Habari zenu wana MMU!!!!!!!
Leo ningependa kuongelea kidogo kuhusu wanawake,
Wanawake wengi hushindwa kuwaeleza wapenzi wao nini hasa huhitaji pindi wanapokuwa kwenye sita kwa sita na hii inaweza...
Looking out the window I impatiently tapped my foot as I waited for a friend who had obviously chosen to ignore the very purpose of time. He decided to be oblivious to this age old practice...
Wanawake waliopo kwenye ndoa walienda kwenye semina kuhusu ndoa. Muwezeshaji akawauliza mara ya mwisho kumwambia mme wako nakupenda lini? Wakajibu wengine asubuhi, wengine sasa hivi tu tumetoka...
WANA-MMU;
Habari zenyuuuu!
Najua Leo ni Blue Monday, wengi wenu mpo busy na kazi maana hamna hela,wengine mnasinzia kwa7bu ya hangover za Jana na wengine ndo kabisaaaa majobless hawajielewi...
Did you know that one of the easiest ways to kill a relationship is
by being jealous? That's right, jealousy not only kills any
attraction you once had but actually moves you further apart. It...
Nahisi wote ni wazima, kama wewe ni mgonjwa pole sana, Mungu akuguse jioni hii upate wepesi.
Nachukua nafasi hii kutoa wito kwa wale woote wasio na wapenzi a.k.a SINGLES kutumia ukurasa huu kutuma...
Umewahi kukutana na mtu mwenye harufu mbaya ya kikwapa? Mwaka jana, nilikuwa ofsini nafanya kazi kama kawa mida ya ashubuhi. Pembeni kulikuwa na chai yangu. Aliingia dada mmoja hivi, du! Hata hamu...
Wasalaaam!
Naombeni kuuliza maana ya shanga/mkufu kiunoni nimeuliza wadada kadhaa uso kwa uso sijapata jibu la kueleweka.
naombeni kujua umuhimu wake jamani.
cc. Lara 1, gofswin, kongosho,smile...
Bandugu ile kiroho safi tu, nataraji kuweka makazi pande hizo hivi karibuni sema cjawah fikaga wala kupajua. Mwenye habari za kisifa au mwenyej wa uko ka akitiririka atakua kanipa hope.. Pia...
Mwanzo nilihisi naota lakini kadri siku zinapo jongea ndipo nagundua kwamba ni hali halisi,
Nilianza mahusiano na huyu msichana nikiwa Form 2 muda kidogo baba akaja kuona picha ya huyu...
Kristu Tumaini Letu (Romans mambo ya kwaresma!)
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!
Kama ilivo ada lile gwiji lenu la kuwaletea Kitu na Box a.k.a The Hard Talk ya mada dumeee almanusura juzi...
Sikujua kama jamvi ili ni ulimwengu mwigine.
mpaka pale ambapo nilipoona uimwengu huu ukiwa nyuma yangu.
sikujua kama jamvi hili ni ulimwengu mwingine
mpaka pale ambapo ulimwengu huu...
Watu wenye sura hiyo hapo juu naamini kila mmoja wetu anaweza kabisa kuwa anamjua angalau mtu mmoja mwenye sura inayofanana na hiyo. Watu wenye sura hiyo ni watu ambao wana sifa ya uzungumzaji...
..imeandikwa, mtu hataishi kwa mkate tu..
.
.
Ukiwa kama mfanyakazi katika taasisi au shirika flan, unapata majaribu mengi, mfano kufanya jambo lisilo na maslahi kwa shinikizo la miungu watu...
ITV Tanzania:
Katika hali isiyo ya kawaida mbuzi mmoja wa mkulima Bi Rehema Daniford wa kijiji cha Kinapanda wilayani Iramba mkoani Singida Amezaa mtoto wa mbuzi anaye fanana na binadamu sehemu...
Nimesikia kutoka kwa waliooa au kuolewa na wazungu kuwa ni watu makini kwa familia zao, na huwapenda kwa dhati wake au waume zao. Pia hawa cheat kama wabongo..na kama hakupendi hata kama ni mkewe...
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 24, makazi yangu ni jijini mwanza,nimeamua kushea story yangu ili niweze kupata ushauri kwa watu mbali mbali juu ya nini nifanye baada ya kutendwa katika kila...
Leo jumapili,nkaamua kupoa uswazi kwetu kichuna hakikuwa na nafasi ya kuja kututembelea,bac mama mwenye nyumba akaja kunjulia hali na stuli nkampa,baada ya kuongea hali ya hewa,siasa na...
Wakubwa zangu shikamooni!
IGWEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna jambo moja linaendelea sanaaaaaaa katika jamii yetu na ni baya sana na la kunyong'onyeza kabisaaa! Na ndio habari ya mujini kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.