Habari waungwana,
Nimeanza kazi moro nina kam miezi 9 na nimeanzisha uhusiano na binti mmoja alie jaaliwa uzuri miezi 3 iliyopita. Yeye yupo UDSM mwaka wa 2. Kwa bahati nimeamishiwa kikazi DSM...
Happy valentine madame b, lara1, zinduna, ciello bila kumsahau dismainda girl and all others jf members........................ Swali la msingi, hivi si unajua kila mwaka kuna valentine day...
Valentine, You're Food For My Soul
From the moment we talked, I started to get
Feelings of hunger that couldn't be met,
Like feelings that come when I see yummy pies,
Well, I get those feelings...
HAbari wana Jamvi. Hope your weekend is great kama ambavyo yangu pia ingekuwa kama Hili lingetimia. Mniwie radhi kama hapa si mahala pake as nimeona pananifaa zaidi kuwasilisha hili niweze pata...
Habari zenyu wakuu?
Ama kweli nimeamini kuwa kuibiwa siyo ujinga wala ushamba. nijana tu nimepigwa simu yangu pale kituoni studio. kidume nikiwa nimechoka baada ya kutoka kwenye harakati zangu...
hivi siku hizi wanaume tumeshindwa kutongoza au ndo dot com generation mana kila siku humu JF utakutana na uzi mwanaume anatafuta mchumba tena utakuta mtu mwenyewe miaka 30 hadi 35....hayo mambo...
Siku ya wapendanao ni siku muhimu kwa kila mwenye mapenzi mema. Ni siku ya ku refresh your brain and mind, i mean kujitafakari km kweli unampenda? km kweli unamjali na kumlinda? It is day to make...
Kwa kauli ya dhati kabisa nimeona niliseme hili baada ya
kuumia moyoni niliposhuhudia manung'uniko na huzuni za shosti
mmoja alipokuwa akibubujikwa na machozi ya 'damu' kwa
mwenzake juu ya...
mchumba angu nahis hana commitment kama ilivyo kwa wa2 weng ktk mahusiano ila ana claim anaipenda sana.kinacho nichanganya ni pale anapokutana na x wake anakosa ujasili wa kutompa nafas ili...
Una Boyfriend,Unampenda ile
mbaya,anajua unampenda na
hufurukuti,anakusumbua
kwelikweli,wewe na kisima cha
machozi ni Mutual Friends,kwa
mwaka unalia mara nyingi kuliko Kikundi cha...
Hii ni kweli na ilitoke juma lililopita maeneo ya Dsm.marafiki wawili walioshibana,kujaliana na kuishi kama ndugu walipo kosana kisa huyu bint!mmoja kati yao alikuwa na mpenzi lakini hakupenda...
St. Valentine's Day is the world's "holiday of love." Since the Bible states that God is love (I John 4:8, 16), does He approve of the celebration of this day? Does He want His people-true...
UPO usemi usemao kuwa mapenzi ni sumu na mapenzi yanaua ni usemi ambao ni vigumu kuuelewa ila ni rahisi sana kuutumia usemi huu kama ni funzo kwa wasiojua nini maana ya mapenzi.
Kwa...
Haya hapa chini ndo yaliyolipotiwa na gazeti la Kenya:
Campus divas and rogue morgue attendant
Updated Monday, February 11 2013 at 00:00 GMT+3
By David Odongo
The Internet has made it easier...
Yamempata rafiki yangu, anaomba ushauri:
ALIOLEWA NA MWANAMUME MMOJA, ambaye waliishi pamoja kwa takriban miaka mitatu.
Walishindwa kuelewana hivyo kusababisha kuvunjika kwa ndoa hiyo.
Baada ya...
mimi nina msichana wangu ambae tupo kwa mda mrefu sana,katika miaka mingi tulio ishi tumejikuta tunapendana zaidi na kujiona tunaweza kuishi pamoja kama mke na mume,hivyo
tunajipanga ili tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.