Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kabla ya kufunga ndoa (kwa wakristo sijui kwa waislam na wengineo) huwa kuna semina iwapasayo kuhudhuria na huwa inakazia juu ya maisha ya ndoa, Baada yapo ndipo watu hufunga ndoa na kuanza maisha...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Siku Ishirini ya kuokoka baada ya kuubiliwa neno la Mungu,tukiwa tumejipumuzisha kitandani mimi na mke wangu mara nikaanza kumuomba msamaha kwakuwa nilitenda mabaya enzi za giza(kabla sijaokoka)...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Hicho ni kitanda chako, hakistahili kupeana migongo, lol Mlipoanzana sisi hatukuwepo kabisa! Mlipotongozana siye hamkutualika! Mlipokuwa mkibipiana ilikuwa siri yenu! Mlipokuwa mkikonyezana...
25 Reactions
172 Replies
9K Views
Ladies, lets be clear....and REAL....a man isn't cheating with you because you are so good at being the other woman....he's cheating with you because you aren't good enough to be THE woman. I...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi kweli siku hz kuna mapenzi ya kweli kutoka kwa dada zetu? Make naona pesa imewekwa mbele kuliko upendo wa dhati. Ukiwa na gari hata la kuazima, ukaongeza vijisenti kidogo basi unampata mdada...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sura unayoiona hapo juu ni sura ya mwanamke. Bila shaka umewahi kukutana na sura kama hiyo maishani mwako. Hata kama siyo inayofanana hivyo kwa kila kitu, bali ni sura ambayo unaweza kusema...
11 Reactions
38 Replies
9K Views
There is a girl that ,I love so crazily that ,I realy want to marry.But the problem is that she is older than me by 1.5 yrs.Though we shared our childhood and primary school education.Personally...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
KIJUE CHAMA CHA KUTETEA HAKI ZA WANAUME TANZANIA(TAMRA) KATIBU WA UHAMASISHAJI WA TAMRA TAIFA BWANA HATIBU MGEJA AKIWA NA MWEKA HAZINA WA TAMRA TAIFA BWANA JUMA KOMBO TANZANIA MEN’S...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
mwaka wa tisa huu nko ktk ndoa ila si muelewi mzazi mwezangu kabisa tymejaliwa mtoto kabla hapo tulishiriki vema kuihudumia ndoa yetu kwa mapenzi mazito baada ya kujifungua mtoto hiv sasa mapenz...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Leo nimehudhuria kwenye zahanati moja nikasikia kwa masikio yangu nesi mmoja alivyokuwa anamweleza msichana moja live aliyempeleka mtoto wake wa kike kutibiwa katika zahanati hiyo. Huyo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Author: Unknown As I prepare, I've beenn reading and learning from thoz who have gone the road before me, and one of them taught me this..! MARRIAGE IS A SCHOOL where: you get the...
13 Reactions
47 Replies
3K Views
CLASSIC:- [BOSS TO SECRETARY] Jiandae kesho tuna safari ya kikazi. [SECRETARY TO HUSBAND] Mume wangu kesho nitasafari na boss kikazi. [HUSBAND TO GIRLFRIEND] kesho wife wangu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Ukichoka fungua JF uchovu utaisha 2. Ukipatwa na upweke gonga JF utacheka 3. Ukitaka kufahamu nini kinafanyika Tanganyika na Zanzibar gonga JF 4. Ukitaka buradani ya maneno ingia JF 5. Ukitaka...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
ukiona mwanaume kavaa viatu then ajavaa soksi utashangaa sana na utamwona mchafu, tumezoea kuona wanawake wanavaa viatu vya wazi, lakini inapotokea wakavaa viatu vya kufunika especially...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
For the last few weeks nimekua nikiangalia documentary programs za wanyama kwenye channel ya Animal Planet na pia nimekua ni mpenzi mkubwa sana wa program ya 'Africa' inayoonyeshwa sasa hivi BBC...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
WHEN LOOKING AT YOU, BENEDIKT HAPPY 2ND BIRTHDAY My dearest son, Benedikt Fulbright Makulilo, Guess what Benedikt? It is another February 10th. On every change of calendar year, such day is...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
"....Na kununa ni gonjwa baya sana tena la kijinga"- TIMING Recognize a sulking type. The sulker can be male or female; they tend to be people who resolve conflict by avoiding it and hiding away...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
kuna rafik yangu amekonda sana ananiambia et sababu iliyomfanya akonde ni kufanya sana mapenz na wanaume tofaut inaweza kuwa kweli?
1 Reactions
32 Replies
3K Views
mm nataka kufaham siku hii ina umuhim gani kwa wana jamii hasa sisi wa Tanzania?????
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Habarini wanajamiiforums juzi kati nilikuwa kwenye sherehe fulani ya harusi ,kama kawaida kwenye sherehe lazima kuwe na kutoa zawadi ,ilipofika muda huo kuna kamati moja iliwatolea maharusi zawadi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom