your girlfriend is always nice.
In fact, it is a dream of every normal man in this world. The right woman is a woman who can make you grow into a better man...
Leo naomba tudiscuss hii ishu ya kudate(kuwa na mahusiano ya kimapenzi) na rafiki yako wa karibu. Kwanza naomba nitangaze maslahi binafsi,mimi mke wangu kabla hatujaanza uhusiano wa...
Hili huwa najiuliza bila majibu,
Kwanini hasa inapofika kipindi cha kutafuta mwenza huwa tunachagua aliyemzuri wa sura na mrembo asilia ama dukani?
Jambo hili lipo kwa binadamu wa jinsia zote.
*Wadau wa JF, MMU, naomba mnipe mwongozo kwa hili la mpenzi wangu.
*Kuna mambo mawili yamejitokeza hv karibuni:
* kwanza, juzi alinipigia simu[hatuko mkoa mmoja, anasoma] na katika maongezi...
Mungu ni mwema sana na ni waajabu pia, matendo yake hayaelezeki,yanatisha na wakati mwingine ukimtafakari sana unaweza usifike mwisho wa tafakari yako. Na mwisho uwaweza sema kweli Mungu ni wa...
Habari zenu wana MMU, I salute you all!!!!
Kichwa hiki cha habari kimenifanya nikumbuke tangazo moja la mtandao wa simu za mkononi, hapa kazini kwetu imetokea kweli yaani habari yenyewe ilikuwa...
1. Mwanamke atembee na kalamu ya chuma mkononi tayari kuwatoboa macho.
2. Tembea na kikopo cha ----- (kijijini)
3 Uwe na kucha za kuwaparua kwa ajili ya DNA test
4 Tumia kiatu chako cha stilleto...
Wana JF,
Kuna kisa kimoja ambacho ni issue live mwanamke kaachana na Mumewe na kurudi kwao na kupangisha chumba chake ila hakai hapo ni anakaa kwao na kisa kagundua Mumewe ana Mwanamke mweingine...
Habarini ndugu zanguni wapendwa?Tunamshukuru yule mweza yote muumba kwa kutuweka tukiwa hai na salama siku hii ya leo ambapo tunaendelea kuivuta hewa yake safi na kujadili mambo mbalimbali...
Mimi ni kijana mwenye miaka 21 nimekaa na mpenz wangu zaidi ya miaka minne..na katika faragha uwa nampa haki yake kisawasawa, lakin toka nimeachana nae kila nikichukua mwanamke mwngne mashne yang...
Usisubiri shukrani. Ilikuwa pasaka ya mwaka 2007 usiku wa saa saba usiku. Nilikuwa natokea kwenye mizunguko ya pilikapilika ya pasaka kama ilivyo kawaida ya sikukuu ndani ya bongo. Nilifika kawe...
You probably are well aware of the fact that orgasms occur because of muscle contractions in the body, combined with an increase in blood pressure.A result of intense pleasure, when it comes to...
Wana JF,katika kipindi cha hivi karibuni nimegundua mpenzi wangu ana mahusiano na mtu mwingine japo wako mbali mmoja yupo Dar na Mwingine Arusha,hawa watu wanafamihamina kwa muda mrefu ,sina...
Hay wanajamvi wenzangu
Leo mwenzenu nimeona nifurahi zaidi ya kfurahi kwa jambo ambalo Mungu
amenitendea leo mwenzenu,nimebahatika kukutana au kuona jambo langu
ambalo nilimwomba Mungu kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.