Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wana Jamvi, Limedondoshwa dawatini jana mchana...........Jamaa ameoa takribani miaka minne sasa. Mungu ni mwema kwa ndoa yake wana mtoto mmoja na maisha yanasonga japo milima na mabonde...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Utakacho kisikia njoo uniulize.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watu walikua busy na registration nami nikiwa mmoja wa wanafunzi tuliokua tunaingia first year. Ndipo macho yangu yakamuona huyu mdada wa "kimachame" na kumzamisha kunako "moyo". Nikamsogelea...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
jamani kwanini mwanaume atongoze rafiki wa mkewe? kuna kaka ana tabia hii hivi tatizo ni nini? kah...!!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I've written a lot of sex books over the years and given a lot of advice. Most of it, I still stand by 20 years on. But there's been an enormous amount of research into sex since I started out...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
ndugu wana JF naomba ushauri nimetokea kumpenda dada mmoja ana ujauzito wa miezi ninne/mitano, alikuwa ameolewa ila mume wake hamtaki tena kwa kweli huyu dada ni mzuri sana na nipo tayari kumuo...
0 Reactions
51 Replies
147K Views
I am 20 years old girl. I got attracted to my real biological dad when i was 15 years and i felt like sleeping with him. I don't know what caused that coz he's not too much handsome. I tried to...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
This is so wierd. I have just come across a story where this 8 year old boy walked down the aisle with a 61 year old woman just for a sake of fulfilling the cultural norms. This wedding was done...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu....heshima!! Ni kayika mazungumzo naye kwa simu asubuhi hii,nimejikuta kwa bahati mbaya nimemuita mpenz wangu jina la ex wangu ambaye naye analifahamu jina hilo,lakini hamfahamu...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Eti hivi ni vibaya kumwita mpenzi wako 'Mpendwa' au ndo natafutiwa sababu.
0 Reactions
3 Replies
778 Views
Habari zenu wana JF natumai muwazima wa Afya. Leo naomba tujadili suala la ndoa kw nini hazidumu katika jamii yetu na chanzo ni nini? Kwa mnasaba wa kichwa hicho cha habari moja kwa moja natupa...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Ameshapata anashukuru wote mliowasiliana naye.
0 Reactions
23 Replies
2K Views
wakuu nisaidieni kitu kimoja, Unapokuwa member wa hapa Jamvini na una ID yako ambayo unaitumia siku zote, hivi ni lazima mtu wako (Mpenzi, Mwenza or rafiki) ajue ID yako hiyo? Kama mnakubaliana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu wanajf,naomba mniwie radhi kama nitakuwa sina mpangilio mzuri wa andiko hili. Nimekuja hapa jf nikiamini ni mahali pekee nitakapopata ushauri ambao utanisaidia kuiokoa ndoa yangu...
5 Reactions
93 Replies
9K Views
habari wana jamii forum mm ni mdada mwenye umri wa kati, naishi na mwanaume kama mume wangu ana tabia ambazo kwa kweli sizielewi kabisaaa! kwanza kwetu hajatoa chochote, pia yanayonikera ni haya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
BOY: A, B, C GIRL: What? BOY: Always Be Careful GIRL: Aha then? BOY: D, E, F, G Girl : ?? BOY: Don't Ever ForGet That GIRL: Hmmm... BOY: I'm H I Girl: What H I ? BOY: Happily In love GIRL: So ...
17 Reactions
19 Replies
2K Views
Form habari leo Simulizi ya askari aliyemuua bin Laden Tangu kuuawa kwa kiongozi wa Kundi la Al-Qaeda Osama bin Laden kumekuwa na fununu nyingi zinazoeleeza mazingira ya kifo chake pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
kutoa kamas kwa viganja tena hadharan unaingiza kidole puan,kutoa tongo tongo mbele za watu,kuchokonoa na kutoa uchafu sikioni kwa kidole mbele za watu,kutoa mabaki ya chakula kwenye meno kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wazazi tusiwaseme watoto walio feli naona watoto wanazidi kujinyonga tujaribu kuliangalia hii kitu kama janga kwani watoto ni wengi sana waliofeli. Sasa tukianza kuwa shukia watoto itatugharim...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
mtu anapokiuja kuomba ushauri hapa jf anategemea kupata opinions za watu tofauti sio just mmoja. idea yako ya kupatwa na "jambo gumu" mpaka unashindwa kuliandika hapa ni hadithi. zimekuwepo mada...
3 Reactions
48 Replies
3K Views
Back
Top Bottom