Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari Wana JF, Tatizo la dada zetu wanachagua sana wenza wa kuwaoa.Mimi naamini kama umemuomba Mungu akupe mume naye akakuletea mwenye ndevu ndefu au kitambi (ni mfano tu) pokea huyo ndiyo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Closed
Wakubwa zangu shikamooni! IGWEEEEEEEEEE!!!!!!!! Nimefanya kiresearch kidogo ktk hii miaka yangu ya kufuta ujinga haswaa huku vyuoni wadau walimu wanakula sanaa vichwa! Yaaani kwa average kila...
0 Reactions
140 Replies
14K Views
ni kama wiki moja hivi na cku zimepita nilipo kuwa kwenye daladala ya mwenge-posta,pale maeneo ya posta mpya,ndipo jamaa 1 aaliyekuw na haraka,bila huruma akampiga kikumbo kijana 1 kama sio mtoto...
23 Reactions
35 Replies
3K Views
Salaam kwenu wana jamvi. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniweka hai mpaka hivi sasa. wadau leo nimeona niongee kuhusu dada zetu..kiufupi nafanya kazi katika moja ya hospitali hapa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
0 Reactions
25 Replies
17K Views
habari za usiku wanajf, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: • Hasira za mara kwa mara...
6 Reactions
83 Replies
23K Views
Mnamo tarehe 3/2/2013 pale mjini dodoma maeneo ya mwanga bar,lilitokea tukio la kurushiana maneno kati ya wafuasi wa ccm na chadema pia kupigana kwa mawe kama tulivyoshuhudia akiana mh.rage na...
0 Reactions
6 Replies
788 Views
Alikuwa binti mzuri mwenye mvuto, shingo ndefu umbo namba nane!!!!alikuwa na tabasamu lisilo na kifani mwenye lips za pink uwiiiiii jaman I can't imagine!!!! Wakati natokea chuo( mlima campus)...
1 Reactions
35 Replies
26K Views
Natumai mko fiti waungwana na mnaendelea na shughuli, kazi, masomo na pilika pilika za hapa na pale ilimradi tu kujiingizia kipato chenu cha kila siku. Na wengine wanaendelea kuendekeza mambo...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Baada ya kuvishwa pete ya uchumba, wasichana wengi huona kwamba kilichoko mbele yao ni kupanga harusi tu. Hujishughulisha kwa hali na mali kuhakikisha harusi inakuwa sawa na ile anayoiwaza siku...
17 Reactions
53 Replies
10K Views
KWA MUDA MREFU KUNA WANAWAKE WENGI SANA HUPIGWA SANA NA WANAUME ZAO BILA KURIPOTI POPOTE NA KUBAKI KUUGULIA MAUMIVU BILA MSAADA WA KIDAKTARI.VILE VILE KUNA WANAUME WANAPIGWA SANA NA WAKE ZAO BILA...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
habari wana jamvi wenzangu!hizi ndo sifa za mwanaume mwenye mapenzi ya dhati kama ulikuwa hufahamu. 1. ALIYE MKWELI. Katika hili, hekima na busara nyingi huhitajika kutumika, ngao kubwa ya...
0 Reactions
25 Replies
38K Views
To all men in MMU, What I Did Was Foolish & Impulsive If I Cud Take It All Back I'd Do This So Instant I Truly Didn't Mean To Hurt You In Any Way I'm Sorry For Hurting You I felt...
1 Reactions
67 Replies
4K Views
Habarini wana JF wote. Naombeni mnisaidie hili laniumiza moyo sana. Mie ni mdada wa miaka 30. Nilishawahi kuwa na mpenzi nikampenda sana tena sana hadi ikafika wakati nikazaa naye mtoto mmoja...
0 Reactions
7 Replies
989 Views
Habari zenu waungwana! Kuna jamaa yangu anahitaji ushauri, wa jinsi ya kuishi na wife wake sehemu ya kazi! Anasema aliamua kumtafutia wife kazi sehemu anapofanya yeye kazi kwa sababu ya malipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters.. Kuna jambo linanisumbua sana kichwa naombeni ushauri,,,najua humu kuna watu wazima waliopitia changamoto hizi naombeni msaada wa mawazo kabla sijaingizwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana jf, Salam Kila mara nawaza na kuwazua bila kupata jawabu ! Mambo ninayoshuhudia yanaendelea kuongeza maswali mengi yasiyo na majibu katika akili yangu, mwasho Nilijikuta nasema ooh ! jamani...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
..kwamba kijana amekaa akaona wakati muafaka wa kusogea altare na kusema i do uwe lets say december.......mara mambo yanaharibika bint mjamzito!! busara apo ni ipi;kusubiri ajifungue ndio afunge...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Mambo muhimu ya kujua unapojiusisha na machangudoa/malaya (malaya wa kiume/kike) jambo la kawaida ni kupoteza pesa na muda wako bila ya ww kujali/ kujua, kujiona unafaidi lkn bila ya kufanya...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Mke ana nga'ng'ania aongezewe mtaji ili aende Dubai, Hong Kong, Jakat na Taipei akaanze biashara ya nguo. Hivi karibu ameonyesha kutokea kuipenda hela sana tofauti na mwanzoni. Yeye ni...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Back
Top Bottom