. He/she will be calling you sweet names in your inbox but in your wall he will be calling you *dear*or your name.
2. If you comment on his photo he will only say (thank you dear) to avoid his...
Mwanamke hatakiwi kabisa kuwa na jeuri wala kiburi, si tu kwa bf, au mume wake bali hata kwa watu wote . Ila kama wewe ni msichana/mwanamke na unaona kwamba hauwezi...
Kwenye jamii yetu kuna tabia inanikera sana,tena sana.
'
Tabia hii ipo hasa kwetu wanaume.
'
Unakuta ndugu yako wa kiume amefariki na ameacha mjane na watoto na Mungu alikua amemjaalia mali na...
Nna rafiki yangu wa muda mrefu ambae alizaa na mume wa mtu ila hawajafunga ndoa, jamaa amempangia nyumba na anampa mahitaji yote ya mtoto km chakula, medical, kulipa bills ila hataki kuwa involved...
Amani iwe juu yenu wana jamvi!
Jana usiku mida ya saa 4 usiku nilikuwa maeneo fulani katikati ya jiji, eneo ambalo kwa tukio lililotokea hakuna anayeweza kuamini. Kulikuwa na mdada m1 akitembea...
Girl: Hey baby!
Boy: Yes honey...
Girl: I like this shoes bt I forgot my wallet at home...... could you please pay for me? They cost only Tsh. 45,000/=
Boy: Sorry honey, there's no any ATM...
Mimi najua wanawake kama wawili hivi ambao wameolewa na hawatoki na Wanaume Wao kokote na mwanaume haruhusiwi kupokea simu.Hii ni couple ya watanzania ,nimeuliza kwa sababu "Goldie Harvey alikuwa...
I am 24 weeks pregnant. When my husband and I argue, he always resorts to telling me that I will be a bad mother, or a failure as a mom, "just like my mom was" (my mother and I have a long...
Hata kuangalia bango lenye picha ya mwanamke husababisha upofu....!
Imebainika kwamba, mtu anapoona kitu cha kumshtua na hasa kile ambacho kinachochea hisia za kutaka kukitazama tena na tena...
MME:Natamani sana muda huo ufike.
MKE:Vp wataka niondoke?
MME:Hapana hata kidogo.
MKE:Unanipenda?
MME:Ndo manake.
MKE:Utaniletea demu mwingine ndani?
MME:Siwezi huo upuuzi.
MKE:Utanibusu milele...
Salamu wanajamvi.
Sa hivi tatizo la upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa hasa mijin na kufikia hatua kutoa ajira kwa maganga wa jadi kwa hiyo vijana wenzangu fulsa hiyo chonga bango,twanga...
I had it all. Looks, money and charm. I was the kind of girl who walked into a room, be it a club or wherever and lit it up. Yes it was me. Parties I threw were never dull. Hahahaa. Ee bwana...
Wakati nilipo kuwa namuona mwaka uliopita kabla sija ondoka kukaa mbali nae kwa maangaiko ya maisha, ni kweli nilimkubali kwa urembo wake wa asili, alikuwa mnene wa kadri na mweusi wa dawa yaani...
I have been traveling all over east african countries but I never seen beautiful prosecutor anywhere like whom I met in tanzania at Ohio street.absolutely she was sweet.
Niaje wadau?
Nina imani wengi wanaifahamu barcelona, hivi kwa nini msifanye relationship zenu ziwe kama barca,, jamaa ni zaidi ya familia, hata wakifungwa wanatoka wote vichwa chini na huzuni...
Nimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.