Wapendwa wana Jf poleni na majukumu, nikawa nimekaa mahali napunga kaupepo, huku nikiishuhudia Jumapili inavyo yoyoma, na hatimae watakao amka salama hususani sisi wakazi wa, asubihi kuanza...
Jana nikiwa ktk kijiwe fulani nikicheza drafti alikuja kijana mmoja hivi nimemsahau kwa jina.
Akadai kwamba anampenzi wake ambaye bado ni mwanafunzi wa secondari na kwamba wameanza nae mahusiano...
Feb 16, 2013 source: Andrew Harvey
In this tell-it-all interview, Goldie Harveys husband confessed his late wife loved her former BBA star, Prezzo because of his manipulations.
He...
Ni mzuri sana, ana baby face, haoneshi kama ana mume kwa wale wasiomjua. Ninamheshimu naye ananiheshimu na pia namheshimu mume wake kama shemej yangu coz tunafahamiana kwa karibu! Bibie huyu...
Habari wana Jf,
Naombeni mawazo yenu. Mie ni kijana mwenye umir wa miaka 21, najiandaa kuingia kidato cha 6. Nina mpenzi wangu ambae tupo umris sawa na nimeshawahi kufanya nae sex.
Ikifika...
Hii imefanyiwa utafiti huko nchi za wenzetu lakin naona inatugusa hata sisi.
Inasemekana kwamba wanaume waliooa wanawake wenye mishahara mikubwa au vyeo kuwazidi wao, huathirika kisaikolojia...
A man called home to his wife and said,
''Honey, I have been asked to go fishing up in Canada with my boss & several of his Friends
We'll be gone for a week. This is a good opportunity...
MALEZI kwa watoto ni kazi ngumu sana licha ya kwamba yaweza kuwa rahisi kutokana na jinsi utakavyoichukulia. Kumbuka jinsi unavyomlea mwanao ndivyo atakavyokuwa katika maisha yake hivyo ni vizuri...
Tunazungumzia mapenzi katika sura ya kipekee kwa kuwa yanahitaji thamani ya hali ya juu. Yanaheshimiwa kupita kiasi kwa sababu yenyewe ni sanaa kiranja ambayo kila mtu lazima atayapitia...
Ebu tanzua hii kitu then utaamini nilisemalo.Unakutana na mwanamke ambaye haijalishi ulishawahi kuonana nae kabla au lah!unajikuta umempenda(kimapenzi)unamrushia...
Thousands of people have been married in South Korea in the first mass wedding organised by the Unification Church since the death of its founder.
Some 3,500 identically-dressed couples took part...
kwanini kuwa na mpenzi bila raha? kuna wasichana wengine wanacho penda ni wewe kuwapa raha tu hii ni sawa? anacho taka ni raha tu ukienda na zawadi kwake raha lakini ukienda mikono mitupu ananunu...
Hii aiwapi haki wanawake na ni unyanyasaji dhidi ya wanawake. Nachukulia mfano wangu mwenyewe. Mimi ninaishi na mke wangu japo sijafunga ndoa naye ila nimesha naishi naye miaka kadhaa. Mimi nina...
Nimepitia hii simulizi ya Mwanamitindo Anand Jon ambaye tayari kesha kufungwa na anatumikiia kifungo cha miaka 59 jela na amefutiwa mashitaka 48 baada ya kukiri ya kuwa alimrepu Model kupitia oral...
Wadau wote tunakumbuka jana ilikuwa siku ya wapendanao al maarufu Valentine Day!wengi wetu tunajua nizawadi gani tulipewa na tukajumuika na wapendwa wetu!Ila kwa wale waliokuwa na Mpenzi kwa maana...
Mnamo mwaka 1973 Dk. Paul MacLean, mtafiti toka taasisi ijulikanayo kama National Instute of Mental Health, alibaini kwamba, ubongo una sehemu tatu zinazoendana na nyakati tatu za mabadiliko ya...
Women and Money have a common understanding. They know each other and they have established a means of communication. They real miss each other and know how to chase each other.
Men are victim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.