Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida diwani mmoja wa chama cha siasa jina laka na chama chake limewekwa kapuni kwa sasa amefumaniwa akivunja amri ya sita na mke wa mtu usiku wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
THE WORST VALENTINE’S DAY 0683213365 “….kwa,kwa,kwa” ile sauti ya viatu bado ilisikika ikitembea katika korido ya nyumbani kwangu na hali ya hewa ilikuwa ya upepo mkubwa..hofu ilitaka kunikamata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mmeziamshaje nafsi zenu wanajamvi...... Dada A na Dada B walikuwa marafiki waliopendana na kuaminiana sana. Walikuwa walitoka out mara kwa mara wakiwa pamoja yaan Dada A, Dada B na mchumba wa...
3 Reactions
33 Replies
13K Views
Bibi na wajukuu zake............... Ipo tabia moja ambayo imeshamiri kwa upande wa kina dada au wanawake wengi ya kuwatelekeza watoto wao nyumbani kwa wazazi wao. Suala la kuwatunza hao watoto...
11 Reactions
63 Replies
6K Views
Nakaribisha malumbano.
9 Reactions
78 Replies
8K Views
Hofu ya Mizimu ikazusha kizaazaa Kuna wakati inabidi kuwa waangalifu sana, hasa tunapodai kwamba, mtu fulani ana mapepo, mtu fulani kafa kwa uchawi, au kudai kwamba, tumeona jini au mzimu. Kwa...
11 Reactions
17 Replies
3K Views
WANAUME wanaotumia muda wa saa tatu na zaidi kwa siku kutazama runinga wanapoteza nguvu za kiume ukilinganisha na wale wanaotazama runinga mara chache. Utafiti...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuna miaka tisa sasa yenye maisha ya kawaida yenye furaha, mimi nikiwa nafanya kazi katika kampuni moja hapa tabora yeye akiwa mama wa nyumbani. Miezi nane iliyopita alipata kazi, wana jamii...
2 Reactions
89 Replies
8K Views
Kuna mwanamke mmoja ni bosi wa mdogo wangu wa kike, mara baada ya kuelewana tulikuwa tukisalimiana kama kawaida.Baada ya muda fulani kupita amekuwa na tabia fulani ambayo hata mimi nashindwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwanza napenda nikupongeze kwa thread zako zinazongumzi mahusiano ya sura na tabia za watu. ' Swali ninalokwenda kukuuliza nadhani huenda kuna wengine wanajiuliza kama mimi,sasa mimi nimeamua...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kundi la wake za watu walikuwa kwenye semina kuhusu namna ya kuishi kwa upendo katika ndoa. Muwezeshaji akauliza, wangapi wanawapenda waume zao? Wote wakanyoosha mikono. Akauliza tena, ‘Mara ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kupenda ni jambo muhimu katika maisha ya mwanadamu, kwa sababu asilimia kubwa ya matendo ya mtu huongozwa na mapenzi. Baadhi yetu tuko tayari kupoteza maisha kama tutaachwa na wapenzi au...
1 Reactions
21 Replies
14K Views
hey
hey jamiiforam kusema kweli i like this page, my name is olekina from kenya naipenda sana.
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari za jioni wana JF wenzangu. Swali hili naomba kuuliza kabla ya kumfata jirani yangu nijaribu kuongea nae kulingana na ushauri mutakaonipa. Jirani yangu ana housegirl ambae ana mtoto mdogo...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamaa: binti hujambo? Me: sijambo shikamoo. Jamaa: unapafahamu kwa Ruga.....? Me: ndio, ni nyumba ile pale. Jamaa: kwani we unakaa wapi? Me: kwa Dr........ Jamaa: aah, dr ...... ni rafiki...
22 Reactions
188 Replies
11K Views
habarini wanajamvi mie ni mgeni humu nahitaji melezo namna ya kutoa uzi natanguliza shukrani
0 Reactions
4 Replies
856 Views
Makahaba wa Nigeria wametangaza kuwapa zawadi ya NGONO bure wachezaji wote wa Nigeria endapo watapata ushindi na kutwaa kombe la mataifa ya Africa dhidi ya Burkinafaso, nasikia na mashabiki...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu AMA kweli dunia imekwisha! Kila kukicha Wabongo wanabuni mbinu mpya ya kujipatia mkate wa siku bila kujali kama ni halali au haramu ambapo baada ya kusikia habari za wanawake...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
:: Ilikuwa wiki moja iliyopita.Wakati wa atsubuhi,,naingia bafuni kuoga kulikuwa na mke wa jirani yangu ambaye pengine hakusikia ujio wangu nami sikujua kama yumo. :: Ile anataka kutoka tu...
0 Reactions
166 Replies
21K Views
Katika mihangaiko ya maisha jana nimepita Iringa. Nikawa nasikiliza moja ya radio za hapa, sikumbuki ni ipi, lakini kulikua na tangazo la nafasi za kazi za sales people katika moja ya maduka ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom