Happy Valentines Day kwenu nyote.
Katika kusherehekea siku hii napenda kuwa na ninyi nyote na kwakua ni ngumu sana kuwa na kila mmoja physically basi naomba hapa ndani ya key board tuwe pamoja...
KUNA RAFIKI YANGU AMENIPIGIA SIMU JANA, Ameogopa sana ANAOMBA USHAURI,
Ni mwanachuo, ametongozwa na wanaume wawili humo darasani kwao, amewakataa wote wawili,
Sasa, kuna mmoja wa hao wanaume...
Kanambia ananipenda kuliko mwanaume yeyote duniani
Ni mdada alinifuata na kunambia hivyo mie nkamuuliza hana uhusiano na mwanaume yeyote akanijibu hakuna zaidi ya wale wanao msumbua tuu
Nkampa...
Valentine died for love,
.
.
.
Romeo also died for love,
. .
.
Jack in titanic died for
love,
.
.
.
Samson in the Bible died
for love,
.
.
.
Greek heroes Hercules &
died 4 love...
Mimi ni Kijana wa kiume nina mahusiano na my Girlfriend for almost two years na tulikubaliana mwezi huu tukatambulishane kwa wazazi,na Mungu akipenda tufunge Ndoa Mwaka Huu kwa kweli tulikuwa...
Alisikika rafiki yangu wa karibu kabisa akisema maneno hayo! Ni Mtu wa makamo tu kama miaka 35 hivi, Kasema yaani siku hizi anaweza akakaa hata mwezi na nusu au zaidi hana hamu ya ku do na mkewe...
Kwa kweli sijapata ile huduma ya papuchi kwa muda mrefu toka mwaka jana august,
Yaani kwa sasa nikikaa idle then nikapata mawazo kidogo tu, dushelele fasta tayari ameshaenda winga!
Hv kuna...
Huko Italy katika mji wa Siena ambao ni maarufu kwa mambo mengi, kuna sheria ya ajabu kidogo. ni ya ajabu kwa sababu, ingawa imejifunga na imani, lakini imesahau kwamba, jina ni jina tu. Kwenye...
Kuna dada alikuwa ameolewa amekaa na mume wake 12 years ndoa ya kikristo hawakuwa na mtoto mwaka 2010 mwanaume alimshutumu wife kutokuwa mwaminifu akamfukuza bila hata nguo,na kagoma kumrudisha...
Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa akili yako yote na kwa nguvu zako zote.' Na Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.' There is no other commandment more...
Kuna msichana anainipenda kweli na kila siku haachi kuniambia kuwa ananipenda na anataka nimuoe ila ukweli ni kwamba simpendi kama anavyo nipenda yeye na sina mpango wa kumuoa na nimekuwa kwenye...
Jamaa yangu ana demu wake anampenda sana,pia ana wivu mbaya,kademu baada ya kulijua hilo kakawa kanamletea pozi sana mara kamwambie waachane,mara jamaa asijisumbue kwenda kujitambulisha...
Huu hapa wimbo wa Dido, one of my fave artists.
Nawatakia wapendanao wote sikukuu njema kesho,
As we know mapenzi ni kila siku, sio tu Feb 14th
But as far as "sikukuu" goe, make this one special...
The more men want sex the more they lower their standards while frisky females RAISE theirs, new study finds
Sexually hyperactivated men consider almost ANY female a potential partner
Sexually...
walio kwenye mahusiano 95% wanasalitiana kwa njia zifuatazo
1. kwanza kabisa kwa message na mitandao ya kijamii
2. kwa simu ya kuongea kwa sauti kwenye simu
3. kwa hisia ( hapa namaanisha mnaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.